Sijali
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 2,672
- 1,814
Ndiyo ule upumbavu! Si umeambiwa Wajerumani wanatumia majini? Huko Marekani, hata wanauza majini, tena kwenye mtandao! Wakristo wenzako. Acha upumxxxx$@%#&Kwa hiyo Waarab ndiyo majini yenyewe na ndiyo maana Waislam pekee ndiyo wanakuwa na majini, si ndiyo? Sijawahi ona mtu aliye safi wa kiroho akawa na majini ni waislam tu pekee. Waafrika tunapigwa changa la macho hapa, tuwaachie Waarab na majini yao.