Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Janja janja nyingi sana wewe jamaa majibu yakoJini kilugha ya Kiarabu ni kitu kilichoficha, chukulia mfano hapa hapa Jamii Forums, asilimia kubwa tumejificha. Naamini Asilimia kubwa hapa tunampenda Yesu.
Simba.
Nakumbuka kwenye uzi liliulizwa swali la neno "shirki", ushirikina, kushirikiana, usharika, kushirikisha. Hayajatolewa majibu.Solution yake huyo ni shirki
I wish you all the best
Leta majibu yako, jukwaa huru hili.Janja janja nyingi sana wewe jamaa majibu yako
Mimi hata sina majibu. Ingawa hiyo haiondoi the fact kwamba maswali yasiyojibiwa sawa sawa nitashindwa kujuaLata majibu yako, jukwaa huru hili.
Mwaga elimu.
Simba.
Shukrani kwako kwa ushauri mzuriUnaandika vizuri tu. Nimekuelewa.
Nadhani kuna mtu alikushauri juu hapo uongee na baba ya mkeo. Naunga mkono ile hoja. Nahisi ni pazuri kwa kuanzia.
Ushauri wangu, usiwe hisia (emotions) kali za hisia kwa mkeo mpya kwa sasa. Mkazanie kila yanapomtokea, ashike sala na ibada. Kama ana majini tena ni Walimu kama asemavyo, hayana sababu ya kumtesa. Yanamtesa ili iweje? Si yatamfundisha tu?
Pia kama ya mefungwa na babake, vipi yatamtesa?
Huyi mkeo anapima kina chamaji kwa sasa. Usiwe na hisia za huruma kabisa na mwambie ashike ibada, kama hivhgo voshetani ni walimu bzxzi watajitokeza bila kumtesa n hawatopanda au kuongea kupitia kumwingia yeye, watakuwa wanampa ndoto au wanawasiliana nae kwa fikra 9 teleparhically).
Nahisi kama mkep anadeka, lakini anadeka kwa njia alizokulia nazo kwenye malezi yake. Usimwendekeze.
Simba.
Nashukuru kwa ushauri wako mzuri na naahidi kuufanyia kazi.Unaandika vizuri tu. Nimekuelewa.
Nadhani kuna mtu alikushauri juu hapo uongee na baba ya mkeo. Naunga mkono ile hoja. Nahisi ni pazuri kwa kuanzia.
Ushauri wangu, usiwe hisia (emotions) kali za hisia kwa mkeo mpya kwa sasa. Mkazanie kila yanapomtokea, ashike sala na ibada. Kama ana majini tena ni Walimu kama asemavyo, hayana sababu ya kumtesa. Yanamtesa ili iweje? Si yatamfundisha tu?
Pia kama ya mefungwa na babake, vipi yatamtesa?
Huyi mkeo anapima kina chamaji kwa sasa. Usiwe na hisia za huruma kabisa na mwambie ashike ibada, kama hivhgo voshetani ni walimu bzxzi watajitokeza bila kumtesa n hawatopanda au kuongea kupitia kumwingia yeye, watakuwa wanampa ndoto au wanawasiliana nae kwa fikra 9 teleparhically).
Nahisi kama mkep anadeka, lakini anadeka kwa njia alizokulia nazo kwenye malezi yake. Usimwendekeze.
Simba.
Huo udongo ninao nauuza tena ni original kama kuna mtu anauhitaji anicheck 0658651056..na unatibu magonjwa yote ya ngozi..Ungepiga simu, kaweka namba za simu. FF kasema yeye anautumia mpaka leo. Mimi nimeununua si zamani sana, kwa sabau hizi habari za tiba ya huo udoongo sijajulishwa zamani sana na Arsis, nilikua siujui.
Tena mimi sina namba ya simu, ila leo nimeipata. Matatizo ya ngozi yameingia, watu wanapiga magita mjini huko kama hawana akili vizuri. (kupiga gita ni kujikuna).
Simba.
