HOLY BLINDFOLD
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 3,690
- 6,380
Kumbe Ni Wapi Kipenzi???Eti wanasema ni chooni
Kumbe Ni Wapi Kipenzi???Eti wanasema ni chooni
Duh,dada nisamehe😹😹 Yani sikutegemea mahi wangu km atanikana mara tatu..!!
BuchanKumbe Ni Wapi Kipenzi???
Halafu maka mbona huu mzigo km unaukwepa mshkaji wangu? 😹😹😹Nimsaidie kulala au pakulala!? Ataenda chumbani mie mniletee shuka nalala hapa sebuleni 😂🤣
😂😂😂😂Wewe na yuniki flawa utofauti ni majina tu, ila uelekeo wa dish ni ule ule...
Mnatokea sayari gani kama ni hii hii ya Dunia kwangu ni big no😁😁😁Tupo wengi mno
😂😂😂😂😂😂 JF inanipa raha mie, woiiihNdio dada, watu wa humu wanapenda sana ngono, hasa @mods ndio maana wamekuhonga u Senior member wakati umejiunga jf juzi.View attachment 3343653
😂😂😂😂😂😹😹😹 Shogaangu ana hekaheka mpk mi mwenyewe ananichosha kumtetea..!!
Awape link ya telegram mumfate tu….!!
SawaMnatokea sayari gani kama ni hii hii ya Dunia kwangu ni big no😁😁😁
Kwani ukiwa senior unalipwa?Umejiunga jana af tayari ni senior.!!
Niamke sasa kumekucha
Sasa Kwanini Unahofu Na Wanaokuzodoa Na Mizodoo Yao, Kipenzi...??Buchan
Wengi wapeSasa Kwanini Unahofu Na Wanaokuzodoa Na Mizodoo Yao?
😂😂😂😂 jamani mie sitaki, haya tuone hizo cream za ufaransa, waja tuchangamke nazo.Kama wewe ndio huyo kwenye picha basi nimekupenda nataka nikuoe.
Mimi ni pedeshee mwenye minoti yangu.
Ukinikubali nitakuagizia cream kutoka ufaransa. Utakuwa na rangi moja mwili mzima.
View attachment 3343659
Kumbe nawe umeona hii😥 Nimelia sana wakati na mkorogo nimemuuzia juzi nikampa na punguzo…!!
😂😂😂😂 sijui nacheka nn hata, LolView attachment 3343661
Kwanini Umebadilisha Ile Picha Ya Buchani??
Much Loving You Marry D.....💕💕💕Wengi wape