Hivi jina lako kwa Kiswahili linamaanisha nini?Wavaa kobazi na wasabato ndo vitu wana penda. Wame fikishwa penyewe ,wana jipakulia minyama
Usiseme wanaukumbi.Wana ukumbi, kuna vionjo vitatu vya Arsis, kuna visa viwili vilivyotokana na safari yangu ya Shinyanga, kimoja kilifanyika Dar na kimoja kilifanyika Zanzibar (unguja), kingine ni elimu yani cha sayansi ya dunia na sayari za karibu ya dinia kwa mtazamo wa Arsis.
Mtapenda tuanze na kipi katika hivyo ili tupige navyo story hivyo, ikiwezekana vyote weekend hii.
Acha kuharibu uzi ndugu! Sisi tunafuatilia kisa hiki kama unaona huendani nacho unaweza kuachana na hii story.Usiseme wanaukumbi.
Sema ndugu zangu Waislamu.
Ni bora niharibu huu Uzi ili kuwaokoa watu na mafundisho potofu ya Majini.Acha kuharibu uzi ndugu! Sisi tunafuatilia kisa hiki kama unaona huendani nacho unaweza kuachana na hii story.
labda hujamsoma Arsis vizuri, kuna sehemu kasema yeye ni mason. Kwa kuongezea, msimamo wake ni tifauti kabisa na Waislam kwenye mambo mengi (Mimi Corazon Espinado ni Muislam.Hii simulizi tuichukulie tu kuwa ni ya waumini Waislamu na Majini yao.
Sisi Wakristo tukae pembeni, tuwasome maarifa yao tu basi ili tusome habari zao.
Wakristo hatuna muda wa kulumbana na Majini.
Arsis ni Jini, na ndio maana Waislamu wanamchukulia sawa kwa kila anacho ongea kuwa ni kweli.
Wakristo tumejua kuwa hii Mada ni ya Waislamu watu na Waislamu majini.
Hebu tukae pembeni tuwasikilize wao.
Tuwa ache, wakitukashifu sawa, waki wapenda ndugu zao wa Kijini ni sawa tu.b
Ibn Mas'ud reported:
God’s messenger as saying, “Do not cleanse yourselves with excrement or bones, for that is the provision of your brethren among the jinn.”
Wakristo tuwaache Waislamu waongee na ndugu zao wa Kijini.
Sisi sio ndugu zao bali ni majini.
Usiseme watu jisemee mwenyewe unayeona unaharibiwa Acha kuharibu uziBo
Ni bora niharibu huu Uzi ili kuwaokoa watu na mafundisho potofu ya Majini.
Ni bora huu Uzi ufe.
Niliwaonya pale Mwanzo hamkutaka kunisikia.
Mkaishia kuukashifu Ukristo na kufurahi.
Pitia maneno yangu.
Hatuwezi kuendelea kuyasikiliza na kuyaamini Majini
Kitu kimoja Arsis anasisitiza sana ni uvumilivu wa kusikiliza wengine, anasema bila kuwasikiliza huwezi kuwajua.Acha kuharibu uzi ndugu! Sisi tunafuatilia kisa hiki kama unaona huendani nacho unaweza kuachana na hii story.
Usiseme wanaukumbi.
Sema ndugu zangu Waislamu,
Tujadili mambo yetu ya dini yetu.
لَا أَعْبُدُ مَا تَعْبُدُونَ
[ AL - KAFIRUN - 2 ]
Siabudu mnacho kiabudu;
Nanyi muache kutukashifu Wakristo.Kitu kimoja Arsis anasisitiza sana ni uvumilivu wa kusikiliza wengine, anasema bila kuwasikiliza huwezi kuwajua.
Tuvumiliane.
Mimi ndio nilieianzisha hii mada, ni corazon Espinado nimebadilisha ID na kua Arsis.Nanyi muache kutukashifu Wakristo.
Huyo Arsis ni Pimbi tu.
Sisi tumeumbwa kwa mfano wa Mungu.
Iweje tukashifiane kwa kumsikiliza Jini Arsis.
Who is she ?
Waislamu mumeiharibu hii mada.
Niliongea pale Mwanzo kuwa ngoja tujifunze maarifa mapya mkaishia kutukebehi Wakristo kwa kuyategemea Majini.
Who are you by the way ?
Mmh naona umepanga kubishana... 🤝Hatwendi hivyo kielimu, nipe aya, siyo eti "kuna sehemu".
Mimi nna uzi mzima wa hilo, tena siyo wa leo au jana. Pitia...
Tupe neno la Mungu.Mtoa mada ni mchawi aliye kubuhu.
Kuendelea kumsikiliza ni kuiharibu jamii yetu.
Anacho taka tumsikilize na kumwamini Arsis na majini kuliko Mungu.
Arsis aliwahi kunambia "kwenye elimu usiogope anaebisha/na na wewe, ogopa asiebishana".Mmh naona umepanga kubishana... 🤝
Mimi sipo hapa kumuaminisha mtu ninahoja zaidi yake.... Ila nilitoa mtazamo wangu tu
Nakushauri usinyamaze na usikasirike, mwaga elimu yako ujuavyo ili na wengine wamwage wajuavyo.Kwa faida ya wengine naamua kunyamaza.
Nitakuwa nasoma tu.
Ila atakaye ukashifu Ukristo nita deal naye.
Wa kwanza utakuwa wewe mtoa mada na Arsis wako.