Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Ahsante..nini maana ya wongofu according to quran
Swali lako zuri sana, Raha ya Qur'an hua inajibu yenyewe, tafadhali jisomee;

Q 2:1. Alif Lam Mim. 1
2. Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu, 2
3. Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa.3
4. Na ambao wanayaamini yaliyo teremshwa kwako, na yaliyo teremshwa kabla yako; na Akhera wana yakini nayo. 4
5. Hao wapo juu ya uwongofu utokao kwa Mola wao Mlezi, na hao ndio walio fanikiwa. 5

Unaweza kuendelea kujisomea;
Al Baqara
Simba.
 
Alhamdullilah Allah kaniepusha ni shirki za aina hiyo ,, kulala mapangoni, na ulozi ... simply nimesema mimi ni mwenyeji wa Tanga , wilaya ya Mkinga .. kijiji si mbali na mombasa ..na katika story yako hapo juu ilianza ukiwa maeneo ya hukohuko, nashangaa wanizulia mimi elimu yangu nachukulia mapangoni.. ila sishangai uzushi ni kitu cha kawaida kwa ahalul Bidaa..

Umesahau ulichokiandika, jikumbushe;

Salaala , umeng'ang'ana kufuga .. bahati nzuri mimi ni mwenyeji na mzaliwa wahukuhuko ulipokwenda kulazwa pangoni na babu yako ..... Nadhani pia uliongea jambo kwamba sijui ulikuta pete chini ya mto na hiyo pete ili isiibiwe unaweka kwenye kasha fulani ... Ndio mifugo wako huo ....
 
Salaam alykum , akhi jumanne leo Alhamdulalilah napumua , uwe na siku njema mimi bado nipo kwenye thread hii palipo pinda nitanyoosha kulingana na mwongozo wa Quran na Sunna.. nikifuatilia kwa makini hadi ufike mahala ambapo utaonesha mtume aliwahi kutumia majini ... Kwa sasa Nakaa pale kwenye stuli nikisubiri .. ila uzushi wowote nitanyoosha mkono naomba unipe nafasi nikinyoosha mkono ✋ juu....

May Allah give us hidaya kutoa mafunzo sahihi na kuepukana na ushirikina wa kutumia Majini
 
Hahahhaah.

Kuna mambo nimeyakubali kutoka kwa Arsis. Hususan la Adam na la Yesu. Nili1lisoma zamani sana, nikafungulis uzi hapa JF mambo hayo, watu wanayaogopa.

Nimemsoma posts zake za hayo, nimemuelewsa sana na namuungs mkono apanue elimu.

Nimeona kuna sehemu kagusua mapys niliokus sijayaoats jwrngine, nayadubiri kwa hamu kubwa saba ya Sarah, nilipomsoma nimepitis Qur'an sikuona kwrli jina Sarah kwenye Qur'an, sijui kwenye hadeeth?

cc: Arsis.
Tafadhali rudia tena ulichoandika
 
Salaam alykum , akhi jumanne leo Alhamdulalilah napumua , uwe na siku njema mimi bado nipo kwenye thread hii palipo pinda nitanyoosha kulingana na mwongozo wa Quran na Sunna.. nikifuatilia kwa makini hadi ufike mahala ambapo utaonesha mtume aliwahi kutumia majini ... Kwa sasa Nakaa pale kwenye stuli nikisubiri .. ila uzushi wowote nitanyoosha mkono naomba unipe nafasi nikinyoosha mkono ✋ juu....

May Allah give us hidaya kutoa mafunzo sahihi na kuepukana na ushirikina wa kutumia Majini
Hilo la "Mtume kutumia majini" umelitowa wapi? Au ndiyo anayoiita Arsis kuwa ni "ignorance fallacy"?

Unaleta kitu cha kufikirika.

kwa hayo nnakuona hauna tofauti na Salman Rushdie aliyeleta kitabu chake na kuisingizia Qur'an kuwa ina aya za shetani kwa kuwa kasoma aya zinazowataja mashetani na majini ndani ya Qur'an.

Ya Salman Rushdie ni "ignorance fallacy" kama unayotuonesha wewe.

Unafahamu maana yake na kwanini?
 
{ ٱدۡعُ إِلَىٰ سَبِیلِ رَبِّكَ بِٱلۡحِكۡمَةِ وَٱلۡمَوۡعِظَةِ ٱلۡحَسَنَةِۖ وَجَـٰدِلۡهُم بِٱلَّتِی هِیَ أَحۡسَنُۚ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعۡلَمُ بِمَن ضَلَّ عَن سَبِیلِهِۦ وَهُوَ أَعۡلَمُ بِٱلۡمُهۡتَدِینَ }
[Surah An-Naḥl: 125]
Waite (watu) waelekee kwenye Njia ya Mola wako Mlezi kwa hekima na mawaidha mazuri, na ujadiliane nao kwa namna iliyo bora. Hakika Mola wako Mlezi ndiye anayemjua zaidi aliyepotea njia yake, na Yeye ndiye anaye wajua zaidi walioongoka.
 
Tunapojadili tupunguze kuitana majina mabaya ya kuudhi na kejeli, na huo ndo uislamu hasa kama mtu anaona anaupigania uislamu na kuongoa watu. Mbali na hivyo tutajikuta matendo yetu ni habaa-an manthuura, tulotaka kuwaongoa hatujawaongoa na amali zetu mavumbini.
 
Hilo la "Mtume kutumia majini" unelitowa wapi? Au ndiyo anayoiita Arsis kuwa ni "ignorance fallacy"?

Unaleta kitu cha kufikirika.

kwa hayo nnakuona hauna tofauti na Salman Rushdie aliyeleta kitabu chake na kuisingizia Qur'an kuwa ina aya za shetani kwa kuwa kasoma aya zinazowataja mashetani na majini ndani ya Qur'an.

