Kama unasubiri "hitiumisho" basi umewahi sana, ndio kwanza tupo utangulizi wa kisa cha adam, bado hata hatujakimaliza kisa hicho, fikiria , kiishe, kianze cha Issa kiishe, na vya mitume wengine viishie, halafu in between kuna vionjo vya kina Arsis.
ElIMU haitaki haraka, unachotakiwa kufanya ni mimi nakupa "skeleton" , wewe ulijazilie nyama kwa tafiti zako za kielimu.
Unapoona tuna hitilafiana, unakuja na elimu yako tunajadili, inaweza kua mmoja wetu yupo sahihi zaidi ya mwengine. Lakini unapokuja na maneno yako matupu tu, nakuona hujaelewa unachhokisoma, unachotakiwa kama hujaelewa uulize. Mbona mimi nauliza maswali?
Simba.