Nusratt
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 1,712
- 4,259
Kizimkazi,Rafiki wa mama
🖐 tena
Kizimkazi,Rafiki wa mama
I was vaccinated with anti-UTI vaccine 💉Usisahau Azuma
Nilikuwa namfukuza kimtindo yule mtakatifu asiyeafiki minyanduano😅.Sawa.
Ndio umtagi shoga angu kweli?
Sijapentaaaaaa!!!
Na wewe usiniudhi
Dah' anyway....Ulitaka wafanyaje?
Mtoto wa kiume umbea tu.
Waite basi
Kwamba ni mwana susiemu!Huyu si ndio yule kucha kapaka rangi bendera ya CCM au wamefanana tu
Mimi sijui ila weka mbali vitu vyako vya thamani ukiwa naeKwamba ni mwana susiemu!
AsanteDah' anyway....
Karibu tukuhudumie
Mtu wa hivyo anaweza hata akanikata makende.Mimi sijui ila weka mbali vitu vyako vya thamani ukiwa nae
Vipi mwanangu? Wamekukopa tena? Siku nyingine usiwape hadi wakupe pesa mbele.Shikamooni wakubwa,
Kwanza nishangae,
Kwanini watu hawaamini,na hawaaminiki.
Yaani nilichogundua humu watu wengi ni waongo,tena waongo sana,na ndomana wanahisi kila mtu ni muongo kama wao.
Lingine ni kuhusu urahisi wa kumpata mtu,nikisoma maoni kadhaa inaonesha humu ni rahisi mtu kutembea na wanaume tofauti au wanawake tofauti,na wanahisi kila mwanamke ni mrahisi au yupo humu kwaajili ya kutafuta mabwana.
Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?
Mimi nadhani ni wakati wa mtu kuchagua Uhuru wake,nidhamu,heshima na mengine mengi kuliko kuishi Kwa wasiwasi.
Napenda utani ,napenda masihara napenda kufurahi,lakini humu watu wamezidi kupenda ngono,hadi najiuliza huku kuna waoaji kweli?au ndiyo kuna wadhalilishaji?
Mimi naamini siku nikitoka na mwanaume wa humu nitaanikwa😂😂😂 mpaka nijute.
Ila yote Kwa yote naamini Wanaume wema bado wapo tu,na Kwa uwezo WA Mungu kila kitu kitakuwa.
Naupenda huu mtandao,hadithi,simulizi vichekesho lakini pia naenjoy mnooo❤️❤️❤️
Karibu tulale tumalizie usingizi
Watu wanafeki each and everything, just like you.Usiichukulie JF serious sana.
It's a secret weapon ya kusurvive humu JF, usiruhusu watu wakujue the real you.Watu wanafeki each and everything, just like you.
Sure mzee, we have been surviving all these years depending on it.It's a secret weapon ya kusurvive humu JF, usiruhusu watu wakujue the real you.
Hata ww pia ningependa kukusaidia 😎Sawa.
Ndio umtagi shoga angu kweli?
Sijapentaaaaaa!!!
Wenzio tulikua tunatafutwa picha zetu tuanikwe wewe unajianika mwenyewe😃😃 Ajabu!Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?
AkuHata ww pia ningependa kukusaidia 😎
Jamani babu mwee😂😂😂Wewe na yuniki flawa utofauti ni majina tu, ila uelekeo wa dish ni ule ule...
Wananiita SUGU, nani??View attachment 3343650
Kwanini Umepigia Picha Maliwatoni?
hii ni maajabu!😄😆😂😂😂Wenzio tulikua tunatafutwa picha zetu tuanikwe wewe unajianika mwenyewe😃😃 Ajabu!