Niliyoyashuhudia Jeshini

KURUTI wa JKT Unalinda ? hii sijawahi kuona maajabu
 
Hv nikitaja force namba yangu utajua nlikuwa Mwaka gnπŸ™„

Force no BA14XX

Jadda

Prince Mhando
 
Lakini tofauti na majeshi ya nchi zilizoendelea huku kwetu bado tunachapana kama punda, kule kwa wenzetu ni matusi tu kama kawa lakini drill instructors hawaruhusiwi hata kumkunja recruit, huku kwetu afande anamnyuka kuruti utasema anapiga mtoto wake
naafiki huku si ustaarabuless unatusumbua. japo na kwa wenzetu napo kuna fimbo ya maneno utaambiwa maneno mpaka unaweza kujiuluza mara mbilimbili mm kweli mwanaume..utaambiwa maneno ya shombo na dharau mpaka unaweza kupata hasira upigane bure ama kupata morali mara dufu.
 
Kwata nzuri ukiwa na mobility(ushirikiano wa viungo na akili)
Nguvu
Uhakika wa vitendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…