Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

T
This is the Truth in Christianity Doctrine.
The faith has northing to do with the demons but to cast them out wherever we contact them.
This is the Command from our Lord and Saviour Jesus Christ.
Mathayo (Mat) 10:8
Heal the sick, cleanse the lepers, raise the dead, cast out devils: freely ye have received, freely give.
Pamoja mkuu.

But kwa lengo la kujifunza story ya mkuu Corazon Espinado ni nzuri na it ia really eye opening for both the truth and the lie as long as spiritual essence is involved about the matter
 
Mwambie
Kwenye Qur'an.
. Kitabu pekee ambacho hakina shaka ndani yake.

Hata we we jinni tu, labda huelewi maana ya jinni ndiyo unaona ajabu sana.

Kuwa jinni siyo tatizo, kuwa shetani ndiyo tatizo.
Ndio mwambie Mtoa mada aulize maswala ya Dini yako ili upate majibu ambayo Mashehe wako hawaja wahi kukufundisha.
Mwulize kwanza uhalali wa jina la Isa badala ya kuanza kulopoka lopoka Jina la Yesu.
 
Pamoja mkuu.

But kwa lengo la kujifunza story ya mkuu Corazon Espinado ni nzuri na it ia really eye opening for both the truth and the lie as long as spiritual essence is involved about the matter
Tatizo naliona Baadhi ya wachangiaji Waislamu wanaanza kutumia hii simulizi kuukashifu Ukristo.
Wameanza kumwona Arsis kama Mungu wao na anachosema ndio kweli.
Nawashauli waanze kumwuliza huyo Arsis habari za Uislamu kwanza kabla ya kurukia Imani nyingine.
Binafsi naipenda hii simulizi kama ya kujifunza maarifa mapya, na sio kuyaona kuwa ndio maarifa sahihi
 
Mfano:
Arsis alijibu kuwa Mariamu mama wa Yesu hakuwa Bikra kabla ya kumzaa Yesu.

Kwa Imani yangu hii sio habari sahihi lakini nikajua hayo ni maneno yake.
Na wala sikuhamaki kwakuwa tunajifunza maarifa mapya.

Tusitumie majibu ya Arsis kudhihaki Imani nyingine la sivyo hii Mada itachafuka kabisa.
Kama una swali kwa Arsis muulize kuhusu Imani yako na uridhike na majibu yake.
 
Nitashangaa sana jini kujua kwa undani wa habari za YESU Kristo.!
Umeusoma ufafanuzi wa Arsis? Eti kweli jina "Yesu" mama'ke hakumuita hivyo hata siku moja?

Mama'ke alikuwa anamwita nani?

Arsis mtata sana, ansema mama'ke Yesu alikuwa siyo bikira.

Hili swali kwa Waislam; hivi Waislam wametowa wapi kuwa Yesu mama'ke alikuwa "bikra?
 
Unataka nikujibu Arsis alisema nini kuhusu hilo? Sitaki jazba lakini, ni majibu ya Arsis.

Arsis aliwahi kusema"Yesu mwenyewe kajua siku hizi kua kuna watu wanamuita Yesu". Nikamuuliz kwanini? Akanambia Yesu hajawahi kuitwa hivyo duniani. mama yake Yesu alikua anaongea Kiaramu (Aramaic) na Kimisri. Nilipomuuliza zaidi akanambia "wewe hupendi kusoma. Hizo lugha zote mbili zinafanana sana na Kiarabu cha zamani".
Tunachoshukuru hata arsis amejua yupo
 
Tunachoshukuru hata arsis amejua yupo
Kwa taarifa yako Majini wanamjua Yesu kupita anavyo julikana na Binadamu.

Wao walikuwepo na kumjua Mungu kabla ya Binadamu.

Ila kutokana na Imani ya Kikristo hiyo jamii ni kati ya jamii potofu na huwa wanazipotosha habari za Mbingu kwa makusudi ili kutimiza nia yao ya kumpotosha Binadamu.

Wewe wasikilize tu bila kuwa na wazo la kuwa amini kwakuwa Manabii wetu hawaja tuamrisha tumwamini Jini yeyote.
Kwa Neno lolote lile.
Baki kwenye maandiko yako ya Kinabii.
 
