Uchaguzi 2020 Niliyoyaona kwenye Uchaguzi huu yanatisha

Haina tofauti na mtu aliyeuwa raia wake wote, akabaki peke yake, sijui hiyo furaha ya moyo itaitoa wapi
 
Mzee vipi hivi huko kwa Trump kweli mambo yameendaje? Mimi kabisa niko ulimwengu wa nne
Trump anaelekea kushindwa ila bado anafight kwa kutumia sheria zinachomruhusu kufanya kwa matumaini kuwa matokeo ya baadhi ya majimbo yanaweza kubadilika yakaenda upande wake iwe ni kwa kuhesabu kura upya au kuyafuta kama kulikuwepo ukiukwaji mkubwa wa taratibu. Lakini haielekei kama ataweza kufanikiwa.
Kuhesabu kura upya (recount) siyo suala jipya Marekani maana hata 2016 Democrats waliomba recount
 
Hauta saidia kitu kwakuwa matokeo huwa hayatenguliwi
 
Analijua vizuri hilo.
Ndio maana kahakikisha kuwa bunge ni lake lote ili liondoe ukomo wa urais awe wa kudumu ili asijeshushuliwa kama alivyoshushua
 
Kituo nilichopigia kura hapa kibaha Lissu alikuwa na 278 Magu 43 matokeo yalobandikwa Lissu 8 magu 377
Aisee kumbe NI YEYE alimtandika zahataree. Naanza kuelewa ni wapi umetoka huu upole wa ghafla
 
Analijua vizuri hilo.
Ndio maana kahakikisha kuwa bunge ni lake lote ili liondoe ukomo wa urais awe wa kudumu ili asijeshushuliwa kama alivyoshushua
Akili hiyo hana, anaongozwa na jazba, hapo ndio amefanya vizuri sana atafunwe vizuri mulemule ndani ya CCM. Unabii ulisha sema carne nyingi sana ''Maadui wa mtu ni wale wa nyumbani mwake'' kwa akili zake finyu anaona amekomesha, Mazuzu yana shangilia.

Itafika mahali hawatakuwa wamoja tena, sababu wa kumunyooshea kidole hakuna, watahoji kwa nini iwe Chato na si Musoma kwetu? kwa nini Dar na si Mtwara? tayari vurugu, Upinzani ukiwepo ni ngao ya Umoja wao!

Raia asie ijua hata JKT hawezi kudumu kiurais, JWWTZ. TISS, Police, Magereza, JKT,Mgambo wote sasa hivi nusu yao ni wapinzani tukifika robo tatu yake tuna muua kirahisi. Gwajima ni chadema mjue!!!
 
Kwa kura ambazo hazikupigwa, wasimamizi waliambiwa wamalizie kura kwa kuipigia ccm
 
Nenda mahakamani ww n mnafiki mkubwa ,,kama ulishuhudia na una ushahidi kwann usiende mahakamani ?sasa hapa Jamii forum ndo kuna mahakama ?
Umeona sasa
 

Attachments

  • FB_IMG_1605115119314.jpg
    35.3 KB · Views: 1
Sasa unatuambia ili iweje, kama uliona si sawa ungepinga huko sio kuja huku. Halafu nani atakuamini bila uthibitisho maana unaweza kuwa umetumwa tu
 
Exactly; the reflection of what is said about you! By the way, it is oral, not mouth!
Too pathetic, your mastery of this language is pedestrian. Instead of entertaining silly jokes, better learn from the gurus.
 

Usife moyo wala usijione umeachwa na viongozi wako wanaoongoza mapambano haya..

Kumkwepa adui yako ili asikuue ni moja ya strategy ya kivita ktk uwanja wa mapambano..

Kufanya hivi haina maana kuwa unamkimbia adui yako bali unakuwa unamlia timing tu ili kimmaliza yeye..

Ushindi upon mbele yetu, tusife móyo, tusikate tamaa...
 
Munalialia wakati mukiambiwa semeni ukweli munakimbia, pembeni munasema kamanda komaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…