Huyo "Masih"wanaemfuata kwa matendo Yao ni Mungu au siyo Mungu?Kwa sababu Waislam ndie anaomfata Kristo, kwa matendo yao. wWao wanamwita "Masih", maana ni hio hio "kristo".
Simba.
Binafsi kwa sasa kuna mada nazileta, sijazikamilisha, sipendelei kushiriki mjadala huo kwa undani zaidi. Natumai wapo Waislam watakuja kujibu.Huyo "Masih"wanaemfuata kwa matendo Yao ni Mungu au siyo Mungu?
Kama siyo Mungu ni nani??(kama ni mtume ni nani Muhammad au Issa)
Nini ambacho hujakijua kwenye jibu langu, kasome tena.Mimi hata sina majibu. Ingawa hiyo haiondoi the fact kwamba maswali yasiyojibiwa sawa sawa nitashindwa kujua
Mimi sijaongea kiarabu, nimeongea kiswahili.Jini kwa lugha ya Kiarabu ni kitu kilichoficha, chukulia mfano hapa hapa Jamii Forums, asilimia kubwa tumejificha. Naamini Asilimia kubwa hapa tunampenda Yesu.
Simba.
understoodBinafsi kwa sasa kuna mada nazileta, sijazikamilisha, sipendelei kushiriki mjadala huo kwa undani zaidi. Natumai wapo Waislam watakuja kujibu.
Nategemea siku za usoni kuleta mada ya Issa (Yesu) katika Uislam.
Simba.
Hivyo ni vidokezo tu vya mjadala wa kielimu, visikutie hofu, Hatuvifundishi hivyo, lakini kuna sehemu imebidi tuweke ili ijulikane tumepataje maana ya jina au kitu fulani.Kila nikijaribu kusoma kisa cha mzee Adamu naishiwa nguvu kabisa.
Ombi ; Kama Kuna mtu ataweza, kisa kitakapoisha basi akiandike upya Kwa mfumo wa usimulizi mana fani za kilugha zinanikata stim kabisa.
Hizo cjui swarf, nahwu, mutwalaa, tajweed, tafseer, tafsiil na fani Gani Gani cjui ziwekwe mwisho wa andiko for reference issues.
Sio Kingereza, ni chakula cha ki Mexico, tena cha zamani sana, kabla ya mzungu kuingiza mguu wake bara la Marekani.Mimi sijaongea kiarabu, nimeongea kiswahili.
Au haujui Tako kwa kiingereza ni aina ya chakula
Wanaelewa sana tu.understood
itakuwa vizur kuleta somo Hilo.... ila kuhusu waislamu kujibu sidhan kama watakuwa na usahihi wako maana I'm not even sure kama wana uelewa kuhusu hoja uliyoitoa hapo juu
Naomba kuuliza swali hapa.Tarajama ya Qur'an ya Sheikh Ali Muhsin Barwan...
Q 2:136. Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.136
Tumia chochote unachopenda mradi hakikisha tu ni kweli cha Mwenyezi Mungu.Naomba kuuliza swali hapa.
Je kwa sisi waafrika, kuna haja gani kutumia Biblia au Qur'an kwenye maisha yetu ili kumjua Mungu au Allah wakati vitabu hivyo vimeletwa na Wazungu na Waarabu?
Vitaendelea, tena kwa wingi tu.mim nadhan ungeendelea kuleta visa vya kojan tu. vile ndio vina mafunzo.na vibuki
Mwanzoni mwansimulizi ulisema umehitimu form four tu, sielewi upande wa kidini una elmu kiasi gani?Sio Kingereza, ni chakula cha ki Mexico, tena cha zamani sana, kabla ya mzungu kuingiza mguu wake bara la Marekani.
Neno jini la Kiswahili limetokana na neno la Kiarabu na maana yake ndio kama nilivyokuelekeza.
Kama unaongea Kiswahili, ukipenda usipende utatumia maneno mengi sana yanayotokana na Kiarabu.
Simba.