Ndiyo ule upumbavu! Si umeambiwa Wajerumani wanatumia majini? Huko Marekani, hata wanauza majini, tena kwenye mtandao! Wakristo wenzako. Acha upumxxxx$@%#&Kwa hiyo Waarab ndiyo majini yenyewe na ndiyo maana Waislam pekee ndiyo wanakuwa na majini, si ndiyo? Sijawahi ona mtu aliye safi wa kiroho akawa na majini ni waislam tu pekee. Waafrika tunapigwa changa la macho hapa, tuwaachie Waarab na majini yao.
Sijawahi kuwa mkimbizi.Canada? huoneshi kuwa mkimbizi!
kwa mind pre-occupation ilio display hapa napata uhakika kuwa napaswa kuanza na wewe toka mbali, hivyo kwa neema ya Mungu nikipata nafasi nitakurudia, sitaki kukupa juu juu tu majibuSijui Wakristo wanajua hakuna 'Gospel' (Injili) ya aslia popote pale, zilizopo ni tafsiri tu.
What is gospel, tuanzie hapo, kwan wewe unaelewa nini kuhusi Gospel.Na hao waliofasiri hawakuwa na 'Gospel' ya asli kabisa.
Gospel ni utunzi wa Mark, Luke, Matthew na John. Ukifungua Gospel Utasoma This is Gospel according to (kwa mujibu wa)
Concept hii haiishii ku apply kwenye gospel tu pekee bali kwenye kila kitabu cha Bible, kuanzia kwenye Torati, zaburi mpaka ManabiiSt. Mark, au, according to St. Luke au according to St Matthew, au according to St. John.
Ukiifaham /jibu la concept ya hapo juu mwisho ndio linaanzia kukupa mwanga wa kipengele hili cha mwisho.Nataka Mkristo aniambie kwa nini ikaandikwa 'kwa mujibu wa'
Jini kwa maana ya kilugha au?Nani asiyekuwa jinni hapa JF?
Kwani Jinni ina maana ipi zaidi?Jini kwa maana ya kilugha au?
Ni kweli Jini hawezi kuwa mkimbiziSijawahi kuwa mkimbizi.
Nakubali ganja ni HerbsDawa kubwa sana.
Siku za usoni tutaelewashana dawa ya nini na nini neno assassin la Kingereza lilivotokana na neno hashashin la Kiarabu.
Simba.
Ile dawa hata ma RPC wanatumia mbonaNaona unataka kugombana na Polisi sasa.
Nipo.Arsis amekacha Uzi au??
watu wanataka darsa
Hapana, safari hii ilikua ni zaidi ya magari.walykum msalaam.
umepotea simba ulikuwa bize na magari
Labda nilikosea typing, ni 1876 lakini mawakala wao walianza kuja kabla ya hapo kidogo.Mimi ni muumini wa maisha mengine na majini. Stri hii nilikuwa naanza kuimini hadi ulipandika mwaka wa kufika Wajerumani Tanzania kuwa ni 1076. Wakati hu hakukuwa hata na Ujerumani! Wazungu wengi walikuwa wanaishi mapangni! Uliksea kutaipu?
Malizia vibuki wa comorosNipo.
Nilishikika kwa mambo muhimu sana ambayo nisingeweza kuyaepuka.
Tutaendeleza tulipoishia, kuna viporo viwili navikumbuka, kimoja cha Adam na kimoja vionjo vya Arsis cha vibuki wa Comoros.
Kisa hiki kifupi lakini kitamu sana, kilibadilisha kabisa mtazamo wangu wa maisha kwa siku hizo.
Mnambie niendeleze cha Adam au nimalizie cha vibuki wa Comoros?
Karibu tenaHabari za Alfajiri wana ukumbi?
Mtanisamehe sana kwa kupotea ghafla.
Kulikuwa na mambo ya kifamilia yaliyonifanya niwepo Tanga mjini na mahandakini kwa muda mrefu kiasi kuliko kawaida, na kutokea huko huko nikapata safari ya ghafla bin vuu ilionifikisha nchi mbili za Kiarabu bila kutarajia.
Pateni kionjo cha safari, mtaunganisha dots wenyewe kwa kufyatua codes:
View attachment 3141064
In shaa Allah najiweka sawa kukiendeleza.Karibu tena
Kisa cha Adam uliishia njiani, Tupe muendelezo
In shaa Allah najiweka sawa kukiendeleza.