Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Nina friji iliyokua inaleta tatizo la kuongezeka sauti kadri inavyozidi kufanya kazi, ukiliwasha linaanza silence kama kawaida ila baada ya muda inaongeza sauti.
Ila uwezo wake wa kupoza ni uleule tangu likiwa jipya sasa nikaona kutafuta fundi ni kazi, nikaamua nieleze ChatGpt Malfunction ya hii friji yangu, ikanipa maelezo mazuri sana na sehemu muhimu za kuangalia na nimefanya kwa uangalifu mkubwa hatimae tatizo limeondoka na friji imekua mpya.
Hapa fundi haraka haraka alikua anakula 20k, Ahsante ChatGpt.