Hakuna manabii wala mitume wa Mungu (Yehova/Elohim) waliohubiria majini. Waka hajuna majin waliofuata mafundisho ya Kristo wala mitume wake hivyo hakuna majini yansyofungamana na ukristo. Huku we casting out the demons kwa mamlaka Ya jina kuu la Yesu. Hatupungi waka kupandisha pepo maaba hatuna ushirika nao wowote.
Ukiona mkristo anafanya hayo, tambua huo ni ushirikina wake binafsi wala hatuna doctrine za kijinga jinga hizo, our God is holly n pure, hachangamani na mapepo wala sisi tunaomuamin na kumfuata hatuna time na mapepo waka majini, si mazuri si mabaya kama myaitavyo.
Inaelekea hujui majini ni viumbe gani,unachanganya na mapepo,ufahamu wako katika mapepo tu,ndio maana sishangai juu ya maeleoz yako hapa

Kaa darasani nikufunue ubongo wako,iko hivi

Mapepo ni miongoni mwa majini,au mashetani,shetani ni kiumbe kiovu,kwahiyo majini ambao huwaingia watu ndio hayo mapepo,sasa mapepo ndio hayo ambayo huwadhuru watu iwe wakristo au waislamu,ndio hayo unayoona yanatolewa kwa maombezi

Ila viumbe wengine wa kijini wanamwabudu Mungu na kuishi maisha yao tofauti kabisa na sisi,kwahiyo si kwamba eti manabii walienda rasmi kufanya mahubiri na majini laa,ila wao majini kwakuwa wapo hapa duniani husikiliza mafunzo ya manabii na kwenda kuhabarishana huko na kusambaziana neno la Mungu,iko hivyo yani,ukubali ukatae iko hivyo

Hata katika uislamu hakuna mafungamano na majini,wao wana maisha yao na sisi yetu,ila baadhi ya binadamu wanashirikiana na majini kwa hulka zao,ndio siku ya kiama watalaumiana wao kwa wao,na majini wamewashika watu wengi sana katkka ushirikina wao,mfano hakuna mchawi anayefanya lolote bila kushirikiana na majini,kifupi wachawi na majini ni damu damu

Kwahiyo elewa ni wakati gani jini anakuwa pepo au mapepo,ni pale anapoacha maisha yake ya asilia na kuja kuwadhuru wanadamu period

Anyway siwajibiki kwa kuelewa kwako au laa,,utaamua mwenyewe

Asante
 
Muulize aris kuhusu mm.
Muulize unamfaham mtu anayetumia handle ya 100miles,
Nitafurahi kama atakujibu kuna jambo nataka kufaham
Huyu Arsis atawajuwa tu Watanzania ni kina nani.
Yeye Yuko kijiji Gani? Maana sio Duga (nawafungulia Codes).
Sijaona code uliyoifunguwa. Mbona kaelezea kwa upana ulipomuuliza? Mimi nimefahamu ipo Duga Maforoni na kasema hilo, Je, kweli ipo haipo?

Akasema Kuna msikiti wa Mashia hapo karibu na ilipokuwa kwa babu yake. Je, kweli hilo au hapana?

Akasema sahambani kwa alipokuwa babu yake wao wanapaita mapangoni lakini hiyo sehemu inaitwa mahandakini. Je, ipo mapangoni au mahandakini ufukweni huko?

Binafsi nimetafugta kwenye mtandao kutumia google mapos, nikaona ipo Duga Maforoni, nikaona ipo Mahandakini, hivi sasa natafuta mtu wa huko nimuulize kama anamfahamu au ipo nyumba inaitwa ya Mzee Mabruki hapo Duga Mafuruni? Au upo msikiti wa Mashia hapo Duga Maforoni.

Oia kasema kwao huko ndiyo njia mojawapo kuu ya kupitisha magendo kutokea na kwenda Kenya. Tena kasema wanapitisha sana baharini kutumia ngarawa na boats. Inaonesha ngarawa ni usafiri wa karibu sana, nimetazama google maps nimeona ni ni karibu sana na mpakani na Kenya hapo Duga Maforoni.

Hebu tufungulie na sisi hizo "codes" kwani kuna siri ipi hapa?

Siri niliyoiona mimi na kakataa kutaja, ni majina ya mawaziri waliokuwa wanakwenda kwa babu yake kwa matatizo yao.
 
Kwa taarifa yako Majini wanamjua Yesu kupita anavyo julikana na Binadamu.

Wao walikuwepo na kumjua Mungu kabla ya Binadamu.

Ila kutokana na Imani ya Kikristo hiyo jamii ni kati ya jamii potofu na huwa wanazipotosha habari za Mbingu kwa makusudi ili kutimiza nia yao ya kumpotosha Binadamu.

Wewe wasikilize tu bila kuwa na wazo la kuwa amini kwakuwa Manabii wetu hawaja tuamrisha tumwamini Jini yeyote.
Kwa Neno lolote lile.
Baki kwenye maandiko yako ya Kinabii.
Wakristo mnachanganya sana jinni na shetani. Hamwijuwi tofauti yake kwa sababu hamna ilm. Pigeni goti Waislam tuwaelimishe.
 
