Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Arsis
Kwa kuwa juu kidogo hapo umeturuhusu tuulize chochote. leo nipo kwa Manara wa Yanga na Simba.

Nadhani unamfahamu Manara na hali yake ya Ualbino. Alipokuwa Simba, simba iling'ara na kufanya vizuri, alipoondoka simba, haukupita muda simba ikaanza kufifia, Yanga ikapaa alivyoingia Yanga. Sasa Yanga amefanyiwa mizengwe, inaanza kufifia.

Kuna uhusiano wowote kati ya Manara na hayo matokeo? Na hali yake ya Ualbino inachangia hilo?
 
FF

Wewe ndio unalalamika simalizii visa, halafu wewr ndio unakuja na maswali mazito. Tutamalizia kweli visa namna hii?

Anyway, kuhusu Manara, namfahamu.

Kwenye hili la Manara kuna mambo manne kama sio matano.

2) Jina lake lina uhusiano mkubwa sana na ushindi kiukoo.

2) Manara anaujuwa mpira - football), kazaliwa kwenye kizazi cha mpira kuumeni na kukeni.

Kwa sasa huwezi kumlinganisha na yeyote kwenye soka la Tanzania. Yupo juu sana.

3) Albino wanatafutwa viungo vyao wakiwa hai au wamekufa kwa sababu ya tissue zao, zinatumika kuzalisha dawa za kujidunga na kula kuwafanya watu wawe weupe.

4) wanatafutwa sana vivuli vyao na wachawi ili wavitumie kwa manufaa yao.

5) Manara kishaielewa binafsi faida ya vivuli vyake na kajua na kaanza kuzowea kuvitumia kwa faida yake.

Kwa vyovyote vile, ukiwa timu moja na Manara ujue upo na timu ya ushindi, iwe biashara au michezo.
 
FF

Wewe nduo unalalamika simalizii visa, halafu wewr ndio unakuja na maswali mazito. Tutamalizia kweli visa namna hii?

Anyway, kuhusu Manara, namfahamu.

Kwenye hili lw Manat kuna mambo manne kama sio matano.

4) wanatafutwa sana vivuli vyao na wachawi ili wavitumue kwa manufaa yao.

5) Manara kiashaielewa binafsi faida ya vivuli vyake na kajua na kaanza kuzowea kuvitumia kwa faida yake.

Hapo Arsis ukubali matokeo tu, umezalisha maswali mengi sana kwa majibu yako.

kama nimekuelewa hivi.
 
Kwa vyovyote vile, ukiwa timu moja na Manara ujue upo na timu ya ushindi, iwe biashara au michezo.hawa yanga inanidi wamludishe manara kwenye nafasi yake bwana waache ubabaishaji.
 
Hapo Arsis ukubali matokeo tu, umezalisha maswali mengi sana kwa majibu yako.

kama nimekuelewa hivi.
FF tatizo la sasa la kufungwa fungwa Yanga sio la Manara.

Kuna mwanamke yupo Yanga kwa kujilazimisha na kwa tamaa zake, ni hatari sana huyo, anatumia wachawi wa kishenzi na kijinga kabisa na yeye washamwingiza kuwa mchawi.
 
Naomba kuuliza swali moja kwa Arsis. Je sisi binadamu tunazaliwa na kuishi mara moja tu. Yani tangu dunia ilivoumbwa ndio tumezaliwa hivi sasa? Au kuna siri nyingine ambayo hatuijui?
 
FF tatizo la sasa la kufungwa fungwa Yanga sio la Manara.

Kuna mwanamke yupo Yanga kwa kujilazimisha na kwa tamaa zake, ni hatari sana huyo, anatumia wachawi wa kishenzi na kijinga kabisa na yeye washamwingiza kuwa mchawi.
sasa umeianzisha lingine kabisa. Funguka.
 
FF tatizo la sasa la kufungwa fungwa Yanga sio la Manara.

