Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Ndugu yangu umesoma Sheikh Lidafo kuhusu Qareen? Umemuelewa? Umeiona na nyama nilioongezea mimi kidooogo?Je, na hapo utasema kua Bwana Mtume Muhamaad (SAW) alikua anafuga jini? Au hujamuelewa alichojibu?

Ukiyajibu na yale maswali yangu mengine utapata jibu kamili ndani ya nafsi yako.
Simba.
njiwa ana hoja ya msingi, kwakuwa msingi wa fefference yako ni Quran basi jibu hoja Quran inakuruhusu mafungamano na majini? Hapa Arsis muweke pembeni maana amesema yeye siyo jini, kuna majini wawili umeshirikiaa nao na wewe ni mkubwa kwao
 
Hapa kila jibu unaloliona nasaini mimi chini, haijalishi la nani. Mimi ndio nilobeba jukumu.

Hilo la jini ni lugha tu, kwa maana hio sisi sote humu ni majini, ka kua hatruonani, kila mmoja wetu kajificha nyuma ya keyboard.

Kuhusu swali la Qareen nimeona watu wawili wamejibu, na mimi nimeongezea nyama kidogo, na wote wameanza kwa kutumia Qur'an, sasa kuna mtu hajaridhika na majibu hayo? Nikaongezea, kama unazipitia posts vizuri, kua In shaa Allah nitakuja kuelezea kwa kina kuhusu qareen wakati somo lake litakapofikia.
Simba.
 
Kama unasubiri "hitiumisho" basi umewahi sana, ndio kwanza tupo utangulizi wa kisa cha adam, bado hata hatujakimaliza kisa hicho, fikiria , kiishe, kianze cha Issa kiishe, na vya mitume wengine viishie, halafu in between kuna vionjo vya kina Arsis.

ElIMU haitaki haraka, unachotakiwa kufanya ni mimi nakupa "skeleton" , wewe ulijazilie nyama kwa tafiti zako za kielimu.

Unapoona tuna hitilafiana, unakuja na elimu yako tunajadili, inaweza kua mmoja wetu yupo sahihi zaidi ya mwengine. Lakini unapokuja na maneno yako matupu tu, nakuona hujaelewa unachhokisoma, unachotakiwa kama hujaelewa uulize. Mbona mimi nauliza maswali?
Simba.
Rudi kwenye mada acha porojo
 
Nimeelewa na au kuna uelewa fulani unataka wewe niwe nao . Nimesema mimi ni mwanafunzi seems like hakuna jipya unaoweza kunifunza wacha nipite mbali

Mtume Mohamad Rehema na Amani ziwe juu yake hakuwahi kuwatumia majini na huo ndio msimamo ila yeye kama mtume aliwahi na alikuwa na uwezo wa kuongea nao pale wanapojitokeza kwake kumbuka sio kuwaita... Majini yaliwahi kumjia Mtume wasilimishwe .. baada ya kumsikia akisoma Quran ..

Note📌 RasoolAllah Hajawahi kuwaita majini ili awatume, ile awaague watu au kuwa na Urafiki na jini yeyote.

Nitoe onyo wa waislam watakao pita kwenye hili thread kuna wachawi wanaojifunika na kujipa jina la usheikh.. sijui Sharifa majini , de Sule na wengine mfano wa hao ... na kuunasibisha uislamu na kuwatumia hawa viumbe (majini) ilahli wao ni wachawi na ni madai waliosimama katika milango ya jahanam watawatumbukiza katika jehanam . Uislamu sahihi ni kufuata mwenendo wa mtume pamoja na tabeen katika zile karne tatu bora . UFuGAJi, KUTUMIA MAJINI KUFANIKISHA JAMBO FLANI HiYo SI DINI BALI NI UCHAWI ..
Hujakosea, nia yangu nikupe elimu kuliko uliokua nayo au unipe elimu nisiokua nayo.

Naona hata Qareen ulikua hujui mpaka ulipojifunza kwenye uzi huu.

Umeshindwa kujibu maswali ili sisi tujifunze kutoka kwako? Mwanafunzi mwenye elimu isioweza kujifunza mengine au kufundisha mengine?

Mbona unaikimbia elimu? Kutpa au kupokea?

Nakuhahakishia bado u mwanafunzi, tena wa elimu ya msingi. Hizi za hapa sio za buu baa, mpaka ujikite na uwe na nia ya kusoma kweli kweli, ni nzito sana kwako, mpaka uwe na uwezo wa kufanya tafiti, japo ndogo ndogo za kwenye mtandao. Kama tufanyavyo wengine.
Simba.
 
Nimeelewa na au kuna uelewa fulani unataka wewe niwe nao . Nimesema mimi ni mwanafunzi seems like hakuna jipya unaoweza kunifunza wacha nipite mbali

Mtume Mohamad Rehema na Amani ziwe juu yake hakuwahi kuwatumia majini na huo ndio msimamo ila yeye kama mtume aliwahi na alikuwa na uwezo wa kuongea nao pale wanapojitokeza kwake kumbuka sio kuwaita... Majini yaliwahi kumjia Mtume wasilimishwe .. baada ya kumsikia akisoma Quran ..

Note📌 RasoolAllah Hajawahi kuwaita majini ili awatume, ile awaague watu au kuwa na Urafiki na jini yeyote.

Nitoe onyo wa waislam watakao pita kwenye hili thread kuna wachawi wanaojifunika na kujipa jina la usheikh.. sijui Sharifa majini , de Sule na wengine mfano wa hao ... na kuunasibisha uislamu na kuwatumia hawa viumbe (majini) ilahli wao ni wachawi na ni madai waliosimama katika milango ya jahanam watawatumbukiza katika jehanam . Uislamu sahihi ni kufuata mwenendo wa mtume pamoja na tabeen katika zile karne tatu bora . UFuGAJi, KUTUMIA MAJINI KUFANIKISHA JAMBO FLANI HiYo SI DINI BALI NI UCHAWI ..
Wana ukumbi huu UZI umeishia hapa zilizo baki ni porojo tuu.
 
