FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Arsis
Kwa kuwa juu kidogo hapo umeturuhusu tuulize chochote. leo nipo kwa Manara wa Yanga na Simba.
Nadhani unamfahamu Manara na hali yake ya Ualbino. Alipokuwa Simba, simba iling'ara na kufanya vizuri, alipoondoka simba, haukupita muda simba ikaanza kufifia, Yanga ikapaa alivyoingia Yanga. Sasa Yanga amefanyiwa mizengwe, inaanza kufifia.
Kuna uhusiano wowote kati ya Manara na hayo matokeo? Na hali yake ya Ualbino inachangia hilo?