Kuna mwanamke yupo Yanga kwa kujilazimisha na kwa tamaa zake, ni hatari sana huyo, anatumia wachawi wa kishenzi na kijinga kabisa na yeye washamwingiza kuwa mchawi.
Nimecheka sana mana kuna mtu alishawahi kusema huyo dada mchawi sana, mpenzi wake akamtaja kwny nyimbo, "tunguli zimenibamba *******" .....nadhani kuna uzi kabisa humu JF miaka ya nyuma, dunia hii ni zaidi ya tuijuavyo
 
FF

Wewe ndio unalalamika simalizii visa, halafu wewr ndio unakuja na maswali mazito. Tutamalizia kweli visa namna hii?

Anyway, kuhusu Manara, namfahamu.

Kwenye hili la Manara kuna mambo manne kama sio matano.

2) Jina lake lina uhusiano mkubwa sana na ushindi kiukoo.

2) Manara anaujuwa mpira - football), kazaliwa kwenye kizazi cha mpira kuumeni na kukeni.

Kwa sasa huwezi kumlinganisha na yeyote kwenye soka la Tanzania. Yupo juu sana.

3) Albino wanatafutwa viungo vyao wakiwa hai au wamekufa kwa sababu ya tissue zao, zinatumika kuzalisha dawa za kujidunga na kula kuwafanya watu wawe weupe.

4) wanatafutwa sana vivuli vyao na wachawi ili wavitumie kwa manufaa yao.

5) Manara kishaielewa binafsi faida ya vivuli vyake na kajua na kaanza kuzowea kuvitumia kwa faida yake.

Kwa vyovyote vile, ukiwa timu moja na Manara ujue upo na timu ya ushindi, iwe biashara au michezo.
asiione manara hii comet.
aione kwenye faili for your action.
 
Nimefahamishwa kua kazi yako ilikua inafanyika bila wewe kujijua na ulioteshwa.

Tunasubiri mrejesho wako tu sijaelezwa zaidi. Tueleze tofauti iliopo tu.
Of course hua ninaota ndoto za ajabu sana kiasi kwamba sielewi mkuu yaani ni kama natumiwa bila mimi kujijua

Just kuna siku naota na kwenye ndoto nahisi maumivu na kiuhalisia nahisi kweli ila nashindwa kuamka kabisa labda atokee mtu aniamshe
 
BUt Arsis sijaelewa unaposema umefaghamishwa kuwa kazi yangu ilikuwa inafanyika bila mimi kujijua, how?

NImeota ndoto nyingi za ajabu kiasi kwamba siwezi elezea wala kukumbuka vizuri
 
Kusema kweli nimetamani sana kumjua Arsis ila basi tu sina namna, sometimes naingia mpaka google kumcheki ila naambulia band moja ya kizungu😂😂, Even those social media accounts on the phone i got nothing serious too!

Arsis najua utasoma hapa na pengine labda umenitembelea na kuniona bila mimi kujua(it's alright even if you didn't), at least let me see you once

I feel terrible you know? can't you see, I feel sad!

You know I even asked God(prayed) if he could let me see you, maybe become friends After all am still a young man and have a lot to learn from you
 
Usifikiri sote tutakua na namna moja katika uandishi wetu, kila mmoja na namna yake.

Namna yangu inalenga kwa makusudi kabisa kuacha watu wawe na maswali.
Kama hukuelewa kitu uliza, naweza kukujibu mimi au mwengine yeyote, ni uzi wa wazi huu.

Hakuna kisa humu cha kukianza na kukimaliza moja kwa moja. Hilo sahau.
Binafsi niumekuelewa, unataka tukuulize maswali, au sivyo?
 
FF tatizo la sasa la kufungwa fungwa Yanga sio la Manara.

Kuna mwanamke yupo Yanga kwa kujilazimisha na kwa tamaa zake, ni hatari sana huyo, anatumia wachawi wa kishenzi na kijinga kabisa na yeye washamwingiza kuwa mchawi.
"washamwingiza" vipi kuwa mchawi? Hapa tuffanunulie Arsis.
 
Nimecheka sana mana kuna mtu alishawahi kusema huyo dada mchawi sana, mpenzi wake akamtaja kwny nyimbo, "tunguli zimenibamba *******" .....nadhani kuna uzi kabisa humu JF miaka ya nyuma, dunia hii ni zaidi ya tuijuavyo
Diamond aliwahi kumsema nakumbuka vizuri kabisa!
 
Back
Top Bottom