Ya Salman Rushdie ni "ignorance fallacy" kama unayotuonesha wewe.

Unafahamu maana yake na kwanini?

Kama huoni ushirikina kuanzia sehemu ya tatu alipoanza kulala mapangoni,, kupewa bakora na pete ... Mara kusikia sauti anazisikia yeye tu , Nadhani unaponyoosha kidole kwangu ' kuna dole gumba linakuangalia .. na siku Zote ndege wafananao huruka pamoja either ni mtu wa kutembelea kwa waganga au ni mmoja wa washirikina... Allahu a'alam!
 
Sijawahi.

Uislam unanifundisha kua mali ni moja ya furaha za duniani nayo pia ni moja ya fitina za duniani.

Pia Uislam unanifundisha kua mwenye ubora kati yetu ni mcha Mungu. Kwa hio kwangu mimi, mafanikio ya msingi ni ucha Mungu, mengine yoite ni sekondari.

Halafu kwa ujuzi kidogo nilionao, una dua za kuomba mafanikio bila kutumia majini, kwani binadamu tuna uwezo wa hali ya juu sana zaidi ya majini.

Ukifanya mchezo unaweza kudondokea kwenye uchawi, nakuomba fata fahirisi usome visa vya misukule.
Simba.
Tafadhar nielekeze dua za kuomba, za kupata iliyo halal
 
Kisa cha adam. 2

Je, malaika walimuuliza Mwenyezi Mungu?

Katika sehemu hii tunaanza na swali hilo, la kwenye kichwa cha Habari, ambalo In shaa Allah tutalizungumzia kwa kina.

Je, Maklaika waliuliza kweli?

Wakati tunaendelea. kwanza tujikumbushe kitu ambacho tulikiongelea huko nyuma, kwa kiasi na kijuujuu, nacho ni kua, asilimia kubwa sana ya Qur’an, (nadiriki kusema) zaidi ya asilimia 60 ni visa na hadithi mbali mbali zilizomo ndani ya Qur’an. Kwa usisitiza, ikiwa hakuna visa na hadithi ndani ya Qur’an basi hakuna Qur’an.

Tunapata na istilahi nyingine “dhikr” ambayo kama tutavyojionea, mara nyingi inapotajwa “dhikr” inamaanisha kisa, fumbo au hadith ya Qur’an. Hili tutaliongelea kwa kina na kuonesha Ushahidi uliopo ndani ya Qur’an na tutajionea tunavyoweza kujifunza kutokana na dhikr, ambayo kimaana ya Qur'an ni hadith za Qur’an.

Tutaona pia ndimi “lisan” ya Ibrahim (Abrahamic locution) inavyotolewa kwenye dhikr wakati tunaongelea suala hili la Malaika ambao, eti wamemuuliza maswali Muumba wetu, kama tulivyoaminishwa na watafsiri wengi walioitafsiri aya Q 2:30.

Raha ilioje tunapogundua "bayyinah" mpya na za kipekee ambazo Qur’an yenyewe inatufundisha na kuturekebisha mithili ya “advanced software” ya kompyuta kila tunapoendelea kugundua kuisoma kwa kufata mifumo (methods)yake ya kutuelimisha.

Kwa hakika ni muujiza, wa kushangaza na kustajaabisha. tunapoelewa yote hayo ni kutoka kwenye Qur’an yenyewe. In shaa Allah tutazidi kujionea wenyewe na kuelimika kila tunavyoendelea.

Hii tunaiita moja ya vibainisho “bayyinah” au viashiria vipya tunavyojifundisha kwa pamoja.

In shaa Allah uwe ni ujuzi na elimu yenye manufaa kwetu na kwa wengine wote, pia iwe ni sadaka njema kwetu na kwa Waislam wote, waliopo na waliotutangulia.

Tueleweshane na tuelewe kua, hii ni elimu na sio starehe, raha yake isio na mfano ni pale tunapojitambua kua tunaupata ujuzi wa kina wa kuulewa mwongozo wetu wa Qur’an kwa mbinu za Qur’an yenyewe.

Qur’an ni muujiza ambao huwezi kuufananisha kitabu cha mtu yoyote au chochote au mshairi yoyote duniani. Hakuna mbinu za kujifundishia za mtu yeyote zinayoweza kufanana au hata kuzikaribia mbinu za Qur’an.
...
...

Kisa cha adam. 2.1

Je, malaika walimuuliza Mwenyezi Mungu?

Katika sehemu hii tunaanza na swali hilo, la kwenye kichwa cha Habari, ambalo In shaa Allah tutalizungumzia kwa kina.

Je, Malaika waliuliza kweli?

Wakati tunaendelea, kwanza tukumbushane kitu ambacho tulikiongelea huko nyuma nyuma kiasi, kijuujuu, nacho ni kua asilimia kubwa sana ya Qur’an, nadiriki kusema zaidi ya asilimia 60 ni visa na hadithi mbali mbali zilizomo ndani ya Qur’an. Kwa kusisitiza; ikiwa hakuna visa na hadithi ndani ya Qur’an basi hakuna Qur’an.

Tunapata na istilahi nyingine “dhikr”, ambayo kama tutavyojionea, mara nyingi inapotajwa “dhikr” katika haya maandiko yetu, inamaanisha kisa, fumbo au hadith ya Qur’an. Hili tutaliongelea kwa kina na kuonesha Ushahidi uliopo ndani ya Qur’an na tutajionea tunavyoweza kujifunza kutokana na dhikr, ambayo ni hadith za Qur’an.

Tutaona pia ndimi “lisan” ya Ibrahim (Abrahamic locution) inavyotolewa kwenye dhikr wakati tunaongelea suala hili la Malaika ambao, eti wamemuuliza maswali Muumba wetu, kama tulivyoaminishwa na watafsiri wengi katika aya Q 2:30.

