Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

Hizi ni zama za ubabaishaji. Huna tofauti na hao manabii na mitume stori za kutunga kujitafutia umaarufu. Ingekuwa ni kweli mbona huelezi mambo kwa kina. Maswali una ulizwa huwezi kujibu.
 
Wakuu

Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.

Natamani kuacha lakini life ngumu.
Emu kunywa maji mengi upumzike kwanza naona bado unaandamwa na mzimu sasa kaburi kwenye ceiling board linakaaje?
 
Tuliambiwa kabla ya ujenzi tuzike mbuzi mzima mzima... Ilikua kawaida ila hatua ya pili baada ya finishing walileta mambo ya kutishia amani nikaacha ela tuu
Huku niliko kuna kampuni moja ya Wahindi imepewa tenda ya kujenga nyumba za flat za Serikali. Kila baada ya siku moja au mbili unakuta ngozi pembeni ya uzio wa eneo la ujenzi zinazonuka sijui ni za ngombe au mnyaka gani sielewi.
Tangu waanze ujenzi ni mwaka wapili huu sasa sijui ni matambiko au nini.
 
Mkuu isije kuwa zilikuwa stem za mjani maana mafundi kwa Moshi hamjambo.
 
Kaburi linakaaje juu ban ingekuwa chini ningekubali...basi tu kaamua kutunywesha chai ya moto😅
Wengi wanauliza kaburi linakaaje juu, chukua mfano huu, wengi tumezoea visima vya maji huchimbwa kwenda chini ya ardhi. Lakini hiyo ni tofauti na sehem zingne kama karagwe ambako visima havichimbwi bali hujengwa kwa tofari kwenda juu.

Nyumban kwetu kuna makabat ya ukutan kila chumba cha kulala n marefu kwenda juu, na juu yamepigwa zege ukipanda darin utaona kabisa jamvi/paa la kabati n kubwa. Sehemu kama hiyo unaweza kujenga kaburi vizuri tu. Japo mtoa maada katupiga changa la macho
 
Je Hilo la juu tuliite kaburi ama sanduku?
 
Watu Kama nyinyi Kamanda Awadhi hawacheleweshi.
 
Karibuni wadau
 

Attachments

  • 31DDB171-1D7D-4FB7-B229-5D8A9A530706.jpeg
    408.2 KB · Views: 3
  • 57479ABD-EB5A-4AD0-AD07-DA8F9C65C45C.jpeg
    434.9 KB · Views: 3
Mm sjakuelewa...😂
 
Nyumba zina mengi mkuu..fanya kilichokupeleka kisha tembea!
 
Mkuu wahindi wana mambo mengi sana ni vile watu hawafunguki kwa kuwa wanaogopa ila wana hatar mno..
Mi huwa nikianza kuambiwa mambo ka hayo huwa najiondoa mapema
 
Wahindi hasa mabaniani n washirikina balaa.

Kuna baniani mmoja tajiri safe yake iligoma kufunguka na kulihitajika document muhimu. Ilishindikana ku by pass na mastecode ikabidi safe kuvunjwa.

Fundi alipovunja safe kulikuwa na mafuvu mawili ndani ya safe. Inasadikika ni ya wazazi wa muhindi.

Jamaa alivuta pesa ndefu ili asiongee alichoona ila ndio hivyo aliishia kuhadithia kupelekea kujulikana kuwa yalikuwa ya wazazi.
 
Mkuu nina visa vingi sana...
Ila ni vile haya mambo ni bora kufa nayo tuu ila unakutana na vingi sana muhindi hasa hasa wa kike aaaah hatareer wale watu nyie
 
Mmmhhh mkuubya kwel haya au ndio CHADEMA JOIN THE CHAIN!!!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…