- Thread starter
- #3,861
Upo sahihi kabisa. Uwezo wa kupiga ramli? Huo sina kabisa na siwezi hata kujaribu. Ni haramu Kiislam.Hana huo uwezo
Unaonesha hujapitia vizuri uzi, swali kama hilo nimejibu mara kadhaa kwenye huu uzi.
Simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi kabisa. Uwezo wa kupiga ramli? Huo sina kabisa na siwezi hata kujaribu. Ni haramu Kiislam.Hana huo uwezo
Siwezi, kabisa tena.Je Arsis anaweza kutabiri mambo yajayo..kama ilivyo kuwa kwa shehe yahya ..kama ndio emu atabiri jambo moja kati ya mwaka huu hapo..ndipo ntaa Amin angalau
Kuna tofauti kati ya ramli na elimu wapopewa mtihani wajibu hiyo ni ramli au elimu.¿Siwezi, kabisa tena.
Siwezi,Je Arsis anaweza kutabiri mambo yajayo..kama ilivyo kuwa kwa shehe yahya ..kama ndio emu atabiri jambo moja kati ya mwaka huu hapo..ndipo ntaa Amin angalau
Sijawahi kusikia hilo, sina ujuzi nalo zaidi ya kusema...وَيَنْبَغِي أَنْ تَدْفَعَ رِسَالَةً رَسْمِيَّةَ تُرَافِقُ عَرْضَ الْأَسْعَارِ لِلْبَيْعِ.
neno ardh ni kweli limetumika hapa kama quatation. na sio ardhi kwa maana ya earth.
swal langu.wakat wa kisa miraj niliwah kusikia jibril huwa anapewa aya kuzishusha ila anapewa si kwa lugha ya kiarabu ispokuwa anakuja kuifikisha kwa lugha ya kiarabu dunian.je ninkweli?
Elimu.Kuna tofauti kati ya ramli na elimu wapopewa mtihani wajibu hiyo ni ramli au elimu.¿
Hatuwezi.Hivi Arsis hawezi kutupa ofa ya mikeka mechi za Leo na kesho jaman
Kwanini imeharamishwa...?!Hawezi.
Kamari ni haramu Kiislam.
Acha vijana watoe yalio mioyoni mwao.Ambacho hajuwi si jibu wewe? Kwani alificha? Hata habari ya majini mbona kaandika humu kuwa anaileta kwa imani yake ya Kiislam.
Ninachomkubali mimi, hajakataza mtu yeyote kuleta chochote jwa imani yake isipokuwa katusisitiza Waislam tutumie Qur'an kwenye hoja zetu.
Unaweza kutuandikia stori nzima katika uzi mmoja?Mbona unakasirika bila ya sababu?
Hapa ni jukwaa huru. Karibu sana na wewe utupe elimu na ujuzi wako ulionao. Sisi wetu ndio kama unavyotusoma. Hakuna kigezo wala mipaka kwenye elimu.
Kama kitu hujakielewa usikasirike, uliza maswali.
Hkienda page namba 1 ya uzi huu, utapunguza kupoteza muda, tumeweka links za mada zilizomo.
Kuna mwamba huko nyuma ulitaja wasifa wake kama alikuwa muislam lakini akaaasi ulipiga ramli¿Elimu.
Uelewa wetu unasema kuyajua yajayo kunaitwa "ghaib" na sisi hatuijui ghaib, bali tunaiamini Ghaib tunayofundishwa na Muumba wetu.
Simba.
Kwa sasa siwezi, isipokua mbona kuzipata story ni rahisi sana, pitia link, tazama post namba 1, scroll utaona links za kila story; Index ya story za Simba na Arsis.Unaweza kutuandikia stori nzima katika uzi mmoja?
Ile sio ramli, yale ni mambo yaliokwishatokea. Sio yajayo.Kuna mwamba huko nyuma ulitaja wasifa wake kama alikuwa muislam lakini akaaasi ulipiga ramli¿
AhsanteKwa sasa siwezi, isipokua mbona kuzipata story ni rahisi sana, pitia link, tazama post namba 1, sctroll utaona links za kila story; Index ya story za Simba na Arsis.
Kuna jambo umetaka kulieleza hapa afu hujalimaliza, nahisi kuna madini ebu limalizie ndugu Simba.Ile sio ramli, yale ni mambo yaliokwishatokea. Sio yajayo.
Ni elimu tu ile, inaitwa "elimu ya nafs". Kingerera "psychology".
Kuna elimu naweza kuwapa vijana mkifatilia huu uzi, mkaonekana ni watu wa ajabu sana. Ngoja nikupe ya kwanzaa; Anza kujifundisha majina ya vitu, mfano mti fulani, halafu ujue majani yake, maua yake, dawa zake, Vyote uvielewe majina yake tu. Ukisha u master huo, anA kingine. Mfano kijiko chako cha kulia chakula, unaweza kupata majina yake mangapi? kimetengenezwa na nini na nini, jua majina yake, mtengenezaji wake nani? Jua jina lake. Pata majina ya hicho kisu kuanzia mwanzo wake mpaka kufikia kwako.
Simba.
Shukrani mkuu natazamia ya mbeleni kutoka kwenuhatujakusahau
Simba.