Mkuu inaonekana ni mtu mwenye jina hapa bongo pengine tunakujua ila sio kwa jina hili.Sio kuumbuliwa.
Huyo kiumbe anaweza kutabiri mambo flani flani. Hasa kwa watu mashuhuri kama mimi
Mimi Nina vitabu karibu vya Dini nyingi katika shelf yangu ya vitabu.Nimependa jinsi ulivyo muwazi
Ukipata muda jaribu kuisoma na kuitafakari quran pia. Naamini utajifunza kitu ila huyu Arsis jini anabalaa.
Sorry, Uislamu wote kwangu sio dini sahihi, ni ushirikina mtupu, mmejiunganisha sana na majini kwenye mambo yenu mpaka nashindwa kuiona nguvu ya Mungu na uwezo wake kwenye kutatua shida zenu.
Matatizo yenu mengi mnatatuliwa na majini, huku jina la Mungu mkilitaja juu juu tu ili ionekane mnamuamini, nashangaa nikimsoma huyu mleta story kuna mahali mpaka inaonekana Quran inashindwa kuondoa majini kwa wagonjwa, ila jini la mgonjwa linaondolewa na jini lingine {refer. mwanamke aliyetolewa jini na jini la mleta story Shinyanga}, sasa nyie msaada wenu mnaupata kwa Mungu au majini?!
Hii story nawaambia ukweli, imekuja kuivua nguo kabisa dini yenu, na kitabu chenu, na ndio maana nikimsoma faiza foxy kwenye hii story anaonekana kuipotezea, kama kukipuuza kile mleta mada anachoandika, ni kwasababu ameshaona dini yake anayoipigania humu kila siku, ina muunganiko wa moja kwa moja na majini, anaona aibu anajaribu kuificha, lakini haifichiki!.
Pesa za jamii ya waarabu wengi ni kwa msaada wa majini, sio Mungu, kufanikiwa kwenye mambo mengine kama safarini ni kwa ulinzi wa majini, sio Mungu, wengine wenu mnayaafuga majini ndani, mimi nitashangaa sana kama siku ikifika nikamuona muislamu yeyote wa hii dunia ameurithi ufalme wa Mungu, unless muwe na hiyo pepo yenu wenyewe ya mabikra 72!, lakini sio yule Mungu wa rohoni ninae mwabudu mimi na kumtumikia, kwa jina la Yesu Kristu wa Nazareth.
Zipo sana sema jinn na jinn binadamu kwa binadamu wapuuzi wana wivu wanakufunga huwezi kuwa na mwanadamu mwenzio watakufanyia visa yana wivu.Muulize Arsis kama Binadamu wanaweza kuoana na majini?
Au kama zimewahi kuwepo hizo ndoa.
Unapoona watu wapo uchi, waweza jikuta unasimamisha machine, hasa kama ukaona lenyr minyamaa mkuu ?Arsis ni kiumbe wa ajabu sana. Anaweza kua anaingia humu na kujizana na watu bila sisi kujua.
Unalosema kua majini ni waongo sana ni kweli kabisa, kuna majini waongo sana. Ukifatilia uzi utajua tabia zao, wapo wa kweli, wacha Mungu, wasomi na mambo mengine mengi sana amabyo hata mimi hayaniingii akilini.
Isipokua kuna viumbe aina nyingi sana zaidi yya majinni. Ka,a n)vile binadam tupo wa aina nyingoi sana.
Ni ngumu sana kueleweka hapo, ukipenda nitajaribu kuelezea jinsi nilivyofundishwa na Arsis.
Haha chambo ndogo sana imevua kamba.....hata ivyo bongo kila siku ni msimu wa kambaKuna muda nikataka kukupuuza ila hapo ulipotaja neno.... Telepathy, nikaweka kambi
(Ntakuja pm, maana mimi pia napitia the same story japo wewe umenizidi maqam🤝
Hivi vitu ukimuelezea mtu ngumu kuelewa maana kwenye watu 1000 huwa vimempata mmoja pekee au hakuna kabisa!!!
Baba yangu alikuwa spiritual master kwahyo haya mambo yapo
Kuna manzi humu JF kwenye jina lake ina herudi D, naizimia amuwezi kunifanyia mafekeche iwe nke wangu .. plus utajiri wa bila mashartiArsis ni kiumbe wa ajabu sana, kuliko tunavyofikiria. Ndio maana ananishikilia sana nimuelezee mafundishpo yake.
Hivi nimeanza tu, intro ya nilipoanzia mimi , sasa nimeingia intro ya Arsis alivyokutana na babu yangu. Tukitoka hapo ndio tutaingia "vionjo vya Arsis". hapo kuna mengi na matamu sana.
Interesting.. ebu ongeza nyama hapa, hao majin wazuri wanapata vipi hicho chakula cha damu na mifupa, je wanakula damu za binadamu ama?Ila majinn vyakula vyao mifupa damu 😁 awe mchawi asiwe mchawi.
Me nadhani ndugu zangu kwa wale walio tayari kusoma na kupata maarifa mengine nje ya mafundisho yetu ya dini wabaki wafuatilie na kwa ambao wako hapa kwa ajili ya kubishana habari za dini hebu waanzishe uzi wao wakabishane huko.Usiseme wanaukumbi.
Sema ndugu zangu Waislamu,
Tujadili mambo yetu ya dini yetu.
لَا أَعْبُدُ مَا تَعْبُدُونَ
[ AL - KAFIRUN - 2 ]
Siabudu mnacho kiabudu;
Arsis anifanyie manuva, nikuapate wewe, na mdada mmoja jina lake lina herudi D, mwingine, E, mwingine K.. wanne mmekuwa mmekamilika niwe najifaidia tu.. alafu awafanye muwe mnapendana kama mashosti vile.. atupe na utajiri usio na masharti mbkna maisha ni bull bull hapoTunasubiri muendelezo
huyu simba afanye ukifika viunga vyako vya Mudi na Mawazo, mizigo ijilete yenyewe ujilie minyamaAvater hii sijaizoea Mkuu
Inanichanganya sana
Daah! Mkuu na wewe umetoa ruhusu Arsisi atoe neno kukuhusu. Kongole mkuu una moyo bwana Arsis wa kibinadamu Arsis mwambie Arsis wa kijini aseme chochote kitu juu ya huyu ndugu yetu Mhafidhina07arsis leo kwa mara ya kwanza naandika hapa ila nimefatilia kitambo,swali je unanifahamu mimi?
kwanini mnaingiliana na wanadamu?