Binafsi yangu kwenye maswala ya kujifunza huwa nakuwa mweupe kabisa (neutral gear) napokea ninachokisikia bila kuweka mipaka hata kama kinapingana na ufahamu wangu.

Kisha siwi mpumbavu wa kupokea kila ninachokisikia, lazima niyapime. Hii mada iko deep sana na ni nzuri sana. Mkuu Simba shusha vitu.
 
Nilivyoelewa mimi kuwa Yesu siyo jina lake kabisa. bado naendelea kutafuta wakristo wamelitowa wapi jina Yesu? kwa karibu kabisa nimepata ni wagiriki na wayunani ndiyo walimuita Yesu, siyo Wayahudi na Waarabu.

Sema nimeanza kufahamu kuwa Yesu siyo Myahudi, kwa sababu nimeona kuwa mama yake ni mtu kutoka Misri na wayahudi wanafata asili na ukoo kutokea kwa mama. Wakristo wanaamini hana baba, Waislam wenfi wanaamini hana baba. mimi binafsi naamini anaye baba mzazi, code zake zinafunguliwa na Qur'an.

Hii mada nzito sana kuliko tunavyoiona kijuujuu, sijawaahi kuona mada, hapa JF, iliyonifanya nibukuwe kwa haraka haraka kama hii. Nimepata ma 'reference" kibao ya kuchimbuwa, nimepata kipya humu cha "Meritaton.".

Duh! hivi kuna ma reference kibao kila mmoja kaandika chakae kuhusu Meritaton, cha ajabu, bibilia haijaandika sana kuhusu mama yake Yesu, Qur'an imeandika sana kuhusu Mariam, na mleta mada katupa jipya kabisa kutokea kwa "Arsis".

Nayamani sana nimjuwe huyo "Arsis" n nani? naanza kuwaza isje kuwa "Khidr" kwenye maandiko ya Kiislam.

cc' Corazon Espinado
Hapa umechemka🤝..... Hidhr hawez fungiwa na majini kweny chupa!!!
Yule anaconnection na Allah moja kwa moja (n nabii yule)


Pia hapo kweny nabii Issa huenda anababa pia skushauri hata kufanya research.... Acha kabisa, ukifanya hvyo tafsiri yake umeanza kumtiria shaka Mwenyez mungu na mtume wake kuwa kunasehem wamedanganya🤝

Arsis, anaelim lakini ni kiumbe wa kusadikika sabb amna anayejua yeye n nani........ (Najaribu tu kuwaza je kama Arsis ndo Ibiris mwenyewe utajuaje, maan pia Ibiris ananguv, elim kubwa na uongo wa hali ya juu)

Kwahyo tusome Kama story vichache tuchukue vingine tuviache🚶
 
Umeusoma ufafanuzi wa Arsis? Eti kweli jina "Yesu" mama'ke hakumuita hivyo hata siku moja?

Mama'ke alikuwa anamwita nani?

Arsis mtata sana, ansema mama'ke Yesu alikuwa siyo bikira.

Hili swali kwa Waislam; hivi Waislam wametowa wapi kuwa Yesu mama'ke alikuwa "bikra?
Nenda kasome kwenye Surat maryam mazungumzo baina ya Jibreel (A.S) na Maryam...... Kuna sehemu Maryam anamuuliza Jibreel, vipi ntapata mwana ikiwa mwanaadam hajawahi nigusa??
Malaika akamwambia .... Hayo ni mepesi kwa Mungu


Pia kunasehemu kwenye Qur'an Mwenyezi Mungu anamtolea mfano nabii Issa kuwa n mfano wa nabii Adam (Yani wote hawakutoka kwenye jitihada za mwanaume 🤝)

Kwahyo hilo la Maryam kuwa bikra imethibitika ktk Qur'an hatujawaiga wakristo kumuita hvyo
 
Binafsi yangu kwenye maswala ya kujifunza huwa nakuwa mweupe kabisa (neutral gear) napokea ninachokisikia bila kuweka mipaka hata kama kinapingana na ufahamu wangu.

Kisha siwi mpumbavu wa kupokea kila ninachokisikia, lazima niyapime. Hii mada iko deep sana na ni nzuri sana. Mkuu Simba shusha vitu.
Naunga mkono hoja asimia zote. Hii mada ni deep sana. Imenifanya nichimbuwe makabrasha ya vitabu vya zamani na niwe napiga research za mtandaoni.
 
Back
Top Bottom