Niliyoyaona kwa Mkapa (Lupaso) Stadium leo ambayo kama yasipofanyiwa Kazi basi yanaenda Kujirudia tena Lake Tanganyika 25 July, 2021 ni haya

Baada ya sub za Simba Yanga walikuwa bora zaidi ya Simba?

Mbona game kadhaa tunacheza hivyo hasa tunapokuwa tunahitaji goli zaidi? Kimahesabu Yanga hawakuwa bora kwenda mbele ndiyo maana Kocha aliweka watu wengi wa kushambulia mbele cos nyuma kulikuwa na watu wengi upande wa Yanga ,he was right na ililipa japo goli halikupatikana kama Yanga wangepata goli la pili kwa mapungufu ya uwanjani basi ungesema sub imetuua ila haikutokea hivyo.Kama sub ya Simba ilikuwa mbovu mbona Yanga hawakuwawin Simba tena kupitia udhaifu huo? Tazama Chiefs walivyotumia udhaifu wa sisi kushambulia na kuwa walegevu kurudi kukaba tulikula 4 hiyo ndiyo huitwa matumizi ya udhaifu wa mpinzani.Mpinzani hawezi kuwa dhaifu afu clear chances hujapata.

Sema Yanga akikuwa bora kwenye nini hadi akapata matokeo yale na Simba sijaona udhaifu mkubwa cos kama ni loose balls timu yoyote ile inaweza kufungwa from far kwa situation ya jana ya goli wala hiyo haiwezi kuprove ubora wa timu.

Ubora wa timu unazingatia utengenezaji wa nafasi na kuzitumia , wewe sema Yanga walitengeneza nafasi ngapi na walitumia ngapi maana hata ya Zawadi ni loose ball sio created chance cos hakuwa assisted na mchezaji wa Yanga.Wachezaji wa Simba walijipanga kwa usahihi nyuma ila mpira ulimgonga mchezaji ukaenda upande ambao golikipa hakuwa na cha kufanya.

Tatizo la bongo kila timu inayoshinda ndiyo bora na hapo ndipo mwanzo wa matatizo.
 
Simba aliupiga mwingi second half
Cha ajabu analaumu subs yaani wabongo bana.

Game ya 2-2 last year kila mtu anakubali kwamba Simba walikuwa bora kipindi cha kwanza na Yanga cha pili dk kama 20 ila simba ikadominate mchezo dakika za mwisho ila game ya jana Simba wameshindwa tu kufunga ila walicheza poa tu
 
Kwa hiyo kwa maoni yako Yanga hakuna walichofanya toka DK ya kwanza hadi mwisho zaidi ya "goli la kubahatisha?"
Kocha unaweka waahambuliaji 3 mbele ukiwa uneondoa viungo watakaoandaa nafasi matokeo yake Kagere na Mugalu wanageuka watafuta mipira badala ya wamaliziaji halafu unasema Sub haikuwa na madhara?
 
Udhaifu wa Simba kwa sasa ni kukosa a best clinical finisher tu yaani ambaye ikitokea tu chance unahesabu ni goli na awe na uwezo wa mbio(speed) ,anaweza kupunguza watu na akaforce kuscore maana kwa sasa sioni kama tuna mshambuliaji halisi mwenye sifa tajwa hapo juu
Kagere hata control tu ni shida ,Boko vile vile ,Mugalu control anayo ila kufunga yupo chini ,naamini kwa sajili tatu ambazo Manara kasema basi hapo kwenye ushambuliaji watakuwa wamepaona pia.
 
Viungo walikuwepo , Morison , Miq,Bwallya na Lwanga ,kucreate chances kulikuwepo kama kawaida tu na hata hivyo sio kisingizio maana hata Kagere na Mugalu came muda umekwenda sana

Lakini pia kuhusu Yanga walimudu kufanya high pressing na mikimbio mingi ya hatari zile dakika za mwanzo kisha walipopata goli wakaendeleza kwa dk 10 hivi tu wakaanza kuwa watumwa wa mpira.Unadhani kwa nini hawakupata goli la pili kwa ubora mnaodai walikuwa nao?
 
Sasa akili imerudi
 
Hata bahati nayo haipo kwenye Mpira kama ambavyo huamini kwenye uchawi
 
Ndugu tukubali tu tulizidiwa kimbinu, shots on target Simba alikuwa na 2 tu na yanga 4 mi niungane na mchambuzi wa awali
 
Jenta hapa umeandika kweli tupu ila kuna muda nawe unakuwa kama msemaji wenu mnatabia ya kupanic hovyo, utopolo aka chura kapata matokeo kutokana na alivyocheza,
Kila siku mnalalamika kuwa:
1. Mgalu si mchezaji wa maana;
2. Kagere hapa zei na kocha ingawa bado ni mchezaji jembe.
Leo hii imebadilika! Maajabu haya ya wanasimba
 
ndio imecheza vema umiliki 61%
najivunia simba team yangu na naamini sio kila siku lazima tushinde
 
Mpaka sahizi mkude atakua anachekelea hihihihihi! Huku Mzamiru naye akijipiga kifua pupupu!
Poor Gomes
Poor players
Poor technical bench
 
Kila siku mnalalamika kuwa:
1. Mgalu si mchezaji wa maana;
2. Kagere hapa zei na kocha ingawa bado ni mchezaji jembe.
Leo hii imebadilika! Maajabu haya ya wanasimba
Wamechanganyikiwa. Walichokwenda nacho uwanjani kumbe Ni feki
 
Wamechanganyikiwa. Walichokwenda nacho uwanjani kumbe Ni feki
Watanzania tunajifanya waongeaji sana hasa akina Gentamycin ambaye amekula ban! Tunalazimisha hoja zetu za kitoto etc ukienda katika siasa ndiyo kichefu chefu
 
mnaolalama humu kuwa yanga kabahatisha, mbona mlimsifia simba walipocheza na AS Vita kule club bingwa japo alishinda kwa kubahatisha?

tulieni dawa iwaingie nyie watembeza maji wa mo
 
Nimeishia hapo kwa kusema meddie kagere ndo alianza kitu ambacho sio kweli


Tumuachie kocha kazi Jaman kupigwa mshapigwa keleleeeeeee hatutaki
 
Watu wamesahau mpaka ubingwa!!! Mimi ni Simba japo sina ule ushabiki sana mpaka nikose usingizi na kwa bahati mbaya mechi sikuiona nilikuwa na majukumu mengine ila tatizo kubwa nadhani Simba waliaminishwa na viongozi wao kuwa wao ni bora na kama walizifunga Finalist wa kombe la CAF yanga ni nani hawana kitu na terehe ile walikimbia na hii walitafuta sababu ya kukimbia hii ikawakaa akilini wachezaji kuwa Yanga wanaogopa lakini mwisho wa siku wameshinda na kama harusi basi wametia mchanga chakula cha harusi kwa hili Simba wamekosa furaha ila wana nafasi ya kuweka sawa Kigoma wakikosea na huko basi huu ndio utakuwa ubingwa wa kwanza duniani lakini mshindi ana majonzi kuliko number 2. Focus mechi ya Kigoma na Manara afunge mdomo wake mchafu anawapa sifa sio zao mpaka kina Morison wanajiona kama wamekuwa kina De bruyne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…