Raha ilioje kila tunapogundua njia mpya na za kipekee ambapo Qur’an yenyewe inatufundisha na kuturekebisha mithili ya “advanced software” ya kompyuta kila tunapoendelea kugundua kuisoma kwa kufata mifumo yake ya kutuelimisha.

Kwa hakika ni muujiza kuelewa hayo kutoka kwenye Qur’an yenyewe, ni ya kushangaza na kustajaabisha. In shaa Allah Tutajionea wenyewe kila tunavyoendelea.

Hivi tunaviita moja ya vibainisho “bayyinah” au viashiria vipya tunavyojifundisha kwa pamoja.

In shaa Allah uwe ni ujuzi na elimu yenye manufaa kwetu na kwa wengine wote pia iwe ni sadaka njema kwetu na kwa Waislam wote, waliopo na waliotutangulia.

Tueleweshena na tuelewe kua, hii ni elimu na sio starehe, raha yake isio na mfano ni pale tunapojitambua kua tunaupata ujuzi wa kina wa kuulewa mwongozo wetu wa Qur’an kwa mbinu za Qur’an yenyewe.

Kwa kujikumbusha haraka haraka, tulipoipitia aya ya 26 na 27 ya Suratul Baqara tuliona kuhusu (baudhatun) بَعُوضَةًۭ au mbu kwa Kiswahili. Tukajikinaisha kua kilichokusudiwa sio mbu wala mfano wa mbu bali ni moja ya kikundi cha watu katika vikundi vya bani israel ambavyo vimegawanyika lakini daima wako kazini kuwagawanya wengine kwa kuwadunga sumu kama mbu, yaani mradi wawapotoshe tu.

Kutajwa kwa mbu wala kusitustue kwani kwenye Kiswahili pia kwa ulimi (lisan) au “locution” ya Tanzania tuna mifano kama hio mingi tu. Mmojawapo maarufu sana ni pale tunaposema ‘wanyonyaji wenye mirija”, naamini hakuna Mtanzania asiejua maana yake, lakini, anaweza kutokea mtu anaejifundisha Kiswahili au wa kutoka nchi nyengine kabisa yenye Kiswahili lakini haina msamiati huo, asielewe maana ya mirija na wanyonyaji.

Kwaa ufupi, natumai maana ya “locution” au ulimi au “lisan” kwa Kiarabu imeeleweka. Ni msamiati au aina ya neno au maneno yanayotumika sehemu fulani au na watu fulani. Wengine hata kwenye familia tu kuna maneno fulani wakiyaongea, ingawa ni ya Kiswahili lakini kama si mwanafamilia unaweza usielewe kinachoongelewa.

Hii imenikumbusha mfano wa kwetu Tanga, ukiwa baraza za bao, chakula kikiwa tayari nyumbani anaweza kutumwa mtoto akaambiwa “kamwambie babako, kabati limeanguka aje haraka kusaidia kulibeba”. Baba na wanaolewa “lisan” hio wanakua wameshaelewa, chakula tayari.

Au ule utani maarufu wa Ilala; Mume alishikwa na hamu na mkewe alikuwa Jirani na mashoga zake wana sherehe yao. Baba akamtuma mwanae “kamwambie mamako aje haraka kuna nguo za kufuliwa nyumbani”, Mama nae hali ilikua sio nzuri, akamwambia, kamjibu babako “mama anasema washing mashine leo mbovu”. Ni matumaini yangu tumeelewa maana ya “locution”.

Qur’an muujiza wake mmojawapo ni huu wa lisan au “locution”, mfano, miaka mingi sana imepita tokea wakati wa Nabii Ibrahim (Alayhi salaam) mpaka wakati ilipokuja Qur’an, lkini imetumika sana ‘lisan” ya Ibrahim (Abrahamic locution ) ndani ya Qur’an.

Pia zimetumika “locution” za Mussa, Firauni na nyenginezo, tutaziona kila tuvyoendelea, kiasi ni muujiza ulio wazi mpaka leo hii, wa kujiuliza, vipi Mtume Muhammad (Sala Allahu Alayhi Wasalaam) alizijua ndimi hizo za zamani sana? Aliwashangaza sana Mayahudi wa Madina wa wakati wake alipokua akitamka mambo mengine kwa ndimi zao. Hadi leo hii Qur’an inaendelea kuwashangaza mabingwa wa tafiti za kugha kwa jinsi ilivyoandikwa.

Kwenye “table” nilipozichambua (tasil) aya mbili za 26 na 27, nimeziwekea herufi za kwenye mabano (a), (B), (C)... na baadhi ya maneno nimeyawekea rangi (highlight) ya njano ili iwe wepesi kuzirejea tunapozielezea.

Kumbuka kua hatuongelei bani Israel wote bali ni baadhi ya vikundi tu na hivyo ndivyo aya ya 28 na 29 za Suratul baqara zinavyowaelezea;

Ili tuipate maana kusudiwa ya aya za 28, 29 na kuendelea, kwanza tujikite kwa kina kwenye tafsil ya aya ya 26 na 27 na tuipate maana kusudiwa ya aya hizo.

Nakumbusha hapa kwa kubandika tafsiri ya kawaida ya Sheikh Ali Mohsin barwani, ya aya hizo, ambayo inatumika sana kwenye mtandao;

Q 2:26. Hakika Mwenyezi Mungu haoni haya kutoa mfano hata wa mbu na ulio wa zaidi yake. Ama wale walio amini hujua ya kwamba hiyo ni haki iliyo toka kwa Mola wao Mlezi, lakini wale walio kufuru husema: Ni nini analo kusudia Mwenyezi Mungu kwa mfano huu? Kwa mfano huu huwapoteza wengi na huwaongoa wengi; lakini hawapotezi ila wale wapotovu, 26

Q 2:27. Wanao vunja ahadi ya Mwenyezi Mungu baada ya kwisha ifunga, na wakayakata aliyo amrisha Mwenyezi Mungu kuungwa, na wakafanya uharibifu katika nchi; hao ndio wenye khasara.
27

Baada ya kuiona hio tafsiri, hapa chini tunaweka ufafanuzi (interpretation) ambayo Mwenyezi Mungu ametujaalia kuiona kwa kutumia mbinu za ki Qur’an za "tafsil" kwa kina, ili kupata maana halisi. Mbinu ambayo tutaitumia kwa kina katika episode hii ya adam na nyinginezo zitakazofata.

