Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

A Man to Make Wema so happy, not Wema to make a man so happy. Hahahaa.
Baby fly 2 Kili.
 
Binamu wema alivyo ukute werudiana kweli hivyoo na hawatodumu kwa kweli
 
Kisa mange kasema.

Haya yule wa hamisa mnayesema ni wa dai mbona matunzo hapewi mpaka kuburuzwa mahakamani?

Halafu watu mnadhani kupima DNA ni sawa na kupima malaria aiseee
Numbisa jus wait please !!sio kwa kua Mange kasema ila mi nakuambia la kuvunda halina ubani!
 
Nimefurahi sasa hamisa pambana na wema

Zari pole unaondoka bongo kwa aibu kiasi hicho
Am telling u hii ishu ya wema na dai ina 80% za ukweli ila wema anawaza anaanzaje sasa kuexpose mapenzi yao km umeangalia nowadays wema hana kick tena hapa mjini so she is struggling to top up her name back!!
 
Mapovu mengi sana. Usuoastar ni shida tupi bora kuwa kapuru
 
Zari Bado naamin ww ni jasiri sana. Na Bado najua haya yote utatakiwa salama. Jipe moyo mkuu usirudi nyuma no matter what let them say manake they aren't worth your energy and time maa. Kuwa mwanamke mtoshelevu ni raha sana. Kwasasa mwanaume ndio anajitekenya mwenyewe
 
Diamond ukirudiana na wema baaasi mm siwi mpambe wako teeeeeena
 
Wema siku si nyingi anarudi ccm,mama ongea na mwanao......
 
Mange kasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahaaaaa mange ni mnaa jamani sijapata kuona.......eti huyo bebe vepe ala tek away tuu??
Sio huyu anakuwaga kimbele front kumtetea wema ama?????
Na txt za imbobo kazweka hadharani
Ama kweli don't trust any1
 
Mmh aiseee mna maneno makali kisa dini,dai mwenyewe wa zinaa hivyo ngoma droo. Acheni kuhukumu hivyo wakuu daah
Samahan naomba nikurekebishe, Tukirudi Kwenye dini ya kiislam Nillan na Tiffa wote ni watoto haramu wamezaliwa nje ya ndoa hata kama Zari angeolewa bado ni watoto haramu kwa dai mtoto haramu Hana urithi kwa baba yake na baba Hana urithi kwa mtoto wake. Kidini hawaruhusiwi kurithi hata kijiko.

Dini gani???

Kwamujibu wa dini hiyo, hao wanaojiita watoto wa dia, wote ni watoto wa zinaa, kwa mujibu wa dini mtoto wa zinaa hana haki ya kurithi kitu chochote kutoka kwa uyo baba aliesababisha kupatikana kwake


Mtoto wa ndani ya ndoa ndie mwenye haki ya kurithi, je hapo yupo ambaye zao lake ni la ndani ya ndoa?
 
Back
Top Bottom