Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Teh, Maisha haya ase, hatari tupu.

Kila mkaa mkimya hudhaniwa ana hekima hadi pale anapoamua kupanua kichwa chake kuzungumza yaliyo ndani yake. Kuna vitu unakutana navyo unajiuliza "reaction" ipi itakua ni sahihi hupati majibu, hujui uhudhunike, ucheke, ushangae au ukasirike.

Unakuta mtu anakukasirikia hakujui, just tu kasoma maandishi yako anakuijia juu as if mna ugomvi wa miaka kenda 🤣. Hivi sote humu ni binadam? Au kuna viumbe tusio wajua hatuna habari.
 
Je Arsis anaweza kutabiri mambo yajayo..kama ilivyo kuwa kwa shehe yahya ..kama ndio emu atabiri jambo moja kati ya mwaka huu hapo..ndipo ntaa Amin angalau
Siwezi,
Sijawahi kusikia hilo, sina ujuzi nalo zaidi ya kusema...

Qur'an imesema imeshushwa Kiarabu na sababu za kua kwa Kiarabu imejielezea .
Simba.
 
Acha vijana watoe yalio mioyoni mwao.
 
Unaweza kutuandikia stori nzima katika uzi mmoja?
 
Kuna mwamba huko nyuma ulitaja wasifa wake kama alikuwa muislam lakini akaaasi ulipiga ramli¿
Ile sio ramli, yale ni mambo yaliokwishatokea. Sio yajayo.

Ni elimu tu ile, inaitwa "elimu ya nafs". Kingereza "psychology".

Kuna elimu naweza kuwapa vijana mkifatilia huu uzi, mkaonekana ni watu wa ajabu sana. Ngoja nikupe ya kwanza;

Anza kujifundisha majina ya vitu, mfano mti fulani, halafu ujue majani yake, maua yake, dawa zake, Vyote uvielewe majina yake tu. Ukisha u master huo, anA kingine. Mfano kijiko chako cha kulia chakula, unaweza kupata majina yake mangapi? kimetengenezwa na nini na nini, jua majina yake, mtengenezaji wake nani? Jua jina lake. Pata majina ya hicho kisu kuanzia mwanzo wake mpaka kufikia kwako.
Simba.
 
Kuna jambo umetaka kulieleza hapa afu hujalimaliza, nahisi kuna madini ebu limalizie ndugu Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…