يأيها الذين ءمنو إن جأء كم فاسق بنباء فتبينو أن تصيبو قوما بجهلة فتصبحو عل ما فعلتم ند مين
 
Hapa kila jibu unaloliona nasaini mimi chini, haijalishi la nani. Mimi ndio nilobeba jukumu.

Hilo la jini ni lugha tu, kwa maana hio sisi sote humu ni majini, ka kua hatruonani, kila mmoja wetu kajificha nyuma ya keyboard.

Kuhusu swali la Qareen nimeona watu wawili wamejibu, na mimi nimeongezea nyama kidogo, na wote wameanza kwa kutumia Qur'an, sasa kuna mtu hajaridhika na majibu hayo? Nikaongezea, kama unazipitia posts vizuri, kua In shaa Allah nitakuja kuelezea kwa kina kuhusu qareen wakati somo lake litakapofikia.
Simba.
Hujajibu swali la njiwa , swali kwa kifupi ni hili Quran inaruhusu waislamu kushirikiana na majini? Swali fupi tu na rahisi na halijajibiwa bado.
 
ومن الناس من يقول ءامنا بالله وباليوم الاخروماهم بمؤمنين

يخدعون الله والذين ءامنو وما يخد عون إلا أنفسهم ومايشعرون
 
Nimeelewa na au kuna uelewa fulani unataka wewe niwe nao . Nimesema mimi ni mwanafunzi seems like hakuna jipya unaoweza kunifunza wacha nipite mbali

Mtume Mohamad Rehema na Amani ziwe juu yake hakuwahi kuwatumia majini na huo ndio msimamo ila yeye kama mtume aliwahi na alikuwa na uwezo wa kuongea nao pale wanapojitokeza kwake kumbuka sio kuwaita... Majini yaliwahi kumjia Mtume wasilimishwe .. baada ya kumsikia akisoma Quran ..

Note📌 RasoolAllah Hajawahi kuwaita majini ili awatume, ile awaague watu au kuwa na Urafiki na jini yeyote.

Nitoe onyo wa waislam watakao pita kwenye hili thread kuna wachawi wanaojifunika na kujipa jina la usheikh.. sijui Sharifa majini , de Sule na wengine mfano wa hao ... na kuunasibisha uislamu na kuwatumia hawa viumbe (majini) ilahli wao ni wachawi na ni madai waliosimama katika milango ya jahanam watawatumbukiza katika jehanam . Uislamu sahihi ni kufuata mwenendo wa mtume pamoja na tabeen katika zile karne tatu bora . UFuGAJi, KUTUMIA MAJINI KUFANIKISHA JAMBO FLANI HiYo SI DINI BALI NI UCHAWI ..
usishau tu kua Mtume Muhammad alikua ni Mtume kwa majini pia. Au sivyo?

Pia katika moja ya swali langu nilikuuliza kuhusu Sulaiman, unakumbuka?

Kama ulikua hujafahamu kwanini nilikuuliza kisa cha Nabii Sulaimna, soma mistari hii chini ya mwongozo wetu, Qur'an, aliopewa Mtume Muhammad (SAW) atufikishie;

Q:38:35. Akasema: Mola wangu Mlezi! Nisamehe na unipe ufalme usio mwelekea yeyote baada yangu. Hakika Wewe ndiye Mpaji. 36. Basi tukaufanya upepo umtumikie, ukenda kwa amri yake, popote alipo taka kufika. 37. Na tukayafanya mashet'ani yamtumikie, wote wajenzi na wapiga mbizi. 38. Na wengine wafungwao kwa minyororo. 39. Hichi ndicho kipawa chetu.

Natumai umeielewa hio mistari.

Napenda kukufahamisha, kua tusifikie kuhukumu watu kwa elimu chache tulio nayo.
Simba.
 
Hujajibu swali la njiwa , swali kwa kifupi ni hili Quran inaruhusu waislamu kushirikiana na majini? Swali fupi tu na rahisi na halijajibiwa bado.
Soma tu majibu yangu, posts zipo nyingi. Kisha utaamua wewe, sio mimi. Kwanini nijibu mimi na Qur'an ambayo ndio mwongozo wetu ipo.

Uislam sio dini kipofu, ya kufata fulani kasema hivi au vile, hapana. Tuisome Qur'an kama mwongozo wetu wa mwanzo na ndio rejea yetu. Tusiongezee yetu binafsi.
Simba.
 
Soma tu majibu yangu, posts zipo nyingi. Kishsa utaamua wewwe, sio mimi. Kwanini nijibu mimi na Qur'an ambayo ndio mwongozo wetu ipo.

Uislam sio dini kipofu, ya kufata fulani kasema hivi au vile, hapana. Tuisome Qur'an kama mwongozo wetu wa mwanzo na ndio rejea yetu. Tusiongezee yetu binafsi.
Simba.
Kuna tabu gani ukiquote Quran kijibu kama ni ruksa waislamu kushirikiana na majini? mimi ni maamuma sijui Quran hapa najifunza.
 
Hakuna tabu kabisa, unaonesha posts unaziruka, kasome hii, binya link: Umeziona aya za Qur'an?

Msiwe na haraka, elimu kubwa haitaki haraka. Someni kwa umakini tu. Huu sio uzi wa kuufanyia haraka.
Simba.
 
Back
Top Bottom