Tutajionea kua tumeweka maana tu iliokusudiwa na tumeachana na tarjama na tafsiri kama ilivyozoeleka.

Baada ya huu ufafanuzi wetu, tutapiga mbizi, kuzamia kwa kina kwa tafsil ili tujionee jinsi tulivyoweza kuipata maana hii kwa kutumia mbinu (methods) za Qur’an. Tuanze;

Tafsil (syntactic segmentation) ya Qur’an 2:26 na 27
Mwenyezi Mungu hatafuti kuleta ugumu katika Maisha.
إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَسْتَحْىِۦٓ (A)​
kwa kupiga mfano wowote
أَن يَضْرِبَ مَثَلًۭا مَّا (B)​
kwa vikundi miongoni mwa Bani Israeli ambao huchochea vikundi kutokubaliana (yaani, watu wanaopanda mgawanyiko kwa kuuma na kuingiza habari za kupotosha).
بَعُوضَة(C)​
Kwa maana hawakubali kitu chochote juu yao! (Hakika kundi hili liliwakataa kwa kiburi wale wote walioinuliwa na Mwenyezi Mungu juu yao.)
فَمَا فَوْقَهَا ۚ (D)​
Na wale walio amini wanaelewa kua hio ni haki itokayo kwa Mola wao Mlezi
فَأَمَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ فَيَعْلَمُونَ أَنَّهُ ٱلْحَقُّ مِن رَّبِّهِمْ ۖ​
Na wale walio kufuru wanasema Mwenyezi Mungu anataka nini kwa methali hii?
وَأَمَّا ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ فَيَقُولُونَ مَاذَآ أَرَادَ ٱللَّهُ بِهَـٰذَا مَثَلًۭا ۘ​
(Allah) anaitumia kuwapotosha wengi na kuwaongoza wengi.
يُضِلُّ بِهِۦ كَثِيرًۭا وَيَهْدِى بِهِۦ كَثِيرًۭا ۚ​
Lakini (Allah) hapotoshi kwayo ila wapotoshaji (Alfasiqin).
وَمَا يُضِلُّ بِهِۦٓ إِلَّا ٱلْفَـٰسِقِينَ
(Q 2:26)

Qur’an 2:27

Waliokadhibisha ( ni mbu /baudha) ahadi ya Allah baada ya kuthibitika.
ٱلَّذِينَ يَنقُضُونَ عَهْدَ ٱللَّهِ مِنۢ بَعْدِ مِيثَـٰقِهِۦ​
Na wanayakata (tenganisha) yale aliyo amrisha Allah yasikatwe (yasitenganishwe)
وَيَقْطَعُونَ مَآ أَمَرَ ٱللَّهُ بِهِۦٓ أَن يُوصَلَ​
Na wanayafisadi maandiko
وَيُفْسِدُونَ فِى ٱلْأَرْضِ ۚ​
Wao hao ndio wenye hasara
أُو۟لَـٰٓئِكَ هُمُ ٱلْخَـٰسِرُونَ ٢٧​

Itaendelea.

...
 
Tafadhar nielekeze dua za kuomba, za kupata iliyo halal
Swali lako limenifurahisha sana. Katika mafunzoi ya Uislam tunajifunza kua, kitu chochote kinaanzia na nia njema. Nia yako ikiwa njema badsi hata dua zao zitakua njema. Kwa hio ndugu yangu kabla hya dua ni nia njema.

Dua moja nzuri sana na nyepesi sana ni hii hapo chini;

Hii ni dua yenye nguvu sana (powerful dua).Nguvu za dua hii ni kua imejumuisha kuomba mema yote kwa pamoja na iko wazi (o[pen ended) na unamwomba Allah kwa chochote ambacho unaweza kuwa nacho katika (akili) nia yako. Nia sio lazima kuitamka.

Rabbana-Atina-Fid-Dunya-Dua-in-Arabic

Transliteration; Rabbana atina fid dunya hasanatan wa fil Aakhirati hasanatan waqina ‘adhaban-nar

Maana yake ni: Mola wetu Mlezi! tupe katika dunia hii mema, na Akhera (mwisho) mema, na utulinde na adhabu ya Moto.
Aamiin.
Simba.
 
...

Kisa cha adam. 2.1

Je, malaika walimuuliza Mwenyezi Mungu?

Katika sehemu hii tunaanza na swali hilo, la kwenye kichwa cha Habari, ambalo In shaa Allah tutalizungumzia kwa kina.

Je, Malaika waliuliza kweli?

Wakati tunaendelea, kwanza tukumbushane kitu ambacho tulikiongelea huko nyuma nyuma kiasi, kijuujuu, nacho ni kua asilimia kubwa sana ya Qur’an, nadiriki kusema zaidi ya asilimia 60 ni visa na hadithi mbali mbali zilizomo ndani ya Qur’an. Kwa kusisitiza; ikiwa hakuna visa na hadithi ndani ya Qur’an basi hakuna Qur’an.

Tunapata na istilahi nyingine “dhikr”, ambayo kama tutavyojionea, mara nyingi inapotajwa “dhikr” katika haya maandiko yetu, inamaanisha kisa, fumbo au hadith ya Qur’an. Hili tutaliongelea kwa kina na kuonesha Ushahidi uliopo ndani ya Qur’an na tutajionea tunavyoweza kujifunza kutokana na dhikr, ambayo ni hadith za Qur’an.

