Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani mmbeya Jinome. Au Mange?Ndugu JINOME ,peleka umbea wako kwenye jukwaa lenu husika. Hapa si mahala pake. Bure kabisa!
Numbisa jus wait please !!sio kwa kua Mange kasema ila mi nakuambia la kuvunda halina ubani!Kisa mange kasema.
Haya yule wa hamisa mnayesema ni wa dai mbona matunzo hapewi mpaka kuburuzwa mahakamani?
Halafu watu mnadhani kupima DNA ni sawa na kupima malaria aiseee
Si kweli ktk uislam diamond Hana mrithi hata mmoja maaa wale si watoto wake wote watatuWengi wanamchukia nillan kwa sababu ni mtoto wa kiume(tena wa zari) mwenye haki ya kurithi mali za baba yake kwa sheria za dini ya dai. Tiffa hawamtaji wala kumtukana kama zaman alipokua mchanga
Am telling u hii ishu ya wema na dai ina 80% za ukweli ila wema anawaza anaanzaje sasa kuexpose mapenzi yao km umeangalia nowadays wema hana kick tena hapa mjini so she is struggling to top up her name back!!Nimefurahi sasa hamisa pambana na wema
Zari pole unaondoka bongo kwa aibu kiasi hicho
Don't trust her wema hajielewiiWema naona kakataa
😀😀😀😀dada zetu vichwa sifuri.kanga moko yule zari ni sawa na nyie kumi.hela hamna,sura shida halafu ni malaya
Sinaga imani NAYE aliyesema ana nyumba makumbushoDon't trust her wema hajielewii
Samahan naomba nikurekebishe, Tukirudi Kwenye dini ya kiislam Nillan na Tiffa wote ni watoto haramu wamezaliwa nje ya ndoa hata kama Zari angeolewa bado ni watoto haramu kwa dai mtoto haramu Hana urithi kwa baba yake na baba Hana urithi kwa mtoto wake. Kidini hawaruhusiwi kurithi hata kijiko.
Dini gani???
Kwamujibu wa dini hiyo, hao wanaojiita watoto wa dia, wote ni watoto wa zinaa, kwa mujibu wa dini mtoto wa zinaa hana haki ya kurithi kitu chochote kutoka kwa uyo baba aliesababisha kupatikana kwake
Mtoto wa ndani ya ndoa ndie mwenye haki ya kurithi, je hapo yupo ambaye zao lake ni la ndani ya ndoa?