Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

Wakuu

Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.

Natamani kuacha lakini life ngumu.
Mkuu usiache kazi , Cha msingi ni wewe kujipika kwa kinga nzuri ili usije dhurika au kusibiwa na baya katika harakati zako na hayo uyaonayo
 
Mafundi tunapitia mengi mkuu...
Mi kipindi flani nachimba shimo la choo tulikuta skeleton za watu kabisa kama saba hivi...

Nikawaambia waache kwanza nikaenda kuongea na mwenyewe tukafanya mpango wa kuamisha tuu ila ilikua ni hatari..

Yapo mengi tunapitia kwa wahindi kule ndo usiseme mkuu

Itakuwa za nyani au tumbili Mkuu
 
Wakuu

Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.

Natamani kuacha lakini life ngumu.
Mkuu inaelekea bado una wenge...

Kaburi hili hili futi 6 darini?
 
Mada pendwa katika uandishi haramu ni kubaka hisia za watu.

Utaanzia kufuatilia kuanzia comment namba moja hadi ya mwisho na kadri unavyoenda next unakuwa na matumaini makubwa ya kukuta maelezo yaliyojitosheleza ila waaaaaapiii bhana.

Alosto zitawauwaaaaa.
 
Back
Top Bottom