Niliyoyaona hapa JamiiForums kutoka kwa Watu aina tofauti

Vipi mwanangu? Wamekukopa tena? Siku nyingine usiwape hadi wakupe pesa mbele.
 
Kwanini umeamua kujianika huoni kama itakuwa shida kwa upande wako.πŸ€”
 
Kuna mtu aliniambia kupost majina yangu na picha vitaniletea matatizo,sasa najiuliza kwanini upate matatizo?kivipi ?
Wenzio tulikua tunatafutwa picha zetu tuanikwe wewe unajianika mwenyeweπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Ajabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…