Nime-fix tatizo la friji kuongeza sauti kwa msaada wa ChatGpt

Nime-fix tatizo la friji kuongeza sauti kwa msaada wa ChatGpt

Hakikisha unaiuliza chatgpt ni wapi mtu akipigwa ngumi anachuchumaa huku sauti haitoki
Mm sitaki kumuumiza mtu mara mbili 😂 nataka unipe mali yangu ambayo amenihifadhia kwa ridhaa yake bila kuumizwa 😎
 
Uzuri wa Chatgpt ikikupa taarifa ya uongo ukaishtukia huwa haileti ubishi inajiwahi kuomba radhi, sasa kama na wewe ulikurupuka ukaipeleka sehemu nyingine hiyo taarifa ukabananishwa huko kazi unayo
hahahaha
 
Njia rahisi save namba +1800-242-8478 kwenye contacts zako kisha nenda WhatsApp u-chat na hiyo namba. Hii Ni version ya Whatsapp.
Pia nenda mitandaoni web.chatgpt.com hiyo web based version.
Au Install App yao kwenye simu.
asante sana,nimefanya hivyo na mambo ni mazuri sana
 
Uko kama mimi tokea Ai ianze kufanya kazi sijawahi kukanyaga hospital naeleza tu najisikiaje inanishauri tiba na dawa za kutumia maisha yamekuwa simple
 
Mafundi wanaokula hela kibabaishaji sahivi hali itakua ngumu sana, hapa ningempa kazi angebaini tatizo la ku fix kwa dakika 1 ila angenizungusha masaa mawili ili ale 20k au zaidi ,

sasa uwanja umeinama kesi imekua ngumu , aliempelekea chai mtuhumiwa nae kawekwa ndani
Unaishi wap Mkuu Nataka nije nikuibie
 
Nina friji iliyokua inaleta tatizo la kuongezeka sauti kadri inavyozidi kufanya kazi, ukiliwasha linaanza silence kama kawaida ila baada ya muda inaongeza sauti.

Ila uwezo wake wa kupoza ni uleule tangu likiwa jipya sasa nikaona kutafuta fundi ni kazi, nikaamua nieleze ChatGpt Malfunction ya hii friji yangu, ikanipa maelezo mazuri sana na sehemu muhimu za kuangalia na nimefanya kwa uangalifu mkubwa hatimae tatizo limeondoka na friji imekua mpya.

Hapa fundi haraka haraka alikua anakula 20k, Ahsante ChatGpt.
Mimi nilifix bajaj kwa kutumia chartgpt pia..ipo poa sana..!
 
Uzuri wa Chatgpt ikikupa taarifa ya uongo ukaishtukia huwa haileti ubishi inajiwahi kuomba radhi, sasa kama na wewe ulikurupuka ukaipeleka sehemu nyingine hiyo taarifa ukabananishwa huko kazi unayo
Nakubali Kuna jambo nilikulupuka hapo nikalimwaga Kwa Wana wakawa wanacheka tu kimya kimya dah ila asee chatgpt alikuwa kalipangilia panchi za uhakika mpaka Wana wanabaki na mishangao tu🤣
 
Uko kama mimi tokea Ai ianze kufanya kazi sijawahi kukanyaga hospital naeleza tu najisikiaje inanishauri tiba na dawa za kutumia maisha yamekuwa simple
Labda kwenye ushauri wa mazoezi ila kwa ushauri wa dawa iko siku itakulisha sumu
 
Uko kama mimi tokea Ai ianze kufanya kazi sijawahi kukanyaga hospital naeleza tu najisikiaje inanishauri tiba na dawa za kutumia maisha yamekuwa simple
Natumia wasap chatgtp naomba kutuliza je Ai ni ya matumizi tofauti na wasap chatgtp? Kwamba siwezi kutumia wasap chtgtp kama unavyo tumia Ai!!!
 
Back
Top Bottom