Tutaona pia ndimi “lisan” ya Ibrahim (Abrahamic locution) inavyotolewa kwenye dhikr wakati tunaongelea suala hili la Malaika ambao, eti wamemuuliza maswali Muumba wetu, kama tulivyoaminishwa na watafsiri wengi katika aya Q 2:30.

Raha ilioje kila tunapogundua njia mpya na za kipekee ambapo Qur’an yenyewe inatufundisha na kuturekebisha mithili ya “advanced software” ya kompyuta kila tunapoendelea kugundua kuisoma kwa kufata mifumo yake ya kutuelimisha.

Kwa hakika ni muujiza kuelewa hayo kutoka kwenye Qur’an yenyewe, ni ya kushangaza na kustajaabisha. In shaa Allah Tutajionea wenyewe kila tunavyoendelea.

Hii tunaviita moja ya vibainisho “bayyinah” au viashiria vipya tunavyojifundisha kwa pamoja.

In shaa Allah uwe ni ujuzi na elimu yenye manufaa kwetu na kwa wengine wote pia iwe ni sadaka njema kwetu na kwa Waislam wote, waliopo na waliotutangulia.

Tueleweshena na tuelewe kua, hii ni elimu na sio starehe, raha yake isio na mfano ni pale tunapojitambua kua tunaupata ujuzi wa kina wa kuulewa mwongozo wetu wa Qur’an kwa mbinu za Qur’an yenyewe.

Qur’an ni muujiza ambao huwezi kuufananisha kitabu cha mtu yoyote au chochote au mshairi yoyote duniani. Hakuna mbinu za kujifundishia za mtu yeyote zinayoweza kufanana au hata kuzikaribia mbinu za Qur’an.

Kwa kujikumbusha haraka haraka, tulipoipitia aya ya 26 na 27 ya Suratul Baqara tuliona kuhusu (baudhatun) بَعُوضَةًۭ au mbu kwa Kiswahili. Tukajikinaisha kua kilichokusudiwa sio mbu wala mfano wa mbu bali ni moja ya kikundi cha watu katika vikundi vya bani israel ambavyo vimegawanyika lakini daima wako kazini kuwagawanya wengine kwa kuwadunga sumu kama mbu, yaani mradi wawapotoshe tu.

Kutajwa kwa mbu wala kusitustue kwani kwenye Kiswahili pia kwa ulimi (lisan) au “locution” ya Tanzania tuna mifano kama hio mingi tu. Mmojawapo maarufu sana ni pale tunaposema ‘wanyonyaji wenye mirija”, naamini hakuna Mtanzania asiejua maana yake, lakini, anaweza kutokea mtu anaejifundisha Kiswahili au wa kutoka nchi nyengine kabisa iyene Kiswahili lakini haina msamiati huo, asielewe maana ya mirija na wanyonyaji.

Wa ufupi natumai maana ya “locution” au ulimi au “lisan” kwa Kiarabu imeeleweka. Ni msamiati au aina yaneno au maneno yanayotumika sehemu Fulani au na watu Fulani. Wengine hata kwenye familia tu kuna maneno fuani wakiyaongea, ingawa ni ya Kiswahili lakini kama si mwanafamilia unaweza usielewe kinachoongelewa.

Hii imenikumbusha mfano wa kwetu Tanga, ukiwa baraza za bao, chakula kikiwa tayari nyumbani anaweza kutumwa mtoto akaambiwa “kamwambie babako, kabati limeanguka aje haraka kusaidia kulibeba”. Baba na wanaolewa “lisan” hio wanakua wameshaelewa.

Au ule utani maarufu wa Ilala; Mume alishikwa nahamu na mkewe alikuwa Jirani na mshoga zake wana sherehe, baba akamtuma mwanae “kamwambie mamako aje haraka kuna nguo za kyufuliwa nyumbani”, Mama nae hali ilikua sio nzuri, akmwambia kamjibu babako “mama anasema washing mashine leo mbovu”. Ni matumaini yangu tumeelewa maana ya “locution”.

Qur’an muujiza wake mmojawapo ni huu wa lisan au “locution”, mfano, miaka mingi sana imepita tokea wakati wa Nabii Ibrahim (Alayhi salaam) mpaka wakati ilipokuja Qur’an, lkini imetumika sana ‘lisan” ya Ibrahim (Abrahamic locution ) ndani ya Qur’an.

Pia zimetumika “locution” za Mussa, Firauni na nyenginezo, tutaziona kila tuvyoendelea, kiasi ni muujiza ulio wazi mpaka leo hii, wa kujiuliza, vipi Mtume Muhammad (Sala Allahu Alayhi Wasalaam) alizijua ndimi hizo za zamani sana? Aliwashangaza sana Mayahudi wa Madina wa wakati wake alipokua akitamka mambo mengine kwa ndimi zao. Hadi leo hii Qur’an inaendelea kuwashangaza mabingwa wa tafiti za kugha kwa jinsi ilivyoandikwa.

Kwenye “table” niliposichambua aya mbili za 26 na 27, nimeziwekea herufi za kwenye mabano na baadhi ya maneno nimeyawekea rangfi (highlight) ya njano ili iwe wepesi kuzirejea tunapozielezea.

Kumbuka kua hatuongelei bani Israel wote bali ni baadhi ya vikundi tu na hivyo ndivyo aya ya 28 na 29 za Suratul baqara zinavyowaelezea;

Ili tuipate maana kusudiwa ya aya za 28, 29 na kuendelea, kwanza tujikite kwa kina kwenye tafsil ya aya ya 26 na 27 na tuipate maana kusudiwa ya aya hizo.

