Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Kuna kipindi sababu ya udadisi nikaanza kuchimbua elim kujua uharisia wa mambo...

Nikaingia kweny group la MAGICAL NAMES AND SPELL.... (Huko wanadai wanaweza kuzungumza mpk na malaika na wanamafunzo yao n.k

nikaingia kweny watu wa KUNDALIN AWAKENING... (Nilienda kwa lengo la kujifunza tu, ila imani ilitaka kunidondoka wallah)

Elim inaokoa lakin pia inapotoa,,,, usiweke divai mpya kwenye viliba au chombo cha zamani (yasema hvyo Bible)

Kuna elim ukisema uzifate Kama huna misingi badala ya kupata maarifa unaenda kupotea🤝🤝

Kuna mambo ya Lucid dreaming na Astro projection (watu wanakufundisha namna ya kutenganisha nafsi nje ya mwili.... Na ni really maana nilishajaribu ingawa niliishia njian

Kwahyo elim zipo nyingi ila ukizifata kichwakichwa wallah kesho tu unakuwa bonge la mchawi

Kwenye mambo ya kiroho kabla hajaja Mungu hutangulia shetwan kwanza,,, Yan nashindwa niweke vipi hii kitu, au ngoja niishie hapa😥😥

Ila hizi elim ni mbaya sana.... Ili zisikutawale inabidi uwe na elim ya Allah pamoja na nguvu zake hapo ndo utaweza kubeba hzo elim zingine maana kwako zitakuwa ziada tu🤝🤝

Ukiwa karibu na Allah hata kina Arsis na Ramadyn wote waje hawafui dafu.... 🚶🚶
 
Naunga mkono hoja asimia zote. Hii mada ni deep sana. Imenifanya nichimbuwe makabrasha ya vitabu vya zamani na niwe napiga research za mtandaoni.
Ni kweli kuna maarifa mengi sana yamefichwa kwenye vitabu na ukifanya research ya kujisomea mwenyewe utajifunza mengi na kustaajabishwa sana ILA nimejifunza pia inabidi kuwa na misingi imara sana unapoanza kufanya research za kuyajua mambo yaliyofichwa.

Maana mara nyingi huwa yamebeba ajenda pia zenye lengo la kuteka ufahamu, hivyo misingi imara inatusaidia kuchambua pumba na mchele.

Misingi imara inapatikana kwa kuijua kweli, na kweli inapatikana kwa kulisikia na kulielewa neno, na neno linapatikana katika vitabu vitakatifu ambavyo Muumba amehusika moja kwa moja na sio mitazamo ya wanadamu.
 
Kuna kitu kimoja huwa nakisema mara nyingi sana hapa JF, "huwa sikisii", hata kuliwaza hilo la "khidr" sijakisia, linatokana na majibu ya Arsis kusema kuwa yeye anaweza kuwa "chochote" kile kwa uwezo aliopewa na "Muumba wetu".

Arsis ni wa kufirika kama lilivyo jina "Khidr" ni la kufirika. Na lingine la "Asfi bin Barkhiya bin Mahalhal" (nimelipata humu kwenye huu zi kutoka kwa Arsis, nalo kufikirika pia. lakini siyo ya kukisia.

Nimesema "nawaza" sijasema ni Khdr, kuwaza ni swali la kujiuliza na pia kuliweka hapa jukwaani linataka majibu, nimewaza hivyo kwa sababu hata jina "khidr" ni la kusadikika, halipo ndani ya Qur'an, au labda mimi sijaliona, mwenzetu umeliona? Nnafahamu kuna kisa cha mjamwema aliyepewa Ilm na Allah, alikutana na Mtume Musa. Nisome tena. hata hilo jina "Khidr" au ulivyomwita wewe "Hidhr" sina uhakika kama lipo kwenye Qur'an. Sijaliona.

Unaongelea "Khidr kuwa ni "Nabii" ska sifa zake au lugha? au kisio la watu waliotafsiri Qur'an wamekisia?Maana sijaona hilo jina kuwa katajwa kama Nabii ndani ya Qur'an.Labda lipo, Qur'an ni bahari kubwa sana, unawza kukisoma kitu kila siku usikielewe, ukaja kufunuliwa baadae sana. Imo hiyo.

