- Thread starter
- #4,061
Karibu sana, mwaga elimu.Uzi wake umejaa upotoshaji wa hali ya juu.
Simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana, mwaga elimu.Uzi wake umejaa upotoshaji wa hali ya juu.
Elimu kuhusu nini?Karibu sana, mwaga elimu.
Simba.
Umejaa chai sana.
Uliyonayo.Elimu kuhusu nini?
Kuhusu kitu gani?Leta na vitumbua tusukimie.
Uliyonayo.
Simba.
Nimemjibu huyo mtanashati fake, kwamba andiko lake ndio chai, yeye anapenda sana hiyo lugha ya chai.قُلْ هَاتُوا۟ بُرْهَـٰنَكُمْ إِن كُنتُمْ صَـٰدِقِينَ...
Q27:64
...Leteni hoja zenu kama nyinyi ni wasema kweli. 64
Simba.
Hii yako ndio chai yenyewe, Father Francoise alikuwa na kipindi asubuhi redio Tumaini kahawa au chai.Umejaa chai sana.
Hapo kwenye kumuhudhurisha kiumbe, Ulitumia njia gani?Hiki kisa cha Adam ni kizuri lakini kimefukuza watu wengi humu..... Watu wanavutika zaidi na elim iliyo kweny mfumo wa story, ila hiki kisa cha Adam ni elim ngumu inayohitaji kushughulisha akili kitu ambacho wengi hawapendelei
Kwenye visa vya Arsis popote alipozungumziwa
Jinn 1, 2 pamoja na Bakora... Hapo elim bubashara ilitolewa!!(hongera kwao)
MAFANIKIO NILOYAPATA KUPITIA ELIM KTK HUU UZI
a) kuwajua majinn na viumbe wa kiroho katika uharisia wao
b) kuijua mode of communication ya hao viumbe
C) kuweza zungumza nao kwa kupitia nafsi (telepathy)
D) kumchukulia jinn n kiumbe wa kawaida tu...
Kiufupi faida humu ipo,,,,, pia mengi yanayozungumzwa humu n kweli
(Hasa ile story ya vibuki ile ni ukweli mtupu 🚶🚶
Pia nimeweza kumhudhurisha kiumbe kukusaidia kufanya shughul zako (Kama ambavyo Arsis anaweza jibu maswali hum kupitia kwa Simba yani mnakuwa two in one🤝🤝
Ilianza kama udadisi mwisho ikawezekana.. Yani unaweza ita kiumbe kikajaa nafsin hlf mkaanza kufanya Jambo jema kwa pamoja!!!
Yote haya Asante kwa mleta uzi, maana katoa elim ya mambo mengi kwa maelezo, story na vitendo
Ndio maana nikamwambia ni chaiHii yako ndio chai yenyewe, Father Francoise alikuwa na kipindi asubuhi redio Tumaini kahawa au chai.
Mbona yote tayar yamo humu.... Simba kishaelekeza, vingine ufanye kucopy yeye alivyokuwa anafanya kuwaita jinn 1, 2 na Bakora (ile ndo njia rahisi zaidi)Hapo kwenye kumuhudhurisha kiumbe, Ulitumia njia gani?
Nakupa rukhsa anzisha wewe uzi mwengine, chogta yote kuhusu dawa ulioyaona humu na kama kuna mengine utaulizwa tutakuja kuyajibu yanayohusu dawa kama tunazijua.Safi, basi weka kipind au uanzishe uzi mwingine ili usiingiliane na huu uwe unaelezea Dawa na inatibu nini, ili walau huyo kiumbe wa fimbo watu wa jF wafaidike nae,
unaeza elezea ugonjwa huu na huu Dawa yake ni hii hii, au ukichukua hiki na hiki ukafanya hivi kinatibu hivi hapo kwa week mpaka mwezi utakua umefanya kazi kubwa sana na ndipo tutaona ufanisi na hakika wa habari zako
Sasa nimekuelewa Sheikh wangu.Nimemjibu huyo mtanashati fake, kwamba andiko lake ndio chai, yeye anapenda sana hiyo lugha ya chai.
Umeelewa?
Kisa cha Adam 2.2
Kwanza tulitazame neno hili Q 2:26 إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَسْتَحْىِۦٓ (A) “yastahyiy
Neno hilo pia tunalikuta kwenye Q 28:4 إِنَّ فِرْعَوْنَ عَلَا فِى ٱلْأَرْضِ وَجَعَلَ أَهْلَهَا شِيَعًۭا يَسْتَضْعِفُ طَآئِفَةًۭ مِّنْهُمْ يُذَبِّحُ أَبْنَآءَهُمْ وَيَسْتَحْىِۦ نِسَآءَهُمْ ۚ إِنَّهُۥ كَانَ مِنَ ٱلْمُفْسِدِينَ ٤
Kama mnavyojionea hapo kuna “skun” kwenye “ha” حْ. "Skun" au wengine wanaita "sakna”, pia kuna “kasra” chini ya Ya, hizo zinamaanisha kuna Ya (Y) nyingine baada ya "Ya" (Y) inayotamkwa. Na hivyo ndio jinsi inavyoonyeshwa na hivyo ndivyo inavyotamkwa “stahiyiy”. Kama kuna wataalamu wa tajweed wananisoma lazima waseme "ndio ukweli".
