Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

Wakuu

Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.

Natamani kuacha lakini life ngumu.
HIYO MIBANGI MNAYOVUTA NI STIM ZA KULANDUKA, KAMA SIYO FANI YENU KWA KWELI MTAUMBUKA .............
 
Back
Top Bottom