Niliyoyaona kwa Mkapa (Lupaso) Stadium leo ambayo kama yasipofanyiwa Kazi basi yanaenda Kujirudia tena Lake Tanganyika 25 July, 2021 ni haya

Umechambua kiushabiki sana. Goli ni goli hata liwe la namna gani jomba. Na hata usingemgonga yule boya ile ilikua on target ya goli.Imeisha hiyo
 
Hata mechi ijayo tuna uwezo wa kuwafunga. Mechi ya mwisho ya sare, mlisawazasha dk ya 89 ya mchezo! Na kwa taarifa yako, Yanga siyo timu dhaifu hata kidogo.

Wachezaji wa Yanga wana ubora kuliko hata hao wa Simba! Kinacho ikumba Yanga ni ukosefu tu wa morali kwa baadhi ya wachezaji, na hasa wale wenye kudai malimbikizo ya mishahara, nk!

Siku zote mashabiki wa simba akili zenu zimeshikiliwa na yule mvuta bangi wenu Haji Manara, anayependa kucheza mpira nje ya uwanja! Huku Yanga ikiwekeza nguvu kubwa ndani ya uwanja! Na mkiendelea kumuendekeza, tutawafunga kila siku.
 
Na ile nafasi ya Yacouba nayo dk za mwanzo usiisahau kuihesabu. Naona unataja za Bocco tu.Nirudi kwenye goli la deflection ambalo unalibeza, lile goli limetokana na shambulizi kali.Timu ilifika eneo la hatari ikapata kona nyingi ambazo moja ndiyo ikaza hilo shambuli wewe umekomaa na bahati tu.Unataka kutuaminisha Simba hawajawahi kufunga bao la kubapatiza mtu Mzee.
Kubali tu mmefungwa.Mbona wenzako wamekubali kiroho safi?
 
Mi niliona nafasi moja tu ya wazi, aliyopiga nje Morrison akiwa ndani ya sita.Kosa kosa zingine zilikuwa za kawaida.
 
Wape heshima Yanga,walistahili kupata walichokipata. Mpira wa siku hizi unachezwa maabara. Ukifanikiwa kufanya postmortem vizuri kuhusu mpinzani wako basi uwanjani unaenda kumalizia tu. Hapo ndipo Simba wanapofeli,hawafanyi utafiti wa kutosha kuhusu ubora wa Yanga hasa kwenye derby!

Mfano kipindi cha kwanza km Yanga wangekuwa na striker katili level za Prince Dube/ Boko wangefunga zaidi ya goli moja kulingana na takwimu. Simba walicheza vizuri kipindi cha pili japo umakini wa mabeki wa Yanga ulikuwa Kikwazo kupenyeza mipira.
 
Huu mbona nwandiko wa Gentamycine huu?! Kaja kwa style nyingine??[emoji44][emoji15][emoji15]
 
Jenta hapa umeandika kweli tupu ila kuna muda nawe unakuwa kama msemaji wenu mnatabia ya kupanic hovyo, utopolo aka chura kapata matokeo kutokana na alivyocheza,
Mbumbumbu fc kwenye ubora wenu
 
Kwa kweli Tuisila alinikera sana jinsi alivyocheza Kipindi cha pili. Sikuelewa kwanini kocha alimuacha hadi dk ya 90. Alikuwa anatembea tu uwanjani,akipewa mpira anapoteza kirahisi. Na akipoteza hakabi!!

Kocha lazima awe mkali na amuonye.Shukrani kwa dogo Kibwana shomari alijitahidi mno kupambana na Morrison ambaye alikuwa akipewa mipira mingi iliyopotelea kwa Tuisila.
 
Hata wachezaji wa Yanga wenyewe watakushangaa, ukiwaambia wao ni bora kuliko simba.
 
Umeandika mimavi tena ya choo cha stand eti Yanga wanaikamia Simba rubbish
 
Well said mkuu wangu[emoji1666]
 
Umekazania tu deflection Kwan goal la deflection sio goli?! Mbona unalialia hivyo??
 
Naungana na wewe upande wa Manara. Kama Simba inataka kuwa klabu kubwa Afrika iachane na mpayukaji. Huwezi kuwa na msemaji anayeharibu saikolojia ya wachezaji kwa kuwajaza ujinga.
Bora Boko awe nahodha na msemaji wa timu maana ana busara.
 
Huu ndo uchambuzi, siyo mtu anaandika ushabiki halafu anauita uchambuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…