Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

1. Wanamfahamu Mungu kuliko sisi...., Wao wanamtambua Mungu muumba kwa jina gani ambalo mungu amejifunua nalo kwao?
2. Hizo siri wanazojua wanaweza ku-share na mwanadamu ? kama ndio kwa masharti yapi? Au ukiweza kuwaita tu wanaweza ongea na wewe kuhusu jambo lolote bila mipaka.?
Hapo kwenye makazi yao nimekuelewa sana sina la zaidi hapo, Jazakallahu khair.
1. Huko sitaki kuwazungumzia.... Tupaache

2. Kwanza unatakiwa ujue Siri zote ni za Allah.... Mwenyez Mungu pindi akimpenda mja humfunulia siri asizozijua, pia humdhalilishia viumbe wote, wa daraj ya chini yake🤝
Yani wewe ukiwa mchamungu majini watatiishwa kwako chochote utawauliza watakwambia maana hata wasipokwambia wewe binafsi unakuwa na uwezo wa kujua hizo siri bila hata uwepo wao!!!
Hapa kuna Siri kubwa Sana kuhusu uwezo wa mwanaadam........... Yani sisi binaadam mbali na uwezo wa majinn tumepewa nguvu kubwa Sana n vile huwa hatujui namna ya kuitumia sabb ya maasw yetu na kuwa mbali na Muumba🤝🤝

Kwahyo ukishatunukiwa na Allah hakuna kitu jinn atakuficha..... Ila mpk ufike daraj hzo sio leo!!
Ila kutokana na hekima zao huwa Kuna vitu hawasemi sabb ya usalama wa muambiwaji kutokana na udhahifu wa nafsi yake🚶🚶

(Dah, halafu n kwanini watu mnapenda kuchokonoa Sana mambo makubwa ambayo uharisia wake hamuuwezi???

Kweli Arsis anaroho ya kipekee mi vingenishinda mapema Sana🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Sawa mkuu hilo la kwanza tuliache kama lilivyo.
Ila hapo kwenye mabano uliposema tunapenda kuchokonoa mambo makubwa, Ni wewe mkuu au ni wakulungwa wanakusaidia ku-type... 😛
 
😁😅😅 Na mm namashaka na namna anavyojinasua vzr na maswali. Cjuh kazi ya Wakulugwa ??
 
Sawa mkuu hilo la kwanza tuliache kama lilivyo.
Ila hapo kwenye mabano uliposema tunapenda kuchokonoa mambo makubwa, Ni wewe mkuu au ni wakulungwa wanakusaidia ku-type... 😛
Hahaha hapana n mm.... Ila mijadala ya kielim Kama hii wanapenda Sana, kwahyo Kuna hali hutokea mtu unakuwa na ufaham nusu nusu (Yani unakuwa nusu n wewe na nusu n jinn.... Kama ilivyokuwa kwa Arsis na Simba)
Muda mwingine wanasoma tu, kwenye kuchangia kidogo wanachangia.... Ikitokea kitu kikubwa ndo unawauliza wao straight wanakupa wewe darsa halafu ww ndo unakuja kuwafundisha mwenzako.
Na kunawakati unakuwa mwenyew 💯 hasa ukiwa kwenye mambo yako ya kibinaadam..... Hawa huwa karibu zaidi ukiwa kweny mambo ya kiibada🤝
Mfano mm muda mwng nakuwa na udhu, nipo pekeangu, navuta nyirad muda mwing nasoma sana Quran n.k automatic wanajikuta wanapenda kuwa karibu muda mwingi, hata wakiwa mbali ukiwaita dk hyohyo washafika...
(Duh ila nazungumza mengi Sana🤔🤔🤔🤔🤔🤐🤐🤐🤐

Pia Kuna daraj katika uchamungu mtu akifikia huwa na ufaham wa kimungu Yan anakuwa nusu yeye na nusu nyingine n utukufu wa Mungu .
Kwahyo haya mambo yapo hivyo
 
Shukran sana bwana Mwami Atale umesomeka vizuri kabisa endelea kutujuza mawili matatu kila ukiwa na nafasi taratibu najifunza pia.
Nyiradi gani huwa unapendelea sana kuzisoma?
 
