Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
njiwa ana hoja ya msingi, kwakuwa msingi wa fefference yako ni Quran basi jibu hoja Quran inakuruhusu mafungamano na majini? Hapa Arsis muweke pembeni maana amesema yeye siyo jini, kuna majini wawili umeshirikiaa nao na wewe ni mkubwa kwaoNdugu yangu umesoma Sheikh Lidafo kuhusu Qareen? Umemuelewa? Umeiona na nyama nilioongezea mimi kidooogo?Je, na hapo utasema kua Bwana Mtume Muhamaad (SAW) alikua anafuga jini? Au hujamuelewa alichojibu?
Ukiyajibu na yale maswali yangu mengine utapata jibu kamili ndani ya nafsi yako.
Simba.
Hapa kila jibu unaloliona nasaini mimi chini, haijalishi la nani. Mimi ndio nilobeba jukumu.njiwa ana hoja ya msingi, kwakuwa msingi wa fefference yako ni Quran basi jibu hoja Quran inakuruhusu mafungamano na majini? Hapa Arsis muweke pembeni maana amesema yeye siyo jini, kuna majini wawili umeshirikiaa nao na wewe ni mkubwa kwao
Rudi kwenye mada acha porojoKama unasubiri "hitiumisho" basi umewahi sana, ndio kwanza tupo utangulizi wa kisa cha adam, bado hata hatujakimaliza kisa hicho, fikiria , kiishe, kianze cha Issa kiishe, na vya mitume wengine viishie, halafu in between kuna vionjo vya kina Arsis.
ElIMU haitaki haraka, unachotakiwa kufanya ni mimi nakupa "skeleton" , wewe ulijazilie nyama kwa tafiti zako za kielimu.
Unapoona tuna hitilafiana, unakuja na elimu yako tunajadili, inaweza kua mmoja wetu yupo sahihi zaidi ya mwengine. Lakini unapokuja na maneno yako matupu tu, nakuona hujaelewa unachhokisoma, unachotakiwa kama hujaelewa uulize. Mbona mimi nauliza maswali?
Simba.
Hujakosea, nia yangu nikupe elimu kuliko uliokua nayo au unipe elimu nisiokua nayo.Nimeelewa na au kuna uelewa fulani unataka wewe niwe nao . Nimesema mimi ni mwanafunzi seems like hakuna jipya unaoweza kunifunza wacha nipite mbali
Mtume Mohamad Rehema na Amani ziwe juu yake hakuwahi kuwatumia majini na huo ndio msimamo ila yeye kama mtume aliwahi na alikuwa na uwezo wa kuongea nao pale wanapojitokeza kwake kumbuka sio kuwaita... Majini yaliwahi kumjia Mtume wasilimishwe .. baada ya kumsikia akisoma Quran ..
Note📌 RasoolAllah Hajawahi kuwaita majini ili awatume, ile awaague watu au kuwa na Urafiki na jini yeyote.
Nitoe onyo wa waislam watakao pita kwenye hili thread kuna wachawi wanaojifunika na kujipa jina la usheikh.. sijui Sharifa majini , de Sule na wengine mfano wa hao ... na kuunasibisha uislamu na kuwatumia hawa viumbe (majini) ilahli wao ni wachawi na ni madai waliosimama katika milango ya jahanam watawatumbukiza katika jehanam . Uislamu sahihi ni kufuata mwenendo wa mtume pamoja na tabeen katika zile karne tatu bora . UFuGAJi, KUTUMIA MAJINI KUFANIKISHA JAMBO FLANI HiYo SI DINI BALI NI UCHAWI ..
Wana ukumbi huu UZI umeishia hapa zilizo baki ni porojo tuu.Nimeelewa na au kuna uelewa fulani unataka wewe niwe nao . Nimesema mimi ni mwanafunzi seems like hakuna jipya unaoweza kunifunza wacha nipite mbali
Mtume Mohamad Rehema na Amani ziwe juu yake hakuwahi kuwatumia majini na huo ndio msimamo ila yeye kama mtume aliwahi na alikuwa na uwezo wa kuongea nao pale wanapojitokeza kwake kumbuka sio kuwaita... Majini yaliwahi kumjia Mtume wasilimishwe .. baada ya kumsikia akisoma Quran ..
Note📌 RasoolAllah Hajawahi kuwaita majini ili awatume, ile awaague watu au kuwa na Urafiki na jini yeyote.
Nitoe onyo wa waislam watakao pita kwenye hili thread kuna wachawi wanaojifunika na kujipa jina la usheikh.. sijui Sharifa majini , de Sule na wengine mfano wa hao ... na kuunasibisha uislamu na kuwatumia hawa viumbe (majini) ilahli wao ni wachawi na ni madai waliosimama katika milango ya jahanam watawatumbukiza katika jehanam . Uislamu sahihi ni kufuata mwenendo wa mtume pamoja na tabeen katika zile karne tatu bora . UFuGAJi, KUTUMIA MAJINI KUFANIKISHA JAMBO FLANI HiYo SI DINI BALI NI UCHAWI ..