Shusha ilm.

Hilo swali natamani na Arsis alijibu kama yeye kwa fikra zake.
 
Binafsi napenda sana kujisomea, ilm ya dini na chochote kile kinachonipitikia kukisoma au kukisomea. Mradi muongozo wangu mkuu ni Qur'an huwa sina shaka wala wasi wasi wa kusoma, nafahamu kuwa mipaka yangu imo kwenye Qur'an, najilinda nayo.
 
Qur'an imetaja visa vya manabii wachache tu... Na yenyewe pia imeeleza hvyo

Kuna manabii zaidi ya laki moja... Pia haya mambo tunayaona mapya kwasababu elim hii imewekwa pazia

(Kuna sehem katika Qur'an Mwenyezi Mungu anamwambia mtume wake.... Kwamba na wakikuuliza kuhusu maswala ya ROHO waambie hawakupewa elim ila kidogo kuhusu mambo hayo

Tafsiri yake wanaadam elim ya kiroho hatukupewa, mengi tumewekwa gizan
(Ndio sababu Arsis akijaribu kieleza kidogo tu uharisia ulivyo tunamuona muongo Kama yeye hajawah tokea, n kwasababu hatuna elim na mambo hayo na hatujawah yasikia wala kuyafikiria🤝🤝🤝

Hidhr n nabii kutokana na sifa alizoelezwa nazo... (Hakuelezewa Sana nadhan sabb n kuwa yupo kiroho zaidi kuliko kimwili, mwalim wangu aliwah niambia hidhr mpk leo hii yupo hapa Duniani)

Hzo n siri za Allah!!!!
Kweny Surat Mulk,,, Allah aliposema kaumba mbingu saba kwa matabaka hapo nadhan ndo zinazungumziwa hizi Dunia anazotaj Arsis... Ila sisi hatukugusiwa zaidi sabb n mambo yaliyo juu ya upeo wetu🤝

Dah yan nshachanganyikiwa hat sijui naongea nini..... Ila kweli huu uzi unamengi Sana🚶🚶🚶😥😥
 
Nimefurahishwa na ujibuji wako wa maswali.
Una utulivu mkubwa bila panic yeyote. Hongera.
Lkn kingne alichosahua ni kuwa ata huyu muhusika mkuu wa hii stori anakiri mwenyewe kuwa binadamu ndio kiumbe chenye akili zidi yake yeye mwenyewe na hao wengne.
Najivunia ili KWa kuwa binadamu.

Kuhusu kutafuta neno yesu na kutolipata asikate tamaa aendelee atalikuta binadamu wenzake faiza mbweha wenye akili kukuzidi ww mbweha huenda wameficha hayo maarifa endelea kujifunza.
Ahsante
 
Uislamu ndio hakuna kitu kabisa.
Wao hawawezi kutenda bila kushirikiana na majini.

Wakristo tunatumia jina tuh, Jesus au yesu linatosha kununua kila kitu apa duniani,

Jina yesu linao uwezo wa kununua nafsi, inanunua uzima, n.k.
Ndio kitu pekee chenye thamani kubwa apa duniani, jina la yesu kristo,

Muulize kwann hao majini wanaogopa jina la yesu kristo na kwamba wakitajiwa na mtu mwenye iman sawa sawa wanakimbia au wanateketea kabsa.

Kwann hatutumii jina la muhammad kwenye manunua yeyote yale apa duniani mfano kununua afya ya mtu, n.k

Hii inaonesha kuwa muhammad was nothing
 
Nyie wakristo kweny maswala ya elim ndio sifuri kabisa.... Bible yenyew inawaambia mnaangamia kwa kukosa maarifa