Hapa kwenye nyirad ntazungumza kwa ujumla..... Nyirad n hizihizi tulizofundishwa na mtume!!
Ila hapa kweny nyirad ndio Siri ya kila kitu ipo hapa.
Kuna daraj zaid ya tatu za athari au matokeo ya nyirad

1. Unapofanya nyirad unapata thawabu za utajo wa Mungu

2. Unapofanya nyirad zaidi, unapata upekee au unapata nafasi ya kutizamwa na kuafikishwa katika wepesi wa ibada.... Yani hapa unasaidiwa kuondoshewa vile vikwazo vinavyokuzuia kufanya ibada zako

3. Ukizidi kumtaja Mungu zaidi.... Mwenyez Mungu anakupatia zawadi (hii zawadi ndo wengine huita Siri ya nyirad🤝).... Hapa ndo utaona mtu kaanza kuwa na vikarama kiasi na kwanzia level hii unakuwa na power ya kuwasiliana na viumbe wa kiroho🤝

4. Ukizidi kumtaja Mungu zaidi na kufanya ibada.... Mwenyez Mungu anakupenda!!
Ukifikia daraj hii ya kupendwa na Allah kwa sababu ya ibada na matendo mema
Hapa utapendwa na viumbe wema wote
Yani, Malaaika, Viumbe tusiowajua, majinn wachamungu, wanyama, watoto n.k

(Na hii daraja ukifika ndio utaona mtu anaita majinn wanakuja Kama anavyomuita swahiba wake tena wanakuja kwa unyenyekevu .....
Kwanzia hapa mtu anakuwa tayari ni walii wa Mungu

5. Ukiendela kufanya ibada na matendo mema.... Unafikia daraj ya kupewa kauli kwenye kinywa chako ya kuharibu na kutengeneza, unachokitaka wewe Allah anakufanyia, adui yako n adui yake... Yani unakuwa n kiumbe kinachoogopwa na viumbe wengine wote... Sababu ya uchamungu pekee!!!

6. Mwisho ukipiga hatua zaidi unafikia kwenye daraja ya mwisho ambayo wewe uwe hai au umekufa kila tukifanya ibada zetu lazima tukuombee kwa Mungu ili ibada yetu ipokelewe🚶🚶

(Mimi nimelelewa na watu wa Twariqa... Masufi, kwahyo ndio mambo yetu haya😁
Japo baadae niliwasaliti kidogo ila chembechembe zao bado ninazo
 
1. Huko sitaki kuwazungumzia.... Tupaache

2. Kwanza unatakiwa ujue Siri zote ni za Allah.... Mwenyez Mungu pindi akimpenda mja humfunulia siri asizozijua, pia humdhalilishia viumbe wote, wa daraj ya chini yake🤝
Yani wewe ukiwa mchamungu majini watatiishwa kwako chochote utawauliza watakwambia maana hata wasipokwambia wewe binafsi unakuwa na uwezo wa kujua hizo siri bila hata uwepo wao!!!
Hapa kuna Siri kubwa Sana kuhusu uwezo wa mwanaadam........... Yani sisi binaadam mbali na uwezo wa majinn tumepewa nguvu kubwa Sana n vile huwa hatujui namna ya kuitumia sabb ya maasw yetu na kuwa mbali na Muumba🤝🤝

Kwahyo ukishatunukiwa na Allah hakuna kitu jinn atakuficha..... Ila mpk ufike daraj hzo sio leo!!
Ila kutokana na hekima zao huwa Kuna vitu hawasemi sabb ya usalama wa muambiwaji kutokana na udhahifu wa nafsi yake🚶🚶

(Dah, halafu n kwanini watu mnapenda kuchokonoa Sana mambo makubwa ambayo uharisia wake hamuuwezi???

Kweli Arsis anaroho ya kipekee mi vingenishinda mapema Sana🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
Wewe tayari unayafahamu mengi je hizo nguvu unazitutumia?
 