Nakumbusha hapa kwa kubandika tafsiri ya kawaida ya Sheikh Ali Mohsin barwani, y aya hizo, ambayo inatumika sana kwenye mtandao;

Q 2:26. Hakika Mwenyezi Mungu haoni haya kutoa mfano hata wa mbu na ulio wa zaidi yake. Ama wale walio amini hujua ya kwamba hiyo ni haki iliyo toka kwa Mola wao Mlezi, lakini wale walio kufuru husema: Ni nini analo kusudia Mwenyezi Mungu kwa mfano huu? Kwa mfano huu huwapoteza wengi na huwaongoa wengi; lakini hawapotezi ila wale wapotovu, 26

Q 2:27. Wanao vunja ahadi ya Mwenyezi Mungu baada ya kwisha ifunga, na wakayakata aliyo amrisha Mwenyezi Mungu kuungwa, na wakafanya uharibifu katika nchi; hao ndio wenye khasara. 27

Baada y auiona hiyo tafsiir hapa chini tunaweka ufafanuzi (interpretation) ambayo MwenyeziMungu ametujaalia kuiona kwa kutumia mbinu za ki Qur’an za tafsill kwa kina, ili kupata maana halisi. Mbinu ambayo tutaitumia kwam kina katika episode hii ya Adam na nyinginezo zitakazofata.

Tutajionea kua tumeweka maana tu iliokusudiwa na tumeachana na tarjama na tafsiri kama ilivyozoeleka.

Baada ya huu ufafanuzi wetu, tutazamia kwa kina kwa tafsil ili tujionee jinsi tulivyoweza kuipata maana hii kwa kutumia mbinu za Qur’an. Tuanze;

Tafsil (syntactic segmentation) ya Qur’an 2:26 na 27
Mwenyezi Mungu hatafuti kuleta ugumu katika Maisha.
إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَسْتَحْىِۦٓ (A)​
kwa kupiga mfano wowote
أَن يَضْرِبَ مَثَلًۭا مَّا (B)​
kwa vikundi miongoni mwa Bani Israeli ambao huchochea vikundi kutokubaliana (yaani, watu wanaopanda mgawanyiko kwa kuuma na kuingiza habari za kupotosha).
بَعُوضَة(C)​
Kwa maana hawakubali kitu chochote juu yao! (Hakika kundi hili liliwakataa kwa kiburi wale wote walioinuliwa na Mwenyezi Mungu juu yao.)
فَمَا فَوْقَهَا ۚ (D)​
Na wale walio amini wanaelewa kua hio ni haki itokayo kwa Mola wao Mlezi
فَأَمَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ فَيَعْلَمُونَ أَنَّهُ ٱلْحَقُّ مِن رَّبِّهِمْ ۖ​
Na wale walio kufuru wanasema Mwenyezi Mungu anataka nini kwa methali hii?
وَأَمَّا ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ فَيَقُولُونَ مَاذَآ أَرَادَ ٱللَّهُ بِهَـٰذَا مَثَلًۭا ۘ​
(Allah) anaitumia kuwapotosha wengi na kuwaongoza wengi.
يُضِلُّ بِهِۦ كَثِيرًۭا وَيَهْدِى بِهِۦ كَثِيرًۭا ۚ​
Lakini (Allah) hapotoshi kwayo ila wapotoshaji (Alfasiqin).
وَمَا يُضِلُّ بِهِۦٓ إِلَّا ٱلْفَـٰسِقِينَ
(Q 2:26)

Qur’an 2:27

Waliokadhibisha ( ni mbu /baudha) ahadi ya Allah baada ya kuthibitika.
ٱلَّذِينَ يَنقُضُونَ عَهْدَ ٱللَّهِ مِنۢ بَعْدِ مِيثَـٰقِهِۦ​
Na wanayakata (tenganisha) yale aliyo amrisha Allah yasikatwe (yasitenganishwe)
وَيَقْطَعُونَ مَآ أَمَرَ ٱللَّهُ بِهِۦٓ أَن يُوصَلَ​
Na wanayafisadi maandiko
وَيُفْسِدُونَ فِى ٱلْأَرْضِ ۚ​
Wao hao ndio wenye hasara
أُو۟لَـٰٓئِكَ هُمُ ٱلْخَـٰسِرُونَ ٢٧​

Itaendelea.

...
Ma shaa Allah.

Simba unazidi kutupeleka maji ya kinakirefu. Naona umeanza kupiga mbizi kututafutia chaza wenye Lulu.

Nasubiri kwa hamu kubwa muendelezo. Hii inaweza kuwa ni "exegesis" ya kipekee ya Qur'an kwa Kiswahili.
 
Yap iko hivyo unakuwa uko protected na hivyo viumbe. Kuhusu kutibia hapo it depends una tawaliwa na majini wa race ipi na wana itikadi ipi ya kiimani kama race yao ni weusi watataka utibie kwa mitishamba and if race yao ni wazungu waarabu or wachina watataka utibie kwa culture zao ,mfano ukiwa na majini ya kizungu ambayo yana fuata itikadi za kikristo wata kutaka uponye watu kwa kutumia neno la mungu Refer kina mwamposa and the likes it's the same pia endapo kama majini hayo yatakuwa na itikadi za kiislam yatakutaka utibie watu kwa kutumia mifumo ya kiislam 😆😆😆 Mambo ndio yapo hivyo lakini wachungaji na mashekhe hawasemi ukweli 😆😆😆 wanaponya watu kwa nguvu za majini na mizimu then wana brain wash watu kuwa ni kwajina la yesu au allah
Ok, umesomeka
 
...

Kisa cha adam. 2.1

Je, malaika walimuuliza Mwenyezi Mungu?

Katika sehemu hii tunaanza na swali hilo, la kwenye kichwa cha Habari, ambalo In shaa Allah tutalizungumzia kwa kina.

Je, Malaika waliuliza kweli?

