Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Teh, Maisha haya ase, hatari tupu.

Kila mkaa mkimya hudhaniwa ana hekima hadi pale anapoamua kupanua kichwa chake kuzungumza yaliyo ndani yake. Kuna vitu unakutana navyo unajiuliza "reaction" ipi itakua ni sahihi hupati majibu, hujui uhudhunike, ucheke, ushangae au ukasirike.

Unakuta mtu anakukasirikia hakujui, just tu kasoma maandishi yako anakuijia juu as if mna ugomvi wa miaka kenda 🤣. Hivi sote humu ni binadam? Au kuna viumbe tusio wajua hatuna habari.
 
Je Arsis anaweza kutabiri mambo yajayo..kama ilivyo kuwa kwa shehe yahya ..kama ndio emu atabiri jambo moja kati ya mwaka huu hapo..ndipo ntaa Amin angalau
Siwezi,
وَيَنْبَغِي أَنْ تَدْفَعَ رِسَالَةً رَسْمِيَّةَ تُرَافِقُ عَرْضَ الْأَسْعَارِ لِلْبَيْعِ.
neno ardh ni kweli limetumika hapa kama quatation. na sio ardhi kwa maana ya earth.
swal langu.wakat wa kisa miraj niliwah kusikia jibril huwa anapewa aya kuzishusha ila anapewa si kwa lugha ya kiarabu ispokuwa anakuja kuifikisha kwa lugha ya kiarabu dunian.je ninkweli?
Sijawahi kusikia hilo, sina ujuzi nalo zaidi ya kusema...

Qur'an imesema imeshushwa Kiarabu na sababu za kua kwa Kiarabu imejielezea .
Simba.
 
Ambacho hajuwi si jibu wewe? Kwani alificha? Hata habari ya majini mbona kaandika humu kuwa anaileta kwa imani yake ya Kiislam.

Ninachomkubali mimi, hajakataza mtu yeyote kuleta chochote jwa imani yake isipokuwa katusisitiza Waislam tutumie Qur'an kwenye hoja zetu.
Acha vijana watoe yalio mioyoni mwao.
 
Mbona unakasirika bila ya sababu?

Hapa ni jukwaa huru. Karibu sana na wewe utupe elimu na ujuzi wako ulionao. Sisi wetu ndio kama unavyotusoma. Hakuna kigezo wala mipaka kwenye elimu.

Kama kitu hujakielewa usikasirike, uliza maswali.

Hkienda page namba 1 ya uzi huu, utapunguza kupoteza muda, tumeweka links za mada zilizomo.
Unaweza kutuandikia stori nzima katika uzi mmoja?
 
Kuna mwamba huko nyuma ulitaja wasifa wake kama alikuwa muislam lakini akaaasi ulipiga ramli¿
Ile sio ramli, yale ni mambo yaliokwishatokea. Sio yajayo.

Ni elimu tu ile, inaitwa "elimu ya nafs". Kingereza "psychology".

Kuna elimu naweza kuwapa vijana mkifatilia huu uzi, mkaonekana ni watu wa ajabu sana. Ngoja nikupe ya kwanza;

Anza kujifundisha majina ya vitu, mfano mti fulani, halafu ujue majani yake, maua yake, dawa zake, Vyote uvielewe majina yake tu. Ukisha u master huo, anA kingine. Mfano kijiko chako cha kulia chakula, unaweza kupata majina yake mangapi? kimetengenezwa na nini na nini, jua majina yake, mtengenezaji wake nani? Jua jina lake. Pata majina ya hicho kisu kuanzia mwanzo wake mpaka kufikia kwako.
Simba.
 
Ile sio ramli, yale ni mambo yaliokwishatokea. Sio yajayo.

Ni elimu tu ile, inaitwa "elimu ya nafs". Kingerera "psychology".

Kuna elimu naweza kuwapa vijana mkifatilia huu uzi, mkaonekana ni watu wa ajabu sana. Ngoja nikupe ya kwanzaa; Anza kujifundisha majina ya vitu, mfano mti fulani, halafu ujue majani yake, maua yake, dawa zake, Vyote uvielewe majina yake tu. Ukisha u master huo, anA kingine. Mfano kijiko chako cha kulia chakula, unaweza kupata majina yake mangapi? kimetengenezwa na nini na nini, jua majina yake, mtengenezaji wake nani? Jua jina lake. Pata majina ya hicho kisu kuanzia mwanzo wake mpaka kufikia kwako.
Simba.
Kuna jambo umetaka kulieleza hapa afu hujalimaliza, nahisi kuna madini ebu limalizie ndugu Simba.
 
Back
Top Bottom