Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Kwa Hatua Nyingine Haiwezekani..
KWa sababu utakuwa Umepitia Mengi na Makubwa Ambayo lazima Utakuwa na Majibu mengi sana Kuhusu Ulimwengu hivyo ni vigumu sana..

Lets Assume ni kama Elimu ya Shule..
Umeanza Kusoma Kuanzia Darasa La Kwanza La Pili mpaka Darasa la 7..

Kumbuka Ukifail darasa la Kwanza Utarudia darasa la kwanza mpaka Ambapo utakapofaulu na Kwenda Darasa la pili..
Ikitokea Ukaona Hakuna Faida ya Kusoma kwa sababu kila mara Unafeli utachukia Shule na Kuona Ni kupoteza Muda na Kwakuwa umeshuhudia baadhi ya Siri za kusoma Utaona Pia usomi ni Ujinga kwa Sababu wanatumia Nguvu nyingi wakati unaweza ukapita Shortcut na Ukapata Mapesa..

Imagine Umekwisha Pita Darasa la kwanza Na la pili na La tatu na Unajua Kuandika na kusoma Vizuri vipi unaweza hata Ukiacha Shule bado utakuwa unajua Umuhimu wa Shule kwani Tayari Unajua Kusoma Na kuandika kwahyo huwezi kutukana shule ila Utaona Umuhimu wa Shule na Utajilaumu kwa Kushindwa Kufatilia shule..

Nadhani kwa mfano huo Umenielewa??
 
Duuh thanks so much mkuu, very thankful tunajifunza mapya kupitia wewe


God bless you sir!
 
Sawa.
Tuendelee na kanisa la pili.
 
Kaka una nondo kuliko arsis
Unafundisha vizur ila ingekua arsis angeruruka tu wala haeleweki
 
HUYU MTU KADRI NILIVYOKUWA NAMSOMA NIKAJUA NI MTU SIO NI MPOTOSHAJI KUWENI MAKINI SANA NIMEPITIA UZI ZAKE NIMEOGOPA HUYU MTU APIGWE SPANA AENDELEE HUKO KWENYE KOO ZAO ZA KISIMBA WACHAFU WANA LAANA HATA WANYAMA MAHAYAWANI HAWANA UCHAFU HUKO.
Aaaah kwsha kaz ndio mana anaongea ujinga kumbe yanakulana uskute hata sio arsis n wenge tuh analo kam hz ndio tabia zake
 
Mkuu DR Mambo Jambo nakukumbusha muendelezo wa chakrah # 2
 
Mkuu ukuanza uzi wako please nitag huyu simba keshazngua nmeishia pg 92
 
Naweka maguu
 
Watu wengi sana humu huwa hawamalizi visa vyao humu
Tqtz kama n kwer bas miti imeota sehem hmna wajenz angemoata mwenye akio timanu bas angetusaidia sana tatz hao wanakulana ndio maana laana hata kichwa ake haiko vzur ukchek kaongeq upuuz tuh na maswar yakijinga ndio anajibu yamsingi anazurura tuh kama ushuz wa maharagwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…