Hata sisi tunaweza kutafuta audio au video ya wataalamu wa tajweed kwenye YouTube au popote ukajisikilizia.
Sehemu ya kuvutia (interesting) ni kwamba tahajia (spelling) zipo sawa na inavyotamkwa ni sawa kwa aya hizo zote mbili, aya Q 2:26 na katika aya Q 28:4.
Tuzipitie tafsir tofauti hapa chini kwa ufupi, tujionee wenyewe;
Atabari alilitafsiri neno hilo “haogopi” kwenye Q2:26 na kwa upande wa Q28:4 akatafsiri “kuwaweka” (keeping)
...wanawake wao hai, hii ndio kama maana ya msingi iliyompa Zamakshari (hii ni tafsiri pia) alitumie neno sawa na “hayat” ambayo ni uhai au kuishi.
Nimeweka hayo kwa ufupi tu lakini ukipitia ukajisomea, utajionea karibia tafsiri zote zipo kwenye kuhitilafiana kwa maana ya hilo neno kutoka aya moja na nyingine.
In shaa Allah ikifikia wakati wa kuitafuta maana kamili ya 28.Surat Al-Qas'as' tutajionea maana kusudiwa ya aya hiyo/hizo.
Kwenye maana yetu sisi ya “la yastahyiy” tumesema; ... “hatafuti” ; Mwenyezi Mungu hatafuti kuleta ugumu katika Maisha...
Baada ya neno hilo, sasa tuendelee kupiga mbizi, vipi tumeipata maaana kamili ya hizo aya kwa kutumia mbinu za tafsil, kiota na ndimi “lisan” kwa maneno mengine;
Tutazame neno mbu ”baudha” بَعُوضَة(C), tutaona kabla ya neno hilo kuna neno “ma” مَّا. Neno “baudha”.
Neno “baudha” ili kulifanyia tafsil inabidi tuingie kwenye elimu ya lugha ya Kiarabu kidogo, tukilitamka peke yake kama lilivyo andikwa inabidi tulitamke “baudhatun” kwa kua mwishoni mwake lina herufi “Ta” iliofungwa (Ta marbuta) ة.
Kwenye lugha ya Kiarabu kuna elimu inayoitwa “elimu ya “Sarf”, Kingereza chake ni “morpheme”, katika elimu ya sarf tunajifunza kua kuna maneno “mzazi” (parent words” ambayo hayabadili maana ya neno yanapongezewa kionjo bali hubadili matumizi ya hilo neno. Mfano mdogo ni neno “faul”, nikisema “hamala” ambayo inamaanisha “kubeba” nikisema “Hamil” inakua ni mbebaji, sarf yake ni “fail”, mtendaji, yule anaebeba “hamil”. Nikisema “mahmoul” ambayo ni sarf ya “maf’ul” inamaanisha “amebebwa”,
Kwa ufupi ndio utamu wa vionjo (sarf) vya lugha ya Kiarabu.
Tukirudi kwenye neno letu “baudha” bila herufi ya "ta" iliofungwa, linakua ni “baudh”
...
Point yangu ipo hapo uliposema ''kwa majini ambao tayari unafahamiana nao''.Mbona yote tayar yamo humu.... Simba kishaelekeza, vingine ufanye kucopy yeye alivyokuwa anafanya kuwaita jinn 1, 2 na Bakora (ile ndo njia rahisi zaidi)
Pia cha kutia akilini n kuwa, hii unafanya kwa majini ambao tayar unafahamiana nao Yan ambao upo nao karibu🤝🤝
Ili kuepusha side effect za viumbe wa kiroho
(Usisome uzi Kama story vipo vingi vya kujifunza🚶
Nakumbuka nilikuelezea nyuma huko.Point yangu ipo hapo uliposema ''kwa majini ambao tayari unafahamiana nao''.
najaribu ku- analyse maelezo yako na simba conclusion nayopata nikuwa:-
Njia ya kumita jini na akaja kwa kumtaja jina au kuita tu inafanya kazi kwa mtu ambaye tayari yupo connected na majini hao mfano simba anavyowaita jini 1 na 2 au wewe unavyowaita ulisema upo connected nao kwa sababu ya mzee wako kama sijakosea.
Sasa hapa nina swali vipi kwa mtu ambaye hayupo connected na majini anaweza tumia njia hiyo? kama hapana atumie njia gani akitaka kumuita jini tofauti na jinn catching na ouija board?
Swali la nyongeza hapohapo, Nilisikia kuwa mtu mwenye majini kuna vitu akila inaweza kuwa sababu ya jini kupanda au kuna udi akivuta harufu yake jini anapanada je kuna ukweli katika hili.
cc: Arsis
ulifafanua kuhusu njia za kuwaita ndio ila nimeona njia zile zinafanyakazi kwa mtu aliye connected tayari na majini, Ndio nauliza ukitoa njia ya jinn catching na oujia board je kuna njia nyingine mtu ambaye hayupo connected na majini anaweza ita jini?Nakumbuka nilikuelezea nyuma huko.
Nini ambacho hujakifahamu? Nikufafanulie zaidi.
Simba.