Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Google inasema ""kama kaona wewe nani unakataa""Google imemletea nini...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Google inasema ""kama kaona wewe nani unakataa""Google imemletea nini...?
kawaida yangu ninaamini nikipewa go ahead na mwenye nyumba nina uhakika siwezi dhurika kabisa..na ushukuru hukupiga kelele ilikuwa imeisha hiyo
Mkuu usiache kazi , Cha msingi ni wewe kujipika kwa kinga nzuri ili usije dhurika au kusibiwa na baya katika harakati zako na hayo uyaonayoWakuu
Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.
Natamani kuacha lakini life ngumu.
Safi sanaGoogle inasema ""kama kaona wewe nani unakataa""
Nipo mkuu ila shemeji yako kanifungia ana kazi ya kuninyonya tu 😁
Mafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...
Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..
Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu
Itakuwa za nyani au tumbili MkuuMafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...
Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..
Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu
Hapana mkuu huyo sikumpata huyu ni mwingine nilimpata Facebook 😆😀Yupi huyo ulokuwa unamfukuzia humu siku ile au? 😂😂😁
Na wewe umeanza kumbishia Fundi manyumba sio, yeye kasema skeletons za watu wewe unasema za nyani daaah aisee😂😂Ina
Itakuwa za nyani au tumbilo Mkuu
Ngoja nianze na msalaba...msalaba ule ulikua umeandikwa namba 1999Funguka kijana, maana hata hatuelewi unaposema uliona kaburi juu ya dari? How?
Si ulikuwa unamfukuzia mwanamke wa mithali ww 😂😂Hapana mkuu huyo sikumpata huyu ni mwingine nilimpata Facebook 😆😀
Yule shombeshombe alinichomolea alisema nina kibamia na kaolewa nikaamua kuachana naye 😁
Halafu.....Ngoja nianze na msalaba...msalaba ule ulikua umeandikwa namba 1999
Anaringa huyo na alisema ananichukia from no where ila nimemdm saivi subiri arudi online na yeye ntamtumia picha ya kibamia changu akione 😁.Si ulikuwa unamfukuzia mwanamke wa mithali ww 😂😂
Mkuu inaelekea bado una wenge...Wakuu
Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.
Natamani kuacha lakini life ngumu.
Kuna watu wanataka tuwavamie sasa ujue ahahahNa wewe umeanza kumbishia Fundi manyumba sio, yeye kasema skeletons za watu wewe unasema za nyani daaah aisee😂😂
uswahilini ila ni zile nyumba za zamani utando wa buibui kama woteNaomba kufaham iyo nyumba madhari yake yapo vipi
Mkuu mtu mzima ashindwe kujua jeneza na kaburi kweliNahisi kaona jeneza tu ,ulitakiwa kuuliza Kwa wenyewe bro ,huenda jamaa kahifadhi jeneza lake
msalaba umesimikwa kwenye box kubwa la pembe 4 ambalo nimetafsiri kama kaburi, box lile halina muundo wa jeneza....wakuu hii ni reality na wala sio chai kiukweli tunakutana na mengi ya ajabu...Halafu.....
Ndio kaburi hilo hilo...msalaba umesimikwa kwenye box kubwa la pembe 4 ambalo nimetafsiri kama kaburi, box lile halina muundo wa jeneza....wakuu hii ni reality na wala sio chai kiukweli tunakutana na mengi ya ajabu...