Yah huwa nazitumia kwenye baadhi ya mambo yangu.... Japo mara chache sababu bado nipo darasani sijaziingiza Sana kwenye utendaji, nafocus katika ukuaji wa kiroho na kuicontrol nafsi🤝

Hahaha najua unataka kujua hizi power zinauwezo wa kufanya vitu gani...
Anyway ngoja nikuibie Siri kidogo, ukiweza kuconnect na haya mambo kwanza kabisa unaondoshewa sababu zote za stress, maana huwez fanya ibada ukiwa na stress
(Unaanza kuish Kama mwanamfalme yani huna njaa, huna mawazo, huna maradhi (hapa kweny maradh mm ikitokea nimeumwa leo kesho napona)
Unakuwa na kitu mfano wa watumishi ambao sio wa kinaadam,,, wanajua unataka nn kwa wakati gani🤝

Kuna muda unakuwa na elim ya kujua tu mambo bila kufundishwa.... Kiufupi unakuwa na kitu mfano wa SUPERNATURAL POWER

Ukimuombea mtu jambo kwa Mungu linatokea.... Ukiwaza kitu kinatokea, kuna muda unaweza ona Jambo ambalo halijatokea unawatahadharisha wahusika wawe makini n.k
Unakuwa na elim ya kuwajua watu, Yan unaweza mtizama mtu mpk nafsin n.k

Kiufupi mambo n mengi....
 
Mkuu ivi iyo nyirad ina maan gan?
Nyiradi ni maneno ya kumtaja Allah kwa kumshukuru, kumtukuza au kumuomba msamaha.
Katika uislamu ni istilahi ya kawaida sana wengine huita dhikr.
Nyiradi au dhikr zinapatikana katika Qur-an na nyingine kafundisha mtume Muhammad( Rehma na amani ziwe juu yake).
Mfano wa nyiradi ni kusema Astaghafirullah , subhanallah, Alhammdulillah, Allahuakbar, Lailaha ila anta subhanaka ini kuntu min dhwalimin, Lailaha ila llah wahadau la sharikallaah lahul mulk walahulhamdu wahuwa a'la kul shayin qadir, zipo nyindi sana hizo ni mfano kidogo tu.
 
Hapa kwenye nyirad ntazungumza kwa ujumla..... Nyirad n hizihizi tulizofundishwa na mtume!!
Ila hapa kweny nyirad ndio Siri ya kila kitu ipo hapa.
Kuna daraj zaid ya tatu za athari au matokeo ya nyirad

1. Unapofanya nyirad unapata thawabu za utajo wa Mungu

2. Unapofanya nyirad zaidi, unapata upekee au unapata nafasi ya kutizamwa na kuafikishwa katika wepesi wa ibada.... Yani hapa unasaidiwa kuondoshewa vile vikwazo vinavyokuzuia kufanya ibada zako

3. Ukizidi kumtaja Mungu zaidi.... Mwenyez Mungu anakupatia zawadi (hii zawadi ndo wengine huita Siri ya nyirad🤝).... Hapa ndo utaona mtu kaanza kuwa na vikarama kiasi na kwanzia level hii unakuwa na power ya kuwasiliana na viumbe wa kiroho🤝

4. Ukizidi kumtaja Mungu zaidi na kufanya ibada.... Mwenyez Mungu anakupenda!!
Ukifikia daraj hii ya kupendwa na Allah kwa sababu ya ibada na matendo mema
Hapa utapendwa na viumbe wema wote
Yani, Malaaika, Viumbe tusiowajua, majinn wachamungu, wanyama, watoto n.k

(Na hii daraja ukifika ndio utaona mtu anaita majinn wanakuja Kama anavyomuita swahiba wake tena wanakuja kwa unyenyekevu .....
Kwanzia hapa mtu anakuwa tayari ni walii wa Mungu

5. Ukiendela kufanya ibada na matendo mema.... Unafikia daraj ya kupewa kauli kwenye kinywa chako ya kuharibu na kutengeneza, unachokitaka wewe Allah anakufanyia, adui yako n adui yake... Yani unakuwa n kiumbe kinachoogopwa na viumbe wengine wote... Sababu ya uchamungu pekee!!!

