Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Heshima yako mkuu,mm swali langu mbona Mambo yangu mengi hayaendii Kama nikifungua biashara inaishia Kati Yani kila mipango yangu Mingi huishia Kati shida nini....naomba msaada wako
Swali zuri sana hilo.

Usifungue biashara kwa faida yako, fungua biashara kwa faida ya wengi. Utapata faida kubwa sana. Sawa?
 
Mimi nina maswali mawili
La kwanza, Je Arsis unalijua jina la ALLAH ambalo ndio jina kubwa kupita yote maarufu kama ismu llahu liadwam .
Inasemekana ukimuomba Mungu kwa jina hilo anakupa papo hapo.
Je unalifamu?
Hilo jina lipo, ukitaka kulijua unabidi kwanza ulifanyie kazi, halafu la pili kulijua au kutokulijua itategemea na nia yako unagtaka kulijua la nini?

Hakuna muujiza isipokua ni wa Muumba weetu tu.

Kiswahili tunasema ni jina, lakini sio jina kama kama kawaida. Ni "code" ziku hizi mnasema. Waarabu wanasema "Ramz". Waimgereza wanasema "pass word". Ni kwa ajili ya mawasiliano tu, kama hivi Simba na mimi tuna pete ya mawasiano. Haina kazi wala miujiza, ni mawasiano tu mimi na yeye. Sawa?
 
Nimekuelewa ila nifafanulie kidogo hapo kwenye kulifanyia kazi ni kulifanyiaje?
Maana mimi naona hata hivi kukuuliza ndio nimeanza kulifanyia kazi.
Kuhusu kulijua nia yangu ni ili niweze kuisadia jamii kwa ukubwa kama vile hilo jina lilivyo kubwa
 
Sisi tutakusaidia hapa JF. Usisahau.

Major Government officials are reading you now. Some, not all. Usishitaki mtu sababu anaweza kupata aibu yeye au watu waliomsaidia. hapa tutakupa njia, hakuna mchawi au anasema Sheikh atakusaidia.

Hapa JF utapata msaada, lakini sio kwa njia wewe unafanya. Njoo hii uzi, utapata njia.
 
Nimekuelewa ila nifafanulie kidogo hapo kwenye kulifanyia kazi ni kulifanyiaje?
Maana mimi naona hata hivi kukuuliza ndio nimeanza kulifanyia kazi.
Kuhusu kulijua nia yangu ni ili niweze kuisadia jamii kwa ukubwa kama vile hilo jina lilivyo kubwa
Siri hapa ni kuacha maaswi kwa ukamilifu wake.... Kuipa Dunia kisogo hapo utakuwa karibu na Allah halafu yeye ndo atakufunza usiyoyajua🤝

Mfano hapo ulipo sahv unamaradhi ya nafsi kwahyo ni ngumu kutunukwa kitu kikubwa kama hicho

Inahitaji uchamungu kumtaja sana Allah mpaka nafsi itulie
(Mitume na mawalii hutengenezwa muda mrefu... Mwisho ndio wanakuwa karibu na Allah)

Nakupa mfano mdogo unaoonekana..... Comment ni nyingi hapa zingine za kejeli kwa mleta mada, lakini umeona amepaniki wala kumjibu mtu vibaya hata sehem moja???

Watu wa dhikr hiyo tunaita ni hatua kwenye utulivu wa moyo, na kuna daraja zake..... Kwahyo kama unataka karama na kuwa karibu na Mungu lazima utengenezwe bro kunataratibu zake!!
 
Swali la pili kiumbe anayeitwa masihi dajjal ni katika binadamu au majini ? na imebaki miaka mingapi mpaka aje?
Yupo sasa hivi, hii wapo wengi lakini yule wa mwisho akija na issa atakuja kumuua. Kisa chake kirefu sana, siku moja Simba ataleta hapa, yeye ameuliza hii swali siku nyingi sana.

Sikiliza, unauliza swali kubwa elimu yake kubwa ambayo binaadam hana.

Maana ya Masihi Dajjal ni Massih wa uongo.
 
Shukurani mkuu, Arsis unaweza ongezea chochote
 
Asante Arsis Mungu azidi kukujaza elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…