nitaeleza mkuuNyuzi kama hiz tulizimisi sana mkuu ngoja nifate kiti nije utueleze vzr hilo kaburi lilikaaje juu ya dari
Na mm ningelikuwepo ningeliona kaburi..Haya aliona kaburi je na wewe umeona nini madam..
Maaana isije ikawa tunakubishia kumbe wewe uliona sabufa ahaha
kuna siku huyu fundi ataona mtumbwi unaelea darini kwa hicho kitu anachovuta???????????? sijui tusubiri tu.Fundi umeme..... Muache fundi umeme ila tuwe pamoja mafundi kwenye shida kama hizi leo kaona kaburi kesho akiona jeneza sijui itakuaje
HIYO MIBANGI MNAYOVUTA NI STIM ZA KULANDUKA, KAMA SIYO FANI YENU KWA KWELI MTAUMBUKA .............Wakuu
Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.
Natamani kuacha lakini life ngumu.
Kuna jamaa hapa amechanganyikiwa mpka ana google huko DaahNa mm ningelikuwepo ningeliona kaburi..
Anagugo nn sasaKuna jamaa hapa amechanganyikiwa mpka ana google huko Daah
Hapana usibishane na mtu wakati wewe haukuwepo mkuu...kuna siku huyu fundi ataona mtumbwi unaelea darini kwa hicho kitu anachovuta???????????? sijui tusubiri tu.
Naomba kufaham iyo nyumba madhari yake yapo vipiWakuu
Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko.
Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board.
Natamani kuacha lakini life ngumu.
Nipo mkuu ila shemeji yako kanifungia ana kazi ya kuninyonya tu πNaona leo wanaopitaga kimyakimya wameamua kucomment hii chai jaba
Anyway Labella Poor Brain Kalpana Django doer Lightysh sijawaona bado....
Hovyo kabisa vijanaNipo mkuu ila shemeji yako kanifungia ana kazi ya kuninyonya tu π
Ana google nini..?π πKuna jamaa hapa amechanganyikiwa mpka ana google huko Daah
Sasa nifanyeje wakati mtoto wa watu ananilamba lamba kila sehemu πHovyo kabisa vijana
Kaburi juu ya dariAna google nini..?π π
Google imemletea nini...?Kaburi juu ya dari