Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Solution yake huyo ni shirki

I wish you all the best
Nakumbuka kwenye uzi liliulizwa swali la neno "shirki", ushirikina, kushirikiana, usharika, kushirikisha. Hayajatolewa majibu.

Mwaga elimu, unamaanisha nini?
Simba.
 
Unaandika vizuri tu. Nimekuelewa.

Nadhani kuna mtu alikushauri juu hapo uongee na baba ya mkeo. Naunga mkono ile hoja. Nahisi ni pazuri kwa kuanzia.

Ushauri wangu, usiwe hisia (emotions) kali za hisia kwa mkeo mpya kwa sasa. Mkazanie kila yanapomtokea, ashike sala na ibada. Kama ana majini tena ni Walimu kama asemavyo, hayana sababu ya kumtesa. Yanamtesa ili iweje? Si yatamfundisha tu?

Pia kama ya mefungwa na babake, vipi yatamtesa?

Huyi mkeo anapima kina chamaji kwa sasa. Usiwe na hisia za huruma kabisa na mwambie ashike ibada, kama hivhgo voshetani ni walimu bzxzi watajitokeza bila kumtesa n hawatopanda au kuongea kupitia kumwingia yeye, watakuwa wanampa ndoto au wanawasiliana nae kwa fikra 9 teleparhically).

Nahisi kama mkep anadeka, lakini anadeka kwa njia alizokulia nazo kwenye malezi yake. Usimwendekeze.
Simba.
Shukrani kwako kwa ushauri mzuri

Nashukuru kwa ushauri wako mzuri na naahidi kuufanyia kazi.
 
Ungepiga simu, kaweka namba za simu. FF kasema yeye anautumia mpaka leo. Mimi nimeununua si zamani sana, kwa sabau hizi habari za tiba ya huo udoongo sijajulishwa zamani sana na Arsis, nilikua siujui.
Tena mimi sina namba ya simu, ila leo nimeipata. Matatizo ya ngozi yameingia, watu wanapiga magita mjini huko kama hawana akili vizuri. (kupiga gita ni kujikuna).
Simba.
Huo udongo ninao nauuza tena ni original kama kuna mtu anauhitaji anicheck 0658651056..na unatibu magonjwa yote ya ngozi..
 
Kwa sababu Waislam ndie anaomfata Kristo, kwa matendo yao. wWao wanamwita "Masih", maana ni hio hio "kristo".
Simba.
Huyo "Masih"wanaemfuata kwa matendo Yao ni Mungu au siyo Mungu?

Kama siyo Mungu ni nani??(kama ni mtume ni nani Muhammad au Issa)
 
Kila nikijaribu kusoma kisa cha mzee Adamu naishiwa nguvu kabisa.

Ombi ; Kama Kuna mtu ataweza, kisa kitakapoisha basi akiandike upya Kwa mfumo wa usimulizi mana fani za kilugha zinanikata stim kabisa.

Hizo cjui swarf, nahwu, mutwalaa, tajweed, tafseer, tafsiil na fani Gani Gani cjui ziwekwe mwisho wa andiko for reference issues.
 
Binafsi kwa sasa kuna mada nazileta, sijazikamilisha, sipendelei kushiriki mjadala huo kwa undani zaidi. Natumai wapo Waislam watakuja kujibu.

Nategemea siku za usoni kuleta mada ya Issa (Yesu) katika Uislam.
Simba.
 
Jini kwa lugha ya Kiarabu ni kitu kilichoficha, chukulia mfano hapa hapa Jamii Forums, asilimia kubwa tumejificha. Naamini Asilimia kubwa hapa tunampenda Yesu.
Simba.
Mimi sijaongea kiarabu, nimeongea kiswahili.

Au haujui Tako kwa kiingereza ni aina ya chakula
 
Binafsi kwa sasa kuna mada nazileta, sijazikamilisha, sipendelei kushiriki mjadala huo kwa undani zaidi. Natumai wapo Waislam watakuja kujibu.

Nategemea siku za usoni kuleta mada ya Issa (Yesu) katika Uislam.
Simba.
understood

itakuwa vizur kuleta somo Hilo.... ila kuhusu waislamu kujibu sidhan kama watakuwa na usahihi wako maana I'm not even sure kama wana uelewa kuhusu hoja uliyoitoa hapo juu
 
Kila nikijaribu kusoma kisa cha mzee Adamu naishiwa nguvu kabisa.

Ombi ; Kama Kuna mtu ataweza, kisa kitakapoisha basi akiandike upya Kwa mfumo wa usimulizi mana fani za kilugha zinanikata stim kabisa.

Hizo cjui swarf, nahwu, mutwalaa, tajweed, tafseer, tafsiil na fani Gani Gani cjui ziwekwe mwisho wa andiko for reference issues.
Hivyo ni vidokezo tu vya mjadala wa kielimu, visikutie hofu, Hatuvifundishi hivyo, lakini kuna sehemu imebidi tuweke ili ijulikane tumepataje maana ya jina au kitu fulani.
Simba.
 
Mimi sijaongea kiarabu, nimeongea kiswahili.

Au haujui Tako kwa kiingereza ni aina ya chakula
Sio Kingereza, ni chakula cha ki Mexico, tena cha zamani sana, kabla ya mzungu kuingiza mguu wake bara la Marekani.

Neno jini la Kiswahili limetokana na neno la Kiarabu na maana yake ndio kama nilivyokuelekeza.

Kama unaongea Kiswahili, ukipenda usipende utatumia maneno mengi sana yanayotokana na Kiarabu.
Simba.
 
understood

itakuwa vizur kuleta somo Hilo.... ila kuhusu waislamu kujibu sidhan kama watakuwa na usahihi wako maana I'm not even sure kama wana uelewa kuhusu hoja uliyoitoa hapo juu
Wanaelewa sana tu.
Simba.
 
Tarajama ya Qur'an ya Sheikh Ali Muhsin Barwan...

Q 2:136. Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.136
Naomba kuuliza swali hapa.
Je kwa sisi waafrika, kuna haja gani kutumia Biblia au Qur'an kwenye maisha yetu ili kumjua Mungu au Allah wakati vitabu hivyo vimeletwa na Wazungu na Waarabu?
 
Tumia chochote unachopenda mradi hakikisha tu ni kweli cha Mwenyezi Mungu.

Uislam unatufundisha "hakuna kukirihishana kwenye dini.".
Simba.
 
Sio Kingereza, ni chakula cha ki Mexico, tena cha zamani sana, kabla ya mzungu kuingiza mguu wake bara la Marekani.

Neno jini la Kiswahili limetokana na neno la Kiarabu na maana yake ndio kama nilivyokuelekeza.

Kama unaongea Kiswahili, ukipenda usipende utatumia maneno mengi sana yanayotokana na Kiarabu.
Simba.
Mwanzoni mwansimulizi ulisema umehitimu form four tu, sielewi upande wa kidini una elmu kiasi gani?

Lakini kinachonishingaza una uelewa mkubwa wa mambo ambayo hauendani na elimu dunia uliyonayo, na jinsi unavyoifafanuwa Qur'an kuna masheikh weñgi tu wakubwa hawawezi kufanya ufafanuzi huu.

Sasa hapa nini siri yake wewe ndio mwenye ilmu na uelewa huu au unacopy kwa Arsis na kupaste hapa?

Kuna vitu unaandika hapa kwa elimu dunia mtu wa level ya form four hawezi kuvijuwa unless awe na bidii sana ya kujisomea.
 
Back
Top Bottom