Yeah kweli na kuna muda huwa inatoa majibu ya uongo sana mimi imeshaniomba radhi mara kadhaa baada ya kuibananisha, kwahiyo ni sehemu ambayo taarifa zake kabla hujazitumia unatakiwa ujiridhishe na vyanzo vingine piachatgpt kuna maswali haijibu inaload tu inaficha ukweli
ok ngoja nijaribu kuifaunilodiUnaweza kutumia namba ya ChatGpt ya WhatsApp ukachati nayo kama unavyochati na demu wako tu
Hiyo hamna haja ya kuuliza chatgpt sehemu ya kupiga mtu ngumi hadi achuchumae bila kutoa sauti ni katikati ya kifua kwa chini, unapiga ngumi 1 tuHakikisha unaiuliza chatgpt ni wapi mtu akipigwa ngumi anachuchumaa huku sauti haitoki
Duh kumbe kuwa na friji nako ni kutoboa maishaππHongera kwa kuwa na friji
Hongera kwa kuwa na friji
Baada ya ku feed tatizo chatgpt ikanielekeza huenda Tatizo lilikua kwenye Condenser fan na refrigerator coils ikanipa maelezo na hatua za kufanya, nikafanya na nikaweza kuweka sawaEleza mbinu ulizotumia hadi friji kupunguza kelele
Nilikuwa nalipia kutengenezewa picha kwa 200k kwa mwezi now nalipa $10 kwa mwezi Tena unlimitedNamna AI zinavyopunguza Ajira za watu
uliibananishaje mpaka ikakuomba radhi hahahaSiyo muda wote ChatGpt inakua sahihi, mimi nimeshaibananisha mara kibao na ikaniomba radhi kwa majibu iliyonipa, kwahiyo ukiitegemea bila kujiongeza itakuumbua mbele za watu siku 1, maana utajidai Genius kumbe imashakuingiza mkenge
Inashangaza mtoto wa kiume kuleta tabia za kike ananipa hongera ya kinafki anaona kama vile friji ni kitu cha ajabu sana, sidhani kama zama hizi bado watu wanatakiwa wawe na mtizamo wa kijinga kwenye mambo madogo kama frijiTabia za kike hizi
Mkale mlikokua mnakula toka utotoniKwahy mafundi tukale wapi mkuu, bc ngoja na sisi tuwe majambazi
Njia rahisi save namba +1800-242-8478 kwenye contacts zako kisha nenda WhatsApp u-chat na hiyo namba. Hii Ni version ya Whatsapp.ok unaidownload wapi?
Uzuri wa Chatgpt ikikupa taarifa ya uongo ukaishtukia huwa haileti ubishi inajiwahi kuomba radhi, sasa kama na wewe ulikurupuka ukaipeleka sehemu nyingine hiyo taarifa ukabananishwa huko kazi unayouliibananishaje mpaka ikakuomba radhi hahaha
Free version huwa ina limit ya majibu, hadi masaa ishirini na nne yapite.chatgpt kuna maswali haijibu inaload tu inaficha ukweli
Nilikuwa nalipia kutengenezewa picha kwa 200k kwa mwezi now nalipa $10 kwa mwezi Tena unlimited