Nime-fix tatizo la friji kuongeza sauti kwa msaada wa ChatGpt

Hakikisha unaiuliza chatgpt ni wapi mtu akipigwa ngumi anachuchumaa huku sauti haitoki
Mm sitaki kumuumiza mtu mara mbili ๐Ÿ˜‚ nataka unipe mali yangu ambayo amenihifadhia kwa ridhaa yake bila kuumizwa ๐Ÿ˜Ž
 
Uzuri wa Chatgpt ikikupa taarifa ya uongo ukaishtukia huwa haileti ubishi inajiwahi kuomba radhi, sasa kama na wewe ulikurupuka ukaipeleka sehemu nyingine hiyo taarifa ukabananishwa huko kazi unayo
hahahaha
 
Njia rahisi save namba +1800-242-8478 kwenye contacts zako kisha nenda WhatsApp u-chat na hiyo namba. Hii Ni version ya Whatsapp.
Pia nenda mitandaoni web.chatgpt.com hiyo web based version.
Au Install App yao kwenye simu.
asante sana,nimefanya hivyo na mambo ni mazuri sana
 
Uko kama mimi tokea Ai ianze kufanya kazi sijawahi kukanyaga hospital naeleza tu najisikiaje inanishauri tiba na dawa za kutumia maisha yamekuwa simple
 
Unaishi wap Mkuu Nataka nije nikuibie
 
Mimi nilifix bajaj kwa kutumia chartgpt pia..ipo poa sana..!
 
Uzuri wa Chatgpt ikikupa taarifa ya uongo ukaishtukia huwa haileti ubishi inajiwahi kuomba radhi, sasa kama na wewe ulikurupuka ukaipeleka sehemu nyingine hiyo taarifa ukabananishwa huko kazi unayo
Nakubali Kuna jambo nilikulupuka hapo nikalimwaga Kwa Wana wakawa wanacheka tu kimya kimya dah ila asee chatgpt alikuwa kalipangilia panchi za uhakika mpaka Wana wanabaki na mishangao tu๐Ÿคฃ
 
Uko kama mimi tokea Ai ianze kufanya kazi sijawahi kukanyaga hospital naeleza tu najisikiaje inanishauri tiba na dawa za kutumia maisha yamekuwa simple
Labda kwenye ushauri wa mazoezi ila kwa ushauri wa dawa iko siku itakulisha sumu
 
Uko kama mimi tokea Ai ianze kufanya kazi sijawahi kukanyaga hospital naeleza tu najisikiaje inanishauri tiba na dawa za kutumia maisha yamekuwa simple
Natumia wasap chatgtp naomba kutuliza je Ai ni ya matumizi tofauti na wasap chatgtp? Kwamba siwezi kutumia wasap chtgtp kama unavyo tumia Ai!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