Mbona una lugha kama kuna ugomvi kijana?Rudi kwenye mada acha porojo
Mbona unatufungia uzi? Uliuanzisha wewe?Wana ukumbi huu UZI umeishia hapa zilizo baki ni porojo tuu.
Kuna mambo hayaelewi na ni mzito kufuta ujinga aliosomeshwa na kusoma mapya.Mbona unatufungia uzi? Uliuanzisha wewe?
Kama wewe unaona porojo, si ondoka tu.
Mwashangaza kujifunika katika kivuli cha uislamMbona unatufungia uzi? Uliuanzisha wewe?
Kama wewe unaona porojo, si ondoka tu.
Allah at a waongoza In shaa AllahKuna mambo hayaelewi na ni mzito kufuta ujinga aliosomeshwa na kusoma mapya.
Simba.
Hujajibu swali la njiwa , swali kwa kifupi ni hili Quran inaruhusu waislamu kushirikiana na majini? Swali fupi tu na rahisi na halijajibiwa bado.Hapa kila jibu unaloliona nasaini mimi chini, haijalishi la nani. Mimi ndio nilobeba jukumu.
Hilo la jini ni lugha tu, kwa maana hio sisi sote humu ni majini, ka kua hatruonani, kila mmoja wetu kajificha nyuma ya keyboard.
Kuhusu swali la Qareen nimeona watu wawili wamejibu, na mimi nimeongezea nyama kidogo, na wote wameanza kwa kutumia Qur'an, sasa kuna mtu hajaridhika na majibu hayo? Nikaongezea, kama unazipitia posts vizuri, kua In shaa Allah nitakuja kuelezea kwa kina kuhusu qareen wakati somo lake litakapofikia.
Simba.
usishau tu kua Mtume Muhammad alikua ni Mtume kwa majini pia. Au sivyo?Nimeelewa na au kuna uelewa fulani unataka wewe niwe nao . Nimesema mimi ni mwanafunzi seems like hakuna jipya unaoweza kunifunza wacha nipite mbali
Mtume Mohamad Rehema na Amani ziwe juu yake hakuwahi kuwatumia majini na huo ndio msimamo ila yeye kama mtume aliwahi na alikuwa na uwezo wa kuongea nao pale wanapojitokeza kwake kumbuka sio kuwaita... Majini yaliwahi kumjia Mtume wasilimishwe .. baada ya kumsikia akisoma Quran ..
Note📌 RasoolAllah Hajawahi kuwaita majini ili awatume, ile awaague watu au kuwa na Urafiki na jini yeyote.
Nitoe onyo wa waislam watakao pita kwenye hili thread kuna wachawi wanaojifunika na kujipa jina la usheikh.. sijui Sharifa majini , de Sule na wengine mfano wa hao ... na kuunasibisha uislamu na kuwatumia hawa viumbe (majini) ilahli wao ni wachawi na ni madai waliosimama katika milango ya jahanam watawatumbukiza katika jehanam . Uislamu sahihi ni kufuata mwenendo wa mtume pamoja na tabeen katika zile karne tatu bora . UFuGAJi, KUTUMIA MAJINI KUFANIKISHA JAMBO FLANI HiYo SI DINI BALI NI UCHAWI ..
Soma tu majibu yangu, posts zipo nyingi. Kisha utaamua wewe, sio mimi. Kwanini nijibu mimi na Qur'an ambayo ndio mwongozo wetu ipo.Hujajibu swali la njiwa , swali kwa kifupi ni hili Quran inaruhusu waislamu kushirikiana na majini? Swali fupi tu na rahisi na halijajibiwa bado.
AlhamduliLlah, mimi ni Muislam na mwongozo wangu wa msingi ni Qur'an. Sio maneno yako wewe wala ya mwengine yeyote yule.Mwashangaza kujifunika katika kivuli cha uislam
Kuna tabu gani ukiquote Quran kijibu kama ni ruksa waislamu kushirikiana na majini? mimi ni maamuma sijui Quran hapa najifunza.Soma tu majibu yangu, posts zipo nyingi. Kishsa utaamua wewwe, sio mimi. Kwanini nijibu mimi na Qur'an ambayo ndio mwongozo wetu ipo.
Uislam sio dini kipofu, ya kufata fulani kasema hivi au vile, hapana. Tuisome Qur'an kama mwongozo wetu wa mwanzo na ndio rejea yetu. Tusiongezee yetu binafsi.
Simba.
Tunamuomba kutwa, kwa uchache mara 17, atuongoze sote katika njia ilionyooka. (ihdina) ni plural.Allah at a waongoza In shaa Allah
Kuna tabu gani ukiquote Quran kijibu kama ni ruksa waislamu kushirikiana na majini? mimi ni maamuma sijui Quran hapa najifunza.
Nimekupata, ndiyo ile "iliterate people of the 21st century are not those who can't read or write. illiterate people of the 21st century are those who learn but can't unlearn and relearn".Kuna mambo hayaelewi na ni mzito kufuta ujinga aliosomeshwa na kusoma mapya.
Simba.