Chukua hii ikushughulishe kidogo kufikiri out of box:
Kasome kitabu cha agano la kale chenye kisa cha Mfalme Daudi na Mfalme Sauli na nabii Samweli
(Kama sijakosea n kitabu cha Wafalme au waamuzi)
Baada ya Mungu kumkasirikia Sauli na kumpa habari za kumnyanga'anya ufalme kupitia kinywa cha nabii Samweli..... Ikapita muda kidogo Samweli akafariki hvyo Sauli akawa hana mtu wa kumpa utabiri na kuibashiri kesho yake🤝

Sasa Sauli akaenda kwa muonaji (yaan mpiga bao au mganga)
Alivyofika kule akamwambia aiite nafsi ya Samweli kutoka kwenye ulimwengu wa wafu aje ili wazungumze nae amuulize alichotaka kumuuliza (kuwa makini twende pamoja)

Na yule muonaji akafanya hivyo akamuita Samweli na kweli nafsi yake ikaja....... Baada ya kuja nabii Samweli akalalamika wamemsumbua yeye alikuwa kishajipumzikia zake kaburini😂😂

(Haya ninayozungumza n Bible ukitaka kasome mwenyewe🤝)
Baada ya happy akazungumza na Sauli Kisha akaondoka zake

Sasa jiulize kitu.... Nafsi ya Nabii Samweli ilivyoitwa kwa mganga na ikaja, ilikuja kama nn (mzimu, jinn, roho mtakatifu au vp😁)

Maana nyie mnaamini kila kiumbe cha kiroho n shetani,,,,, (najua unawaza alikuja Kama roho mtakatifu👉haya niambie toka lini roho mtakatifu akaitwa na mganga kweny kilinge na akaja

Kwahyo usiongee vitu usivyo na elim navyo,,,,,, ukitaja majinn uwe na adabu maana pia n viumbe wa Mungu 🚶🚶

Hivi we unajua uharisia wa Yesu ni kiumbe gani.... (Yule sio pure human na sio God wala sio malaika...🤝

Hapo ndo utajua Mungu ni fundi... Ila hayo hamjui sabb kitabu chenu hakifundishi
 
Kifungu hapo kimesema wala hawatatoa sadaka tena kwa wale majini wanaofanya uesharati nao.

Kwahiyo hapo andiko limetambua hao majini ambao ni waovu,si ndio au naongopa?

Ndio tunakuja pale pale majini ambao wanaacha maisha yao halisi na kuchangamana na wanadamu ndio hao waovu,wanajulikana kama mapepo na mashetani.

Naomba ujue kitu kimoja ,majini kuwa wakristo au kutokuwa wakristo hakunipunguzii mm imani yangu au kuipandisha,wala uislamu wangu hauathiriki kabisa

Tupo hapa kuweka ukweli wa mambo,na ukweli utabakia ukweli siku zote,,kutojua jambo au kukataa jambo kwa kuamini kibubusa hakufanyi ukweli usisimame

Asante
 
Nimekuelewa, sana, Waislam pia tunaamini Issa (Yesu) ni Kristo, hilo neno Kristo Kiarabu chake ni "Masih", mdiyo maana sisi tunamwita Masih, unafahamu kwanini ni "Kristo", Kristo ni neno la Kigiriki, kama ambavyo hajawahi kusikia neno "Yesu" akiitwa "Meshikha" alipokuwa duniani na ndivyo hajawahi kusikia neno "Kristo. Kiarami (Aramaic ambayo ndiyo lugha ya mama'ke Issa. Kiarabu na Masih na Kiswahili ni Masihi.

Kuhusu kuwa Qur'an ni maneno ya Allah hilo sina shaka nalo na upo sahihi. Qur'an yenyewe inasema": 4:82. Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangeli kuta ndani yake khitilafu (contradictions) nyingi 82.

Utaona Qur'an yenyewe licha ya vingine, imejiwekea kigezo kizito sana cha khitilafu "contradictions".

Vipi Biblia, imejiwekea kigezo hicho au kingine chochote?
 
Duga ipi ambayo ipo km 4 hadi 5 kutoka Lami?? Mbona Duga zote mbili (Duga Maforoni na Duga Sigaya) zipo kwenye Lami. Sema kwa uwazu wewe ulienda kijiji gani. Usitufichefiche hamna atakayeenda kumloga mganga wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…