Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Hii simulizi tuichukulie tu kuwa ni ya waumini Waislamu na Majini yao.

Sisi Wakristo tukae pembeni, tuwasome maarifa yao tu basi ili tusome habari zao.

Wakristo hatuna muda wa kulumbana na Majini.

Arsis ni Jini, na ndio maana Waislamu wanamchukulia sawa kwa kila anacho ongea kuwa ni kweli.

Wakristo tumejua kuwa hii Mada ni ya Waislamu watu na Waislamu majini.

Hebu tukae pembeni tuwasikilize wao.

Tuwa ache, wakitukashifu sawa, waki wapenda ndugu zao wa Kijini ni sawa tu.

Ibn Mas'ud reported:
God’s messenger as saying, “Do not cleanse yourselves with excrement or bones, for that is the provision of your brethren among the jinn.”

Wakristo tuwaache Waislamu waongee na ndugu zao wa Kijini.

Sisi sio ndugu zao bali majini.
Maandiko ya mtume wao yako wazi kabisa.
Kama Hilo hapo juu.
 
Wana ukumbi, kuna vionjo vitatu vya Arsis, kuna visa viwili vilivyotokana na safari yangu ya Shinyanga, kimoja kilifanyika Dar na kimoja kilifanyika Zanzibar (unguja), kingine ni elimu yani cha sayansi ya dunia na sayari za karibu ya dinia kwa mtazamo wa Arsis.

Mtapenda tuanze na kipi katika hivyo ili tupige navyo story hivyo, ikiwezekana vyote weekend hii.
 
Usiseme wanaukumbi.
Sema ndugu zangu Waislamu,
Tujadili mambo yetu ya dini yetu.
لَا أَعْبُدُ مَا تَعْبُدُونَ

[ AL - KAFIRUN - 2 ]
Siabudu mnacho kiabudu;
 
Bo
Acha kuharibu uzi ndugu! Sisi tunafuatilia kisa hiki kama unaona huendani nacho unaweza kuachana na hii story.
Ni bora niharibu huu Uzi ili kuwaokoa watu na mafundisho potofu ya Majini.
Ni bora huu Uzi ufe.
Niliwaonya pale Mwanzo hamkutaka kunisikia.
Mkaishia kuukashifu Ukristo na kufurahi.
Pitia maneno yangu.
Hatuwezi kuendelea kuyasikiliza na kuyaamini Majini
 
Hii simulizi tuichukulie tu kuwa ni ya waumini Waislamu na Majini yao.

Sisi Wakristo tukae pembeni, tuwasome maarifa yao tu basi ili tusome habari zao.

Wakristo hatuna muda wa kulumbana na Majini.

Arsis ni Jini, na ndio maana Waislamu wanamchukulia sawa kwa kila anacho ongea kuwa ni kweli.

Wakristo tumejua kuwa hii Mada ni ya Waislamu watu na Waislamu majini.

Hebu tukae pembeni tuwasikilize wao.

Tuwa ache, wakitukashifu sawa, waki wapenda ndugu zao wa Kijini ni sawa tu.b
Ibn Mas'ud reported:
God’s messenger as saying, “Do not cleanse yourselves with excrement or bones, for that is the provision of your brethren among the jinn.”

Wakristo tuwaache Waislamu waongee na ndugu zao wa Kijini.

Sisi sio ndugu zao bali ni majini.
labda hujamsoma Arsis vizuri, kuna sehemu kasema yeye ni mason. Kwa kuongezea, msimamo wake ni tifauti kabisa na Waislam kwenye mambo mengi (Mimi Corazon Espinado ni Muislam.

Utashanagazwa na vionjo vya Arsis vya siku za usoni, anavyochambua imani zote unazozijua na usizozijua. Zingine mimi nimezisikia kwanza kwake na mengine nimeyasikia kwanza nikashanaa sana. Ngoja niku[e kionjo kidogo hapa:

Unafahamu kua wale Mashaolin Master wa Kichina wengi wao ni Waislam na ile "art" ya Kungfu, kwa mujibu wa Arsis ni ya Kiislam.

Akanitajia na ingine, imani ya Kibrazil, nikabaki mdpmo wazi, anasema inaitwa "caboyera", wanaabudu kwa mateke na ina wafuasi.

Naamini vionjo hivyo vya Arsis vikija, JF ina watu wana ujuzi mwingi watatufungua macho zaidi. nakuelezea hayo kutokana na post yako, ili umuelewe zaidi Arsis na elimu yake.
 
Bo
Ni bora niharibu huu Uzi ili kuwaokoa watu na mafundisho potofu ya Majini.
Ni bora huu Uzi ufe.
Niliwaonya pale Mwanzo hamkutaka kunisikia.
Mkaishia kuukashifu Ukristo na kufurahi.
Pitia maneno yangu.
Hatuwezi kuendelea kuyasikiliza na kuyaamini Majini
Usiseme watu jisemee mwenyewe unayeona unaharibiwa Acha kuharibu uzi
 
Kitu kimoja Arsis anasisitiza sana ni uvumilivu wa kusikiliza wengine, anasema bila kuwasikiliza huwezi kuwajua.

Tuvumiliane.
Nanyi muache kutukashifu Wakristo.
Huyo Arsis ni Pimbi tu.
Sisi tumeumbwa kwa mfano wa Mungu.
Iweje tukashifiane kwa kumsikiliza Jini Arsis.
Who is she ?
Waislamu mumeiharibu hii mada.
Niliongea pale Mwanzo kuwa ngoja tujifunze maarifa mapya mkaishia kutukebehi Wakristo kwa kuyategemea Majini.

Who are you by the way ?
 
Mimi ndio nilieianzisha hii mada, ni corazon Espinado nimebadilisha ID na kua Arsis.

Nimependa hio mfano wa Mungu, basi tafadhali andika kwa mfano wa Mungu, kiupole. Au Mungu wako ni mkali? Maana nafahamu elimu ya Miungu aina nyingi sana kutokea kwa Arsis.
 
Mmh naona umepanga kubishana... 🤝
Mimi sipo hapa kumuaminisha mtu ninahoja zaidi yake.... Ila nilitoa mtazamo wangu tu
Arsis aliwahi kunambia "kwenye elimu usiogope anaebisha/na na wewe, ogopa asiebishana".

Mpe elimu na yeye amwage yake, ndio faida kwetu.

Arsis kamsifu sana FaizaFoxy anavyo challenge, kamsifu sana na Che mittoga lakini kasema kitu, naogopa kukisema hapa. Akinipa ruksa Che mittoga nakisema.
 
Back
Top Bottom