Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Arsis: Mpaka hapo hujaonesha wapi Adam ni mtu wa kwanza kwenye Qur'an, ulileta nukuu za biblia kua Adam mtu wa kwanza.

Hili la Biblia ulioleta ndio point yangu haswa. Unaitafsiri Qur'an kwa kufata biblia?

Hawa mmemtoa wapi Waislam? Nataka ushahidi (dalil).
Arsis
Surat al Baqara Aya 30 { Sura ya Kisa cha Ng'ombe wa wana wa Israel}
' Kumbuka ewe Muhammad pale Mola wako Mlezi alipowaamba Malaika ' Mimi nakusudia kumweka naibu wangu ardhini'. Malaika wakajibu: ' unataka kuweka huko kiumbe ambaye atafanya uharibifu huko na kumwaga damu, ingawa sisi tunakutakasa na kukutukuza? Mwenyezi Mungu akawajibu: ' Kwa hakika Mimi najua msiyoyajua nyie!' .....hadi mwisho wa Aya ambapo kuna kufukuwa kutoka Peponi kwa Shetani, Adam na Hawa na kuteremshwa ardhini. Ile kuwaambia Malaika ' Nakusudia' inaonesha hapakuwa na kiumbe kama yeye duniani kabla yake. Vinginevyo angesema: nimemua kumpeleka kiumbe mwingine.....? Kweli, Hii siyo 'patenty spoken' but alluded to.
 
Kwanza katika Kiswahili hakuna neno 'dhehebu' ni 'madhehebu' hata likiwa moja.
Pili: tunapozungumzia Uislamu na Ukristo hapa hatutazami madhehemu gani. Hayo ni masuala ya ndani mtajuana nyie wenyewe. Kwetu Ukristo ni Ukristo tu, kama ambavyo ukizungumzia Uislamu unazungumzia wote.
Nilikuwa na confirm kuhusu dhehebu, naona umeniongopea.

Kama umeamua hivyo, hiyo inakuwa inakufaa wewe lakini kama unakuwa unataka kuchambua kitu inabidi uende deeper.
Hii ni reply yangu ya mwisho, sidhani kama mimi na wewe tuna cha kuelekezana tena katika hili suala.
 
Majibu yako yamenipa maswali zaidi, Nivumilie tu.
1. Je jina Hilo lipo katika yale majina 99
2. Nimejaribu kupitia baadhi ya hadith nimeona viashiria kuwa jina la AL HAYYU AL QAYUMM huenda ndio ismul adhwam je hilo ni kweli? Kama sio kweli kuna uhusiano wowote wa jina Hili na ismul adhwam ?
Mwisho, Naomba ueleze jina Hilo linavyojulikana na maulamaa wengine?

Sisemi kama yupo sawa ila naomba nikuelezee thinking yake...neno mnalobisbania ni neno asili ya kiarabu linaloitwa 'madh-hab'....likatolewa kiswahili as madhehebu
 
Hatuyawezi yote, ukiona kuna vita vinavyoonekana elewa pia kuna vita visivyoonekana. Tunajitahidi kadiri ya uwezo wetu aliotujaalia Allah.

Kikubwa ni wewe binadam, kufanya mema na kuepukana na maovu.

Soma sana. usiwe na mipaka katika kusoma isipokuwa elewa mipaka ya mema na maovu.

Nafsi yako itakueleza hili ovu,ukishajua ni ovu, lisome kupingana nalo, kama unaweza lizuwie kwa mkono wako, ukishindwa lizuwie kwa mdomo wako, ukishindwa lizuwie kwa kulichukia.

Tuko pamoja.
Binadamu huwezo huo hatuna, ndio maana unaona dunia iko ilivyo. Sasa tunawatu wasiojulikana,lakini naamini ARSIS unaweza kuwa unawafahamu kwa uwezo wako, je hili tunahitaji kukuomba utusaidie?

Sisi binadamu mengi hufanya kwa kificho, lakini wewe kwa uwezo wako unaweza kufahamu chochote na wakati wowote na unaweza kuzuia ukitaka.

Ndio nikasema kwa wema wako na ukubwa wako, ZUIA yote bila kuombwa na watendayo waweke hadharani kwasababu umedhihirisha uwezo huo unao.

Nasema hivi kwa sababu sisi hatuwezi kukufikia, hatuna mawasiliano yako, hivyo wewe ungejiongeza tu, binadamu hawawezi kutenda wema tena dunia hii imebadirika sana, wewe kwa umri wako duniani humu ukiondoa miaka uliyofungwa, umeona mengi, ombi lagu usisubiri uitwe na bakora tenda miujiza kwa uwezo wako.
 
Ili maisha yabalance ni lazima kuwe na pande mbili,
Upande hasi au upande wa uove
Na upande chanya au upande wa mema.

Kuhusu kuchukua hatua sisi wenyewe tutachukua hatua ikitokea upande fulani umezidi. Mfano maovu yakizidi yatagusa kila mmoja hvyo tutakuwa tayari kuchukua hatua ila kwa sasa bado sana.

Ata unayoyasikia na kuyaona ni sehemu ndogo ya uhalisia kuhusu maovu ila bado mzani unasoma wema uko juu
 
Mambo yanaweza kuonekana ya ajabu sana kwa wengine, lakini kwa kua naishi nayo kwa muda nrefu sasa, kwangu yanakua si ajabu tena bali ni mikasa na vituko.