6. Mwisho ukipiga hatua zaidi unafikia kwenye daraja ya mwisho ambayo wewe uwe hai au umekufa kila tukifanya ibada zetu lazima tukuombee kwa Mungu ili ibada yetu ipokelewe🚶🚶

(Mimi nimelelewa na watu wa Twariqa... Masufi, kwahyo ndio mambo yetu haya😁
Japo baadae niliwasaliti kidogo ila chembechembe zao bado ninazo
Mkuu kwanini uliwakimbia watu wa twariqa?
 
Hahaha wale watu wanamisimamo yao ambayo sikuielewa... Pia walikuwa wananipa nyirad nyingi sana 🤔
Kumtaja Mungu mara 23000 kwa siku mwaka mzima ilikuwa ni kutaka kuniua😢😢😢

Halafu bado nikatoka kwao sijui lolote,
Sisemi Kama wanakosea au hapana ila wale kazi kupeana ugum kwenye ibada tu kumbe ibada inahitaji code ndogo Sana😋
Nimekaa miaka miwili kwao ila nimetoka n nyumbu tu,,,,,, lakini nimekuja huku uswahilini tena mwenyew tu, nikatafuta elim tofaut tofaut ikiwemo hapa kwa Arsis ndani ya miez 6 pekee nishakuwa 🔥
Kuliko watu walokaa huko zawiyan miaka 7🤝

Hivi vitu vinahitaji code... Allah anataka kuabudiwa kwa nidham na kumaanisha,,, ibada ni focus sio kukaa masaa mengi

Turudi kidogo kweny elim ya circular Kuna hii kauli "Msuli tembo matokeo sungura🤔"
Kusoma n dk 45 za mwanzo... Hayo masaa matano mbele mpaka kukesha huwa n mbwembwe tu
 
Nimekuelewa sana akhy.
Nomba nije PM.
 
Level ya kujibizana nao kam hvyo sijaifikia bado.....!!

Unajua haya mambo yanaenda kwa daraj ya uchamungu, wale n very powerful kuliko hata hawa majinn wa kawaida🤔🤔

Huwa medium of communication ikifunguka.... Nikisema kitu wao wanajibu kwa ishara ila hawazungumz lolote, pia Hawa jamaa huja siku mojamoja Sana... Siku ukifunga halafu hukuzungumza sana, (maana ongea Sana kupunguza nguvu ya nafsi), hukutizama Sana yasiyofaa (Yani hapa simu weka mbali au tumia kisimu cha batani n salama zaidi),,,,,,,,, halafu pia huja pindi unafanya ibada pekeee tena pale kipindi ibada imekolea,

Ni darsa refu kiasi(ila nashindwa kuzungumza Sana sabb haya mambo sijayasoma sehem kwahy huenda ntajitukanisha hapa maan weny elim hum n wengi🤝

Ila kwa hawa majinn wa angan baadhi yao Kama buruhan n.k. Wao ndo tunajibizana kawaida, tena wanahekima kuliko sisi binaadam 🤝

Kias kwamba washanipa mpk addiction yani nikipata Jambo linahitaj hekima nyingi nawauliza wao n marafiki wazuri sana!!!
Salaam.
Samahani napenda kuuliza unavyofanya mawasiliano ni njia gani ?
ishara ,kwenye ndoto au kwa kuja kichwani.
Maana huwa wanasema jinn au hao viumbe hawatakiwi kuja kwenye ufahamu wako mwanadamu ..ni dhambi..hapo hapo wengine ni sawa ..
Mfano nina uwezo wa kuwasilian na jinn popote ninapokuwa nikihitaji na bila kupoteza ufahamu yaani kupitia nafsi..
ila wengine wanasema haitakiwi kidini.. so
naomba unisaidie ipi ni njia inayopaswa kuwasiliana nao..
Maana huwa naomba na kufanya Tahjud sometimes ..Kwa MwenyeziMungu kama si ni dhambi anisaidie kuondoa hii hali lkn cha kushangaza.
Nikiswali sana na kukaa mbali na maasi ndo nguvu zinaongezeka.
Kwakweli nastuck kipi ni kipi.
Msaada ndugu.
 