Wakati tunaendelea, kwanza tukumbushane kitu ambacho tulikiongelea huko nyuma nyuma kiasi, kijuujuu, nacho ni kua asilimia kubwa sana ya Qur’an, nadiriki kusema zaidi ya asilimia 60 ni visa na hadithi mbali mbali zilizomo ndani ya Qur’an. Kwa kusisitiza; ikiwa hakuna visa na hadithi ndani ya Qur’an basi hakuna Qur’an.

Tunapata na istilahi nyingine “dhikr”, ambayo kama tutavyojionea, mara nyingi inapotajwa “dhikr” katika haya maandiko yetu, inamaanisha kisa, fumbo au hadith ya Qur’an. Hili tutaliongelea kwa kina na kuonesha Ushahidi uliopo ndani ya Qur’an na tutajionea tunavyoweza kujifunza kutokana na dhikr, ambayo ni hadith za Qur’an.

Tutaona pia ndimi “lisan” ya Ibrahim (Abrahamic locution) inavyotolewa kwenye dhikr wakati tunaongelea suala hili la Malaika ambao, eti wamemuuliza maswali Muumba wetu, kama tulivyoaminishwa na watafsiri wengi katika aya Q 2:30.

Raha ilioje kila tunapogundua njia mpya na za kipekee ambapo Qur’an yenyewe inatufundisha na kuturekebisha mithili ya “advanced software” ya kompyuta kila tunapoendelea kugundua kuisoma kwa kufata mifumo yake ya kutuelimisha.

Kwa hakika ni muujiza kuelewa hayo kutoka kwenye Qur’an yenyewe, ni ya kushangaza na kustajaabisha. In shaa Allah Tutajionea wenyewe kila tunavyoendelea.

Hivi tunaviita moja ya vibainisho “bayyinah” au viashiria vipya tunavyojifundisha kwa pamoja.

In shaa Allah uwe ni ujuzi na elimu yenye manufaa kwetu na kwa wengine wote pia iwe ni sadaka njema kwetu na kwa Waislam wote, waliopo na waliotutangulia.

Tueleweshena na tuelewe kua, hii ni elimu na sio starehe, raha yake isio na mfano ni pale tunapojitambua kua tunaupata ujuzi wa kina wa kuulewa mwongozo wetu wa Qur’an kwa mbinu za Qur’an yenyewe.

Qur’an ni muujiza ambao huwezi kuufananisha kitabu cha mtu yoyote au chochote au mshairi yoyote duniani. Hakuna mbinu za kujifundishia za mtu yeyote zinayoweza kufanana au hata kuzikaribia mbinu za Qur’an.

Kwa kujikumbusha haraka haraka, tulipoipitia aya ya 26 na 27 ya Suratul Baqara tuliona kuhusu (baudhatun) بَعُوضَةًۭ au mbu kwa Kiswahili. Tukajikinaisha kua kilichokusudiwa sio mbu wala mfano wa mbu bali ni moja ya kikundi cha watu katika vikundi vya bani israel ambavyo vimegawanyika lakini daima wako kazini kuwagawanya wengine kwa kuwadunga sumu kama mbu, yaani mradi wawapotoshe tu.

Kutajwa kwa mbu wala kusitustue kwani kwenye Kiswahili pia kwa ulimi (lisan) au “locution” ya Tanzania tuna mifano kama hio mingi tu. Mmojawapo maarufu sana ni pale tunaposema ‘wanyonyaji wenye mirija”, naamini hakuna Mtanzania asiejua maana yake, lakini, anaweza kutokea mtu anaejifundisha Kiswahili au wa kutoka nchi nyengine kabisa yenye Kiswahili lakini haina msamiati huo, asielewe maana ya mirija na wanyonyaji.

Kwaa ufupi, natumai maana ya “locution” au ulimi au “lisan” kwa Kiarabu imeeleweka. Ni msamiati au aina ya neno au maneno yanayotumika sehemu fulani au na watu fulani. Wengine hata kwenye familia tu kuna maneno fulani wakiyaongea, ingawa ni ya Kiswahili lakini kama si mwanafamilia unaweza usielewe kinachoongelewa.

Hii imenikumbusha mfano wa kwetu Tanga, ukiwa baraza za bao, chakula kikiwa tayari nyumbani anaweza kutumwa mtoto akaambiwa “kamwambie babako, kabati limeanguka aje haraka kusaidia kulibeba”. Baba na wanaolewa “lisan” hio wanakua wameshaelewa, chakula tayari.

Au ule utani maarufu wa Ilala; Mume alishikwa na hamu na mkewe alikuwa Jirani na mashoga zake wana sherehe yao. Baba akamtuma mwanae “kamwambie mamako aje haraka kuna nguo za kufuliwa nyumbani”, Mama nae hali ilikua sio nzuri, akamwambia, kamjibu babako “mama anasema washing mashine leo mbovu”. Ni matumaini yangu tumeelewa maana ya “locution”.

Qur’an muujiza wake mmojawapo ni huu wa lisan au “locution”, mfano, miaka mingi sana imepita tokea wakati wa Nabii Ibrahim (Alayhi salaam) mpaka wakati ilipokuja Qur’an, lkini imetumika sana ‘lisan” ya Ibrahim (Abrahamic locution ) ndani ya Qur’an.

Pia zimetumika “locution” za Mussa, Firauni na nyenginezo, tutaziona kila tuvyoendelea, kiasi ni muujiza ulio wazi mpaka leo hii, wa kujiuliza, vipi Mtume Muhammad (Sala Allahu Alayhi Wasalaam) alizijua ndimi hizo za zamani sana? Aliwashangaza sana Mayahudi wa Madina wa wakati wake alipokua akitamka mambo mengine kwa ndimi zao. Hadi leo hii Qur’an inaendelea kuwashangaza mabingwa wa tafiti za kugha kwa jinsi ilivyoandikwa.

