Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,767
- 26,079
Je, ulijua kuwa unaweza kuunganisha WhatsApp na akaunti yako ya ChatGPT ili kufungua manufaa zaidi? Ijaribu sasa!Msaada wa hiyo namba
Je, ulijua kuwa unaweza kuunganisha WhatsApp na akaunti yako ya ChatGPT ili kufungua manufaa zaidi? Ijaribu sasa!Msaada wa hiyo namba
Embu toa mfano mkuu, twende kwa uthibiyisho.chatgpt kuna maswali haijibu inaload tu inaficha ukweli
Zote zinatumia mfumo huo huo hakuna tofautiNatumia wasap chatgtp naomba kutuliza je Ai ni ya matumizi tofauti na wasap chatgtp? Kwamba siwezi kutumia wasap chtgtp kama unavyo tumia Ai!!!
Nimeunga hapa imeniambia ni link na app na nimefanya hivyo.+1 800-242-8478
Tunazidiana hali za ufukara tu😁Mkuu hii nchi tunaogelea kwenye ufukara [emoji1787]
Kwa kweli inasaidia sana mkuu,,ila yafaa nawe uwe makini na majibu yake,na usitegemee sana,yafaa iwe ni kwa kujifunza jambo fulani.Nina friji iliyokua inaleta tatizo la kuongezeka sauti kadri inavyozidi kufanya kazi, ukiliwasha linaanza silence kama kawaida ila baada ya muda inaongeza sauti.
Ila uwezo wake wa kupoza ni uleule tangu likiwa jipya sasa nikaona kutafuta fundi ni kazi, nikaamua nieleze ChatGpt Malfunction ya hii friji yangu, ikanipa maelezo mazuri sana na sehemu muhimu za kuangalia na nimefanya kwa uangalifu mkubwa hatimae tatizo limeondoka na friji imekua mpya.
Hapa fundi haraka haraka alikua anakula 20k, Ahsante ChatGpt.
Mara kadhaa majibu ya ChatGpt siyo majibu sahihi kadiri ya vitabu vya T.I.Eukinfundisha mtoto kutumia Chat gpt, shuleni atafanya vizuri sana