Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Imam shafii ameshawasema masufi miaka mingi sana ilopita katizame kitabu cha manaqibu shafii cha imamulbayhqi utaona jinsi imam shafii alivowaita masufi ni wapumbavu
 
Uwe na staha.
 
Habari za saa hizi wana ukumbi wote.

naomba mfahamu hii ID ya Arsis ndio mwanzo ilikua corazon Espinado nimeomba moderators waibadili.

Kwa kuwa tumeingia kwenye" vionjo vya Arsis" nikaona niitumie ID yake. Mtanisamehe sana kama italeta mkanganyiko wa hapa na pale mnisamehe sana. Pia naomba mfahamu nina ruksa ya kutumia ID kutoka kwa Arsis mwenyewe.

Nipo msibani Bagamoyo, nategemea kuondoka kesho kurudi kwangu. Binafsi nimeamua nichukue room Hotel nipumzike, kwa hio nitapata muda wa kupitia posts na kuzitolea majibu au ufafanuzi wangu au wa Arsis mwenyewe.
 
Tupe muendelezo mkuu
 
Kum Kumbe Arsis mwenyewe yupo hapa.
Jitambulishe kwanza, kabla hatuja kusulubu
 
Hili corazon kapita bila kutia neno
 
Hizi mambo aisee...

Nina maswali kadhaa hapa kama kuna wajuzi wanijuze ama huyo Arsis kwa njia ya mleta uzi mwenyewe...

1. Inasemekana binadamu ni kiumbe special, kiumbe unique, kiumbe mwenye nguvu etc, inakuaje huyu kiumbe akaingiwa na jini, kiumbe ambae ni dhaifu kwake, kiumbe wa chini yake.??

2. Jini kiumbe alie chini ya binadamu inakuaje anafanya mambo ambayo binadamu anafight kuyafanya for almost the rest of his/her life mfano; inasemekana jini anauwezo wa kusafiri umbali mrefu kwa muda mfupi kitu ambacho binadamu hawezi mpaka awe na elimu fiche juu ya hayo mambo na si ajabu akawa wa ajabu kwa binadamu wenzake wakati kwa jini wala sio kitu cha ajabu, na anaweza kasafiri hata kwa chini ya dakika 3 kwa umbali wowote duniani(kwa mujibu wa mleta uzi).

3. Jini anaweza kutoa uhai au kumuumbua binadamu au jini mwenzie wa chini yake(kwa mujibu wa mleta uzi) lakini binadamu hawezi kutoa uhai/kumuumbua jini au binadamu bila kutumia matungili, na kufukiza makitu mengi sana mpaka kupasua nazi, kuchinja wanyama na kafara za namna hiyo.

4. Mwisho ningependa kumuuliza mleta uzi, yeye anaamini Arsisi ni nani?? Sio binadamu, sio jini , sio shetani, sio Mungu ni nani hasa??
Anamuamini? Kama ndio/sio kwanini??
 
Duga ipi ambayo ipo km 4 hadi 5 kutoka Lami?? Mbona Duga zote mbili (Duga Maforoni na Duga Sigaya) zipo kwenye Lami. Sema kwa uwazu wewe ulienda kijiji gani. Usitufichefiche hamna atakayeenda kumloga mganga wako.
mkuu tatizo ww unaisoma simulizi kwa mazingira ya leo sio ya juzi haya ila msimuliaji kasema hii story kwa haya anayosimulia imeanzia mwaka 1998 ila kwa sasahivi mji uko ushabadilika sana..acha papara soma kwa kituo!
 
Duga ipi ambayo ipo km 4 hadi 5 kutoka Lami?? Mbona Duga zote mbili (Duga Maforoni na Duga Sigaya) zipo kwenye Lami. Sema kwa uwazu wewe ulienda kijiji gani. Usitufichefiche hamna atakayeenda kumloga mganga wako.
Hapa hata mimi namtetea nLeta mada, jasema kutoka hapo barabarani Duga unakwenda a kilomita 4 ndio u akwenda huko kwa babu yake.

Mbele huko ukimsoma kataja mpaka hapo Duga Maforoni babu yake alikua wapi na huko shamba kataja jina.

Wacha kukurupuka, soma kwanza.
 
Hatwendi hivyo kielimu, nipe aya, siyo eti "kuna sehemu".

Mimi nna uzi mzima wa hilo, tena siyo wa leo au jana. Pitia...

 
Bado hujajibu, kanisome tena kwa utulivu.

Huwa sikisii.
 
Mwambie
Ndio mwambie Mtoa mada aulize maswala ya Dini yako ili upate majibu ambayo Mashehe wako hawaja wahi kukufundisha.
Mwulize kwanza uhalali wa jina la Isa badala ya kuanza kulopoka lopoka Jina la Yesu.
Wewe nakujuwa kwa u poyoyo hapa JF.

. Hilo la "kwa jina la Yesu" kishaulizwa na Arsis kajibu, hujasoma kajibu nini?
 
Nakazia hapo nilipobold. Je Lucifer ana dini?🤔
 
Hao RAMADIYIN
Ooh, nimekuelewa, imetajwa sehemu kwa hilo jina Ramadiyi au umefikiria hivyo baada ya kusoma ?
. Nakuuliza hivyo kwa sababu mimi nimetengua jina kama alivyoelekeza Arsis nimepata kitu kama hivyo katika maandiko aliyoelekeza Arsis, tena huko nimekuta mengine mapya kabisa. Kumbe neno "vedic" alilotowa Arsis ni katika vitabu vya kale kabla hata ya biblia vya ki hindu, vimetafsiriwa kutoka lugha ya sanskrit. Pia nimepata jina Rama ni aina ya kiumbe katika hao "alliens". Bado napekua neno "dana".
 

Wacha kukwepa, nyinyi mnaita "madhabihu" tena ni nyama na damu ya watu mnawalisha watu makanisani.

Kama unabisha tuelezee ekarista "eucharist" ni nini?

Cc: Etugrul Bey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…