Nilikwenda Tanga mjini kwa mambo ya kifamilia, siku ya pili usiku, mapema tu, kama saa tatu za usiku niliingia kupumzika, mlango ukagongwa, ile staili ya kugongwa nikajua ni Jini 1 huyo. Nikasema, ingia. Jini 1 akaingia.

. Baada ya kusalimiana nae, Jini 1 akanambia nimekuja na mgeni wako, Bakora yupo hapa anataka kuongea na wewe peke yako, aingie? Nikamwambia, aingie tu. Jini 1 akafungua mlango, Bakora akaingia, Jini 1 akaaga, akatoka zake.

Bakora alipoingia nikashangaa kumuona ana bakora yake na mbili zingine.

Bakora; hii fimbo yako, nimeona nikuletee.

Kweli, bakora yangu niliiacha Dar nikaona ndio moja kati ya tatu alizonazo. Siku hizi mara nyingi huwa sisafiri nayo.

Bakora; Usishangae, kuna kazi muhimu sana ndiyo maana nimekuletea, inahusiana na hii bakora nyingine niliokuja nayo. Kesho unatakiwa uje mahandakini mapema, kuna mambo muhimu sana.

Mimi; Mambo gani?

Bakora; Usiulize sasa hivi, utayajua yote ukija mahandakini kesho, usiwe na wasiwasi ni mema tu. Hizi bakora zote mbili nakwenda nazo.
Bakora yako utaikuta mahandakini utapokuja kesho. Atarudi Jini 1 kama una maswali yoyote atakujibu yeye. Kwaheri.

Akaondoka zake.
Simba Karudi Waungwana!! Walo Miss Maarifa Kutoka kwa Simba(Arsis) Like Zenu wekeni hapa Mwamba aone Tunavyo mkubali.
 
FF

Wewe ndio unalalamika simalizii visa, halafu wewr ndio unakuja na maswali mazito. Tutamalizia kweli visa namna hii?

Anyway, kuhusu Manara, namfahamu.

Kwenye hili la Manara kuna mambo manne kama sio matano.

2) Jina lake lina uhusiano mkubwa sana na ushindi kiukoo.

2) Manara anaujuwa mpira - football), kazaliwa kwenye kizazi cha mpira kuumeni na kukeni.

Kwa sasa huwezi kumlinganisha na yeyote kwenye soka la Tanzania. Yupo juu sana.

3) Albino wanatafutwa viungo vyao wakiwa hai au wamekufa kwa sababu ya tissue zao, zinatumika kuzalisha dawa za kujidunga na kula kuwafanya watu wawe weupe.

4) wanatafutwa sana vivuli vyao na wachawi ili wavitumie kwa manufaa yao.

5) Manara kishaielewa binafsi faida ya vivuli vyake na kajua na kaanza kuzowea kuvitumia kwa faida yake.

Kwa vyovyote vile, ukiwa timu moja na Manara ujue upo na timu ya ushindi, iwe biashara au michezo.
Miaka ile yupo Simba na hakukuwa na makombe yoyote alikuwa bado hajajua namna ya kutumia viungo vyake!? Nchi hii bhana...
 
Sasa anko Arsis sijaelewa vizuri uliposema nimeoteshwa kazi yangu bila mimi kujijua

Ni kweli inaweza kuwa hivyo ila sasa ni kazi gani hiyo? Ndoto nyingi niotazo huwa sikumbukagi niamkapo

Naomba Arsis aniambie ni kazi gani hiyo Tafadhari🙏🙏
Jitazame hali yako kimaisha imebadilika au ipo kama zamani?
 
Majibu yako yamenipa maswali zaidi, Nivumilie tu.
1. Je jina Hilo lipo katika yale majina 99
2. Nimejaribu kupitia baadhi ya hadith nimeona viashiria kuwa jina la AL HAYYU AL QAYUMM huenda ndio ismul adhwam je hilo ni kweli? Kama sio kweli kuna uhusiano wowote wa jina Hili na ismul adhwam ?
Mwisho, Naomba ueleze jina Hilo linavyojulikana na maulamaa wengine?
msome Ibn Arabi.

Kaliandika hilo jina wenye sayari, ambayo sasa inajulikana kama Mars. Kipo wazi kabisa.

Jina pekee bila kupewa na Allah mwenyewe hiyo elimu, haitokidhi matakwa yako. Kila mmoja hufunuliwa "pasword" yake. Inawezekana jina hilo alifunuliwa Ibn Arabi tu kama password yake.

Fanya bidii na wewe upewe password yako.
 
Sawa, Shukran.
 
Tiririka Mkuu.
 
Jitazame hali yako kimaisha imebadilika au ipo kama zamani?
SImba kuna kitu bado hujajua kuhusu mimi mwambie Arsis akuelezee maana kuja inbox imekuwa katazo

Ila kukujibu swali Tangu naumwa hali yangu ya maisha imebadilika na kuwa mbaya sana na mpaka sasa inazidi tu kuwa mbaya
 
Arsis ebu huyu mtu angalia ni namna gani utamsaidia,maana nakumbuka alitoa changamoto zake nzito sana
 
SImba kuna kitu bado hujajua kuhusu mimi mwambie Arsis akuelezee maana kuja inbox imekuwa katazo

Ila kukujibu swali Tangu naumwa hali yangu ya maisha imebadilika na kuwa mbaya sana na mpaka sasa inazidi tu kuwa mbaya

Tafuta msaada kwingine usikomalie mlango uliofunga
 
Back
Top Bottom