Nime furahi sana, baada ya kujua mpinzani wangu ana kwenda kufunga ndoa

Stupid businessman umeongea pumba. Kama wanaelewana hao wanandoa watakuja kukumaliza kabisa kibiashara. Kama alikuwa mwenyewe ukamshindwa sasa wanakuwa wawili.... moto lazima ukuwakie.
 
Stupid businessman umeongea pumba. Kama wanaelewana hao wanandoa watakuja kukumaliza kabisa kibiashara. Kama alikuwa mwenyewe ukamshindwa sasa wanakuwa wawili.... moto lazima ukuwakie.
Sawa mama Samia, ishi sana ila waachilie anko lisu na usi msumbue pastor gwajima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…