Nina friji iliyokua inaleta tatizo la kuongezeka sauti kadri inavyozidi kufanya kazi, ukiliwasha linaanza silence kama kawaida ila baada ya muda inaongeza sauti.
Ila uwezo wake wa kupoza ni uleule tangu likiwa jipya sasa nikaona kutafuta fundi ni kazi, nikaamua nieleze ChatGpt Malfunction ya hii friji yangu, ikanipa maelezo mazuri sana na sehemu muhimu za kuangalia na nimefanya kwa uangalifu mkubwa hatimae tatizo limeondoka na friji imekua mpya.
Hapa fundi haraka haraka alikua anakula 20k,
Binadamu tunategemeana. Kwa hiyo unataka fundi fridge ale wapi?
Siyo muda wote ChatGpt inakua sahihi, mimi nimeshaibananisha mara kibao na ikaniomba radhi kwa majibu iliyonipa, kwahiyo ukiitegemea bila kujiongeza itakuumbua mbele za watu siku 1, maana utajidai Genius kumbe imashakuingiza mkengeukinfundisha mtoto kutumia Chat gpt, shuleni atafanya vizuri sana
Atakuwa tegemezi sana, atashindwa kutumia akili yake. ChatGPT inahitaji umakini, sio kila kitu uitumie.ukinfundisha mtoto kutumia Chat gpt, shuleni atafanya vizuri sana
Kama swali gani?chatgpt kuna maswali haijibu inaload tu inaficha ukweli
Mafundi wanaokula hela kibabaishaji sahivi hali itakua ngumu sana, hapa ningempa kazi angebaini tatizo la ku fix kwa dakika 1 ila angenizungusha masaa mawili ili ale 20k au zaidi ,Kwahy mafundi tukale wapi mkuu, bc ngoja na sisi tuwe majambazi
Hakikisha unaiuliza chatgpt ni wapi mtu akipigwa ngumi anachuchumaa huku sauti haitokiKwahy mafundi tukale wapi mkuu, bc ngoja na sisi tuwe majambazi
hiyo chatgpt ni ya kulipia?Nina friji iliyokua inaleta tatizo la kuongezeka sauti kadri inavyozidi kufanya kazi, ukiliwasha linaanza silence kama kawaida ila baada ya muda inaongeza sauti.
Ila uwezo wake wa kupoza ni uleule tangu likiwa jipya sasa nikaona kutafuta fundi ni kazi, nikaamua nieleze ChatGpt Malfunction ya hii friji yangu, ikanipa maelezo mazuri sana na sehemu muhimu za kuangalia na nimefanya kwa uangalifu mkubwa hatimae tatizo limeondoka na friji imekua mpya.
Hapa fundi haraka haraka alikua anakula 20k, Ahsante ChatGpt.
ok unaidownload wapi?No bure tu