Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
ni shirkiBaada ya dhuhur uje muulize bro je majina ya BARHATIYAH ni shirki?
Hili swali nilimuuliza pia Arsis na subira majibu natanguliza shukurani Nourhan
alafu ujue kuna madhehebu mengi sana utambue hilo mfano sunni wao hawataki ujinga huo wa majini ila wanatambua kuwa yapo but hawana time nayo coz imeelezwa katika surat baqarah aya 102,ila kuna watu mfano wa shia,bakwata wale hawana dhehebu ila ni watu ambao kwa ujumla wao wote ni waganga hivyo ukiwauliza lolote kuhusu majini watasema ni sahihi.
itafute ayah hiyo niliyokwambia
mungu anawaambia watu babeli kuwa wamepata uchawi kwa malaika 2 ambao ni haruti na mwenzake,ambao walifundisha uchawi wa kufarakanisha ndugu pamoja mke na mume,zaidi walimzushia mengi kuhusu suleimani(hapa masheikh wa majini ndiyo wamejimwaya kwamba suleimani kaanza haya mambo ila ni uongo na amezushiwa) hivyo mungu anasema kuwa wamekufuru na hata hao majini wakiwafundisha watu uchawi wakati huwa wanaambia kabisa kwamba sisi ni mtihihani(sasa hivi jini atamwambia binadamu kwamba majini wengi ni waongo ila ukweli nae ni muongo).
mwisho mun gu anasema hao majini hawana uwezo ila mtu atadhurika kwa idhini ya mungu mwenyewe na siyo yeye,ndiyo maana neno qadar ni pana sana,mnaweza kutegewa uchawi na usikupata ila mungu akitaka utakupata.
narudi kwenu wakristo sisi waislamu siyo kwamba tunakombatia majini ila tu,tunatambua uwepo wao na athari zao,ila kuna kitu kinaitwa amdhehebu ndiyo kinachoifanya dini ya kiislamu kuchafuliwa kitu ambacho kinatokana na utofauti wa elimu ila quran haijaacha kitu but kuna utashi wa binadamu tu ndiyo inaichafua dini.