Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
-
- #61
Ishi sana kaka, ume pita mule mule. Consistency huwa Ina kata hivi.Kwa angle flan nimemuelewa huyu jamaa, Mara nyingi wanaume waliojitafuta hadi wakajipata kwenye biashara siku akija kuoa ile aggresivenes kwenye biashara itapungua kama hatashuka bas atamaintain ile level aliyopo wakati anaoa.
Hii huwa tofauti na wale ambao walifanikiwa kibiashara tayari wakiwa na ndoa zao
Eeeh hebu kwendreeeni huko, ingekua hivo kina bakhresa wangekua mabachala, kina mengi.....Kwa angle flan nimemuelewa huyu jamaa, Mara nyingi wanaume waliojitafuta hadi wakajipata kwenye biashara siku akija kuoa ile aggresivenes kwenye biashara itapungua kama hatashuka bas atamaintain ile level aliyopo wakati anaoa.
Hii huwa tofauti na wale ambao walifanikiwa kibiashara tayari wakiwa na ndoa zao
😂😂Eeeh hebu kwendreeeni huko, ingekua hivo kina bakhresa wangekua mabachala, kina mengi.....
Uuze dawa za mende tu hadi utukane ndoa kwendraaa😂😂😂😂
Uliowataja hela ziliwakuta tayari wapo kwenye ndoa.Eeeh hebu kwendreeeni huko, ingekua hivo kina bakhresa wangekua mabachala, kina mengi.....
Uuze dawa za mende tu hadi utukane ndoa kwendraaa😂😂😂😂
Kwahiyo inatakiwa uoe ukiwa umejipata?Uliowataja hela ziliwakuta tayari wapo kwenye ndoa.
Ndoa nayo ni uwekezaji inakutaka uwekeze muda, hela na hisia
Ndoa ni game ambayo ni heavyweight championship, halafu wana ndoa ni welterweight boxer's😂🤣Acha uchawi mdogo angu
Oa ukiwa tayari kuoaKwahiyo inatakiwa uoe ukiwa umejipata?
Braza una fegi hapo?Oa ukiwa tayari kuoa
Ndoa ni sawa sawa na kuingia kinyume nyume ndani ya ghetto la wahuni.Duh! Ila ubinadamu kazi sana.
Oya bro una nichekesha kishenzi🤣😂Braza una fegi hapo?
Kataa ndoa linda maisha yako.Ndoa ni Mtego wachache wanavuka hapo
Kuna Mirungi njoo na GombaBraza una fegi hapo?
Bro Big g hazi fai?Kuna Mirungi njoo na Gomba
Mi sio msomali braza mi msukumaKuna Mirungi njoo na Gomba
Njoo nazo tu ila uweke grease kwenye tayaBro Big g hazi fai?
Kumbe bro we ngoshaMi sio msomali braza mi msukuma