Niliyoyashuhudia Jeshini

Niliyoyashuhudia Jeshini

Mimi nimesoma shule ambayo waalimu ni majeda mnaamshwa saa kumi usiku,tunaanza kukimbia tukiimba jua lile lile le mkemama ayaya iya iya mama mnarudia times na times hadi kumepambazula kiwanja mara 10 tu unakimbia ukipumzika unakula teke hadi unazima unatulizwa kama mpira. Unarudia tena na tena hadi saa nne .

So tunajua hilo . Push za kijeda ,sio za kidada, na vingine vingi
 
Huu ni mwandiko wa kike kama ni me kuna shida mahali.

Yani natamani kuingia kwenye Uzi nilipige mbata..Matoto ya Mama kila kitu linalia tu kama mwanamke[emoji706]..Watoto wa Mama ndio hawa wakikutana na Mitiani ya maisha kidogo tu wanajinyonga,Au kutoa ndogo...Sasa apo poti angesema amuombe TIGO dogo ili apunguziw mazoezi unafkiri huyu Mtoto wa Mama asingetoa??
Watoto wa Mama inabidi mjue Dunia ni katili sana hii lazima uwe MGUMU sio Kuonesha huruma na kulia ovyo Haisaidii.Kuna siku utaishi bila mama ndo utajua dunia ni Katili
Jamani huyu ni malikia wa nguvu sio Me
 
Back
Top Bottom