Hahaha wale watu wanamisimamo yao ambayo sikuielewa... Pia walikuwa wananipa nyirad nyingi sana 🤔
Kumtaja Mungu mara 23000 kwa siku mwaka mzima ilikuwa ni kutaka kuniua😢😢😢

Halafu bado nikatoka kwao sijui lolote,
Sisemi Kama wanakosea au hapana ila wale kazi kupeana ugum kwenye ibada tu kumbe ibada inahitaji code ndogo Sana😋
Nimekaa miaka miwili kwao ila nimetoka n nyumbu tu,,,,,, lakini nimekuja huku uswahilini tena mwenyew tu, nikatafuta elim tofaut tofaut ikiwemo hapa kwa Arsis ndani ya miez 6 pekee nishakuwa 🔥
Kuliko watu walokaa huko zawiyan miaka 7🤝

Hivi vitu vinahitaji code... Allah anataka kuabudiwa kwa nidham na kumaanisha,,, ibada ni focus sio kukaa masaa mengi

Turudi kidogo kweny elim ya circular Kuna hii kauli "Msuli tembo matokeo sungura🤔"
Kusoma n dk 45 za mwanzo... Hayo masaa matano mbele mpaka kukesha huwa n mbwembwe tu
Kama ndio ivyo basi hawataki watu waelewe
 
Salaam.
Samahani napenda kuuliza unavyofanya mawasiliano ni njia gani ?
ishara ,kwenye ndoto au kwa kuja kichwani.
Maana huwa wanasema jinn au hao viumbe hawatakiwi kuja kwenye ufahamu wako mwanadamu ..ni dhambi..hapo hapo wengine ni sawa ..
Mfano nina uwezo wa kuwasilian na jinn popote ninapokuwa nikihitaji na bila kupoteza ufahamu yaani kupitia nafsi..
ila wengine wanasema haitakiwi kidini.. so
naomba unisaidie ipi ni njia inayopaswa kuwasiliana nao..
Maana huwa naomba na kufanya Tahjud sometimes ..Kwa MwenyeziMungu kama si ni dhambi anisaidie kuondoa hii hali lkn cha kushangaza.
Nikiswali sana na kukaa mbali na maasi ndo nguvu zinaongezeka.
Kwakweli nastuck kipi ni kipi.
Msaada ndugu.
Mwenyew kuna wakati nilipitia changamoto hii...... Mawasiliano yapo aina tofaut tofaut kulingana na daraj yako!!
Mlango wa ndoto, hisia, telepathy na dhahiri

Sasa kufupisha taarifa hii kitu sio dhambi,,, maana mlango wa mawasiliano ya kiroho haupo kwa ajili ya kuwasiliana na majini
Ila ni njia ya kuwasiliana na ulimwengu wote wa kiroho ikiwemo
Mungu na malaaika..... Ila kwasasa unawasiliana na majinn kwasabb bado upo daraja hyo (ila ukiendelea kufanya ibada zaid utafikia level ya kimalaika n.k)

Maana ulimwengu umegawanyika makundi matatu
1.Aalamul shahad (huu ulimwengu unaoonekana)
2.Aalamul ghaib (ulisioonekana ila ukifanya jitihada unaweza kuuona)
3.Aalamul ghaib ghairul mushahad (huu ni ulimwengu usioonekana ambao Allah kauweka uwe Siri mpk siku ya mwisho)

Sasa huu ulimwengu wa pili yani ghaib ni mpana Sana na ili mtu aweze kuwa connect na ulimwengu huu anahitaji vifaa maalum ambavyo n natural au artificial

Mfano: bacteria wote wapo kweny ulimwengu usioonekana..... Ndo maan ukitaka kumuona utahitaj microscope

Majinn wapo kwenye ulimwengu usioonekana...
Hivyohvyo mambo ya roho, pepo, Moto, thawabu, laana, mikosi, upendo, chuki, protini, akili, n.k
Vyote hvyo vipo ulimwengu usioonekana