Kwenye “table” nilipozichambua (tasil) aya mbili za 26 na 27, nimeziwekea herufi za kwenye mabano (a), (B), (C)... na baadhi ya maneno nimeyawekea rangi (highlight) ya njano ili iwe wepesi kuzirejea tunapozielezea.

Kumbuka kua hatuongelei bani Israel wote bali ni baadhi ya vikundi tu na hivyo ndivyo aya ya 28 na 29 za Suratul baqara zinavyowaelezea;

Ili tuipate maana kusudiwa ya aya za 28, 29 na kuendelea, kwanza tujikite kwa kina kwenye tafsil ya aya ya 26 na 27 na tuipate maana kusudiwa ya aya hizo.

Nakumbusha hapa kwa kubandika tafsiri ya kawaida ya Sheikh Ali Mohsin barwani, ya aya hizo, ambayo inatumika sana kwenye mtandao;

Q 2:26. Hakika Mwenyezi Mungu haoni haya kutoa mfano hata wa mbu na ulio wa zaidi yake. Ama wale walio amini hujua ya kwamba hiyo ni haki iliyo toka kwa Mola wao Mlezi, lakini wale walio kufuru husema: Ni nini analo kusudia Mwenyezi Mungu kwa mfano huu? Kwa mfano huu huwapoteza wengi na huwaongoa wengi; lakini hawapotezi ila wale wapotovu, 26

Q 2:27. Wanao vunja ahadi ya Mwenyezi Mungu baada ya kwisha ifunga, na wakayakata aliyo amrisha Mwenyezi Mungu kuungwa, na wakafanya uharibifu katika nchi; hao ndio wenye khasara.
27

Baada ya kuiona hio tafsiri, hapa chini tunaweka ufafanuzi (interpretation) ambayo Mwenyezi Mungu ametujaalia kuiona kwa kutumia mbinu za ki Qur’an za "tafsil" kwa kina, ili kupata maana halisi. Mbinu ambayo tutaitumia kwa kina katika episode hii ya adam na nyinginezo zitakazofata.

Tutajionea kua tumeweka maana tu iliokusudiwa na tumeachana na tarjama na tafsiri kama ilivyozoeleka.

Baada ya huu ufafanuzi wetu, tutapiga mbizi, kuzamia kwa kina kwa tafsil ili tujionee jinsi tulivyoweza kuipata maana hii kwa kutumia mbinu (methods) za Qur’an. Tuanze;

Tafsil (syntactic segmentation) ya Qur’an 2:26 na 27
Mwenyezi Mungu hatafuti kuleta ugumu katika Maisha.
إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَسْتَحْىِۦٓ (A)​
kwa kupiga mfano wowote
أَن يَضْرِبَ مَثَلًۭا مَّا (B)​
kwa vikundi miongoni mwa Bani Israeli ambao huchochea vikundi kutokubaliana (yaani, watu wanaopanda mgawanyiko kwa kuuma na kuingiza habari za kupotosha).
بَعُوضَة(C)​
Kwa maana hawakubali kitu chochote juu yao! (Hakika kundi hili liliwakataa kwa kiburi wale wote walioinuliwa na Mwenyezi Mungu juu yao.)
فَمَا فَوْقَهَا ۚ (D)​
Na wale walio amini wanaelewa kua hio ni haki itokayo kwa Mola wao Mlezi
فَأَمَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ فَيَعْلَمُونَ أَنَّهُ ٱلْحَقُّ مِن رَّبِّهِمْ ۖ​
Na wale walio kufuru wanasema Mwenyezi Mungu anataka nini kwa methali hii?
وَأَمَّا ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ فَيَقُولُونَ مَاذَآ أَرَادَ ٱللَّهُ بِهَـٰذَا مَثَلًۭا ۘ​
(Allah) anaitumia kuwapotosha wengi na kuwaongoza wengi.
يُضِلُّ بِهِۦ كَثِيرًۭا وَيَهْدِى بِهِۦ كَثِيرًۭا ۚ​
Lakini (Allah) hapotoshi kwayo ila wapotoshaji (Alfasiqin).
وَمَا يُضِلُّ بِهِۦٓ إِلَّا ٱلْفَـٰسِقِينَ
(Q 2:26)

Qur’an 2:27

Waliokadhibisha ( ni mbu /baudha) ahadi ya Allah baada ya kuthibitika.
ٱلَّذِينَ يَنقُضُونَ عَهْدَ ٱللَّهِ مِنۢ بَعْدِ مِيثَـٰقِهِۦ​
Na wanayakata (tenganisha) yale aliyo amrisha Allah yasikatwe (yasitenganishwe)
وَيَقْطَعُونَ مَآ أَمَرَ ٱللَّهُ بِهِۦٓ أَن يُوصَلَ​
Na wanayafisadi maandiko
وَيُفْسِدُونَ فِى ٱلْأَرْضِ ۚ​
Wao hao ndio wenye hasara
أُو۟لَـٰٓئِكَ هُمُ ٱلْخَـٰسِرُونَ ٢٧​

Itaendelea.

...
Naomba kuuliza Simba, hapo kwenye tamko la مَثَلًۭا, ulimaanisha kweli 'methali' ama ni ile ile maana tuliyoizoea ya 'mfano'
 
Swali zuri sana.

Cha muhimu kabisa, mimi hapa sifanyi "tarjama" wala "Tafsir", ninachofanya ni "interpretation" au kama alivyonifundisha FF hapo juu kidogo, "exegesis", yaani kuipata maana kusudiwa kwa kutumia Kiswahili. Kwa hio sioni kama 'methali" au 'mfano' inaondoa maana kusudiwa.

Unataka tuweke "methali" kufata neno mathala, pia kwangu naona sawa.

Tunaweza ku edit kabla hatujaenda mbali, mnishauri. Hili ni letu sote.
Simba.
 
Back
Top Bottom