Salaam.
Samahani napenda kuuliza unavyofanya mawasiliano ni njia gani ?
ishara ,kwenye ndoto au kwa kuja kichwani.
Maana huwa wanasema jinn au hao viumbe hawatakiwi kuja kwenye ufahamu wako mwanadamu ..ni dhambi..hapo hapo wengine ni sawa ..
Mfano nina uwezo wa kuwasilian na jinn popote ninapokuwa nikihitaji na bila kupoteza ufahamu yaani kupitia nafsi..
ila wengine wanasema haitakiwi kidini.. so
naomba unisaidie ipi ni njia inayopaswa kuwasiliana nao..
Maana huwa naomba na kufanya Tahjud sometimes ..Kwa MwenyeziMungu kama si ni dhambi anisaidie kuondoa hii hali lkn cha kushangaza.
Nikiswali sana na kukaa mbali na maasi ndo nguvu zinaongezeka.
Kwakweli nastuck kipi ni kipi.
Msaada ndugu.
Mwenyew kuna wakati nilipitia changamoto hii...... Mawasiliano yapo aina tofaut tofaut kulingana na daraj yako!!
Mlango wa ndoto, hisia, telepathy na dhahiri
Sasa kufupisha taarifa hii kitu sio dhambi,,, maana mlango wa mawasiliano ya kiroho haupo kwa ajili ya kuwasiliana na majini
Ila ni njia ya kuwasiliana na ulimwengu wote wa kiroho ikiwemo
Mungu na malaaika..... Ila kwasasa unawasiliana na majinn kwasabb bado upo daraja hyo (ila ukiendelea kufanya ibada zaid utafikia level ya kimalaika n.k)
Maana ulimwengu umegawanyika makundi matatu
1.Aalamul shahad (huu ulimwengu unaoonekana)
2.Aalamul ghaib (ulisioonekana ila ukifanya jitihada unaweza kuuona)
3.Aalamul ghaib ghairul mushahad (huu ni ulimwengu usioonekana ambao Allah kauweka uwe Siri mpk siku ya mwisho)
Sasa huu ulimwengu wa pili yani ghaib ni mpana Sana na ili mtu aweze kuwa connect na ulimwengu huu anahitaji vifaa maalum ambavyo n natural au artificial
Mfano: bacteria wote wapo kweny ulimwengu usioonekana..... Ndo maan ukitaka kumuona utahitaj microscope
Majinn wapo kwenye ulimwengu usioonekana...
Hivyohvyo mambo ya roho, pepo, Moto, thawabu, laana, mikosi, upendo, chuki, protini, akili, n.k
Vyote hvyo vipo ulimwengu usioonekana
Sasa basi kuna mlango wa mawasiliano ambao humconnect mtu na ulimwengu usioonekana..... Ndo wewe umeweza kuufungua huu na huu hufunguka automatic yan ukifanya ibada Sana uwezo wa kuwasiliana na Viumbe wa kiroho huja wenyew upende usipende.... Hii ni kwann???
Majibu hapa n simple, mwanaadam toka kipindi anaumbwa uwezo huo alipewa ila sababu ya maasw huu uwezo hujifunga (jiulize n kwann mtoto mdogo huona vitu ambavyo watu wazima hawawez vitizama, kichanga kinaona mpk malaaika)
Nakurudisha kweny nadharia na kidini....
Mitume na manabii walitumia hizi milango za kiroho kuwasiliana na Mungu na malaaika wake
Mfano mzuri n nabii Mussa alipokuwa katikat ya majibizano na firaun (farao)
Alikuwa akipewa maelekezo nn afanye na nini aseme (hii ilifanyika bila mtu mwingine kujua kwahyo hapa nabii wa Mwenyez Mungu alitumia telepathy kuongea na Mungu yani walizungumza kupitia nafsi)
Sasa kingine cha kuongeza kdg n kuwa.... Unapozungumza na kiumbe cha kiroho kupitia nafs haimaanishi kipo kichwan kwako hapana jinn anaweza kaa pemben yako au hata kilomita 1000 na akakusemesha kupitia nafsi yako🤝🤝
Hii kitu sio dhambi ndivyo Mungu alivyomuumba mwanaadam... Ni moja kati ya uwezo wa mwanaadam ulojificha sana, na huu hufunguliwa na ibada pekee