Sasa basi kuna mlango wa mawasiliano ambao humconnect mtu na ulimwengu usioonekana..... Ndo wewe umeweza kuufungua huu na huu hufunguka automatic yan ukifanya ibada Sana uwezo wa kuwasiliana na Viumbe wa kiroho huja wenyew upende usipende.... Hii ni kwann???
Majibu hapa n simple, mwanaadam toka kipindi anaumbwa uwezo huo alipewa ila sababu ya maasw huu uwezo hujifunga (jiulize n kwann mtoto mdogo huona vitu ambavyo watu wazima hawawez vitizama, kichanga kinaona mpk malaaika)

Nakurudisha kweny nadharia na kidini....
Mitume na manabii walitumia hizi milango za kiroho kuwasiliana na Mungu na malaaika wake
Mfano mzuri n nabii Mussa alipokuwa katikat ya majibizano na firaun (farao)
Alikuwa akipewa maelekezo nn afanye na nini aseme (hii ilifanyika bila mtu mwingine kujua kwahyo hapa nabii wa Mwenyez Mungu alitumia telepathy kuongea na Mungu yani walizungumza kupitia nafsi)

Sasa kingine cha kuongeza kdg n kuwa.... Unapozungumza na kiumbe cha kiroho kupitia nafs haimaanishi kipo kichwan kwako hapana jinn anaweza kaa pemben yako au hata kilomita 1000 na akakusemesha kupitia nafsi yako🤝🤝

Hii kitu sio dhambi ndivyo Mungu alivyomuumba mwanaadam... Ni moja kati ya uwezo wa mwanaadam ulojificha sana, na huu hufunguliwa na ibada pekee
 
Mwami Atale umesema kuna njia za ndoto, Hisia , Telepathy na dhahiri
Hapa nina swali, Mfano njia hii ya ndoto tunaambiwa ndoto huweza tokana na mungu au shetani sasa utajuaje kua mlango huu wa ndoto ni upande wa mungu? kwaamana iblisi anaweza tumia mlango huu kukuhadaa.
Pili mlango wa hisia, Tunafundishwa kuwa kila mtu ana qareen wake na nguvu kubwa ya qareen ipo katika kushawishi kwa kufanya whispering, Vipi sasa mtu atatofautisha kuwa ndoto anazoota na hisia na hizo telepathy ni kweli ni darja kutokana na uchamungu wake na zimetoka kwa muumba na sio iblis?
Kwa kifupi tuwekee vigezo ili kutofautisha baina ya vinavyotokana na muumba na shayatwin.
 
Kuna maqam mtu akifika huwa anapewa ufaham wa kuitambua dhahir na baatwin, watu wengine huita FILASA na wengine FuRQAN (huu ni uwezo wa kimungu anaopewa binaadam baada ya kufanya Sana ibada)

Yani unakuwa na ufaham mpya ambao unacontrol ufaham zako zingine zoote.... Hapa ni maji marefu Sana ila itabidi twende hvyohvyo sabb umeuliza mwenyewe🤝

Huu ufaham huwa na power zaidi ya ufaham level ya kijinn.... Mfano mtu akifikia level hii anakuwa na uwezo wa kuzihisi energy za juu zaidi mfano malaika n.k
Mtu anakuwa na power ya kuuhisi uwepo wa nguvu za Mungu, mtu anakuwa na power ya kuiona nuru ya Mungu usoni kwa waumini

Hii level ndo huweza kuzichambua ndoto mpk chimbuko lake, huweza kuzitofautisha saut za nafsin kwa hakika yake..... Ni daraja ya mbali sana!!

Ila wengi waozungumza na Viumbe wa kiroho wapo level ya majinn tena majinn walionao karibu (wa ukoo au wakurith n.k)

Na pia Kuna njia shortcut ya kuweza kuzitatua changamoto za swali lako... Unaweza tumia uwezo wa viumbe mfano unaweza tumia power ya majinn kujua hayo ulouliza, maana kiuharisia majinn wananguvu haswaa🤝

Japo hii njia imekaa kinyonge sana 🤔
Sababu kuna baadhi ya vitu majinn huwa wanashindwa kufanya, kwahyo vizuri ni kuiamsha power yako ya asili ya binaadam... Hiyo ndo kiboko ya mambo
 
Back
Top Bottom