Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Hizi ni zama za ubabaishaji. Huna tofauti na hao manabii na mitume stori za kutunga kujitafutia umaarufu. Ingekuwa ni kweli mbona huelezi mambo kwa kina. Maswali una ulizwa huwezi kujibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Emu kunywa maji mengi upumzike kwanza naona bado unaandamwa na mzimu sasa kaburi kwenye ceiling board linakaaje?Wakuu
Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.
Natamani kuacha lakini life ngumu.
Huku niliko kuna kampuni moja ya Wahindi imepewa tenda ya kujenga nyumba za flat za Serikali. Kila baada ya siku moja au mbili unakuta ngozi pembeni ya uzio wa eneo la ujenzi zinazonuka sijui ni za ngombe au mnyaka gani sielewi.Tuliambiwa kabla ya ujenzi tuzike mbuzi mzima mzima... Ilikua kawaida ila hatua ya pili baada ya finishing walileta mambo ya kutishia amani nikaacha ela tuu
Missy Gf nakusalimia mdogo wako.Picha?
Wengi wanauliza kaburi linakaaje juu, chukua mfano huu, wengi tumezoea visima vya maji huchimbwa kwenda chini ya ardhi. Lakini hiyo ni tofauti na sehem zingne kama karagwe ambako visima havichimbwi bali hujengwa kwa tofari kwenda juu.Kaburi linakaaje juu ban ingekuwa chini ningekubali...basi tu kaamua kutunywesha chai ya moto😅
Je Hilo la juu tuliite kaburi ama sanduku?Wengi wanauliza kaburi linakaaje juu, chukua mfano huu, wengi tumezoea visima vya maji huchimbwa kwenda chini ya ardhi. Lakini hiyo ni tofauti na sehem zingne kama karagwe ambako visima havichimbwi bali hujengwa kwa tofari kwenda juu.
Nyumban kwetu kuna makabat ya ukutan kila chumba cha kulala n marefu kwenda juu, na juu yamepigwa zege ukipanda darin utaona kabisa jamvi/paa la kabati n kubwa. Sehemu kama hiyo unaweza kujenga kaburi vizuri tu. Japo mtoa maada katupiga changa la macho
Alikuwa amevuta bangi huyu.Hizi ni zama za ubabaishaji. Huna tofauti na hao manabii na mitume stori za kutunga kujitafutia umaarufu. Ingekuwa ni kweli mbona huelezi mambo kwa kina. Maswali una ulizwa huwezi kujibu.
Tatizo hajasema kama lina mfuniko ama laa, aje atuambie kama lina mfuniko tuliite sandukuJe Hilo la juu tuliite kaburi ama sanduku?
Huyu kavurugwaKaburi ama jeneza
Mm sjakuelewa...😂Wengi wanauliza kaburi linakaaje juu, chukua mfano huu, wengi tumezoea visima vya maji huchimbwa kwenda chini ya ardhi. Lakini hiyo ni tofauti na sehem zingne kama karagwe ambako visima havichimbwi bali hujengwa kwa tofari kwenda juu.
Nyumban kwetu kuna makabat ya ukutan kila chumba cha kulala n marefu kwenda juu, na juu yamepigwa zege ukipanda darin utaona kabisa jamvi/paa la kabati n kubwa. Sehemu kama hiyo unaweza kujenga kaburi vizuri tu. Japo mtoa maada katupiga changa la macho
Mkuu wahindi wana mambo mengi sana ni vile watu hawafunguki kwa kuwa wanaogopa ila wana hatar mno..Huku niliko kuna kampuni moja ya Wahindi imepewa tenda ya kujenga nyumba za flat za Serikali. Kila baada ya siku moja au mbili unakuta ngozi pembeni ya uzio wa eneo la ujenzi zinazonuka sijui ni za ngombe au mnyaka gani sielewi.
Tangu waanze ujenzi ni mwaka wapili huu sasa sijui ni matambiko au nini.
Wahindi hasa mabaniani n washirikina balaa.Mafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...
Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..
Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu
Mkuu nina visa vingi sana...Wahindi hasa mabaniani na washirina balaa.
Kuna baniani mmoja tajiri safe yake iligoma kufunguka na kulihitajika document muhimu. Ilishindikana ku by pass na mastecode ikabidi safe kuvunjwa.
Fundi wa alipovunja safe kulikuwa na mafuvu mawili ndani ya safe. Inasadikika ni ya wazazi wa muhindi.
Jamaa alivuta pesa ndefu ili asiongee alichoona ila ndio hivyo aliishia kuhadithia kupelekea kujua kuwa yalikuwa ya wazazi.
Mmmhhh mkuubya kwel haya au ndio CHADEMA JOIN THE CHAIN!!